CHADEMA Yaahidiwa Fedha na Wanaharakati (Marekani): Masharti ya Fedha Yanatisha!

WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.
Umekua msemaji wa chadema siku hizi????
 
Source; www.uongomtupu.com
 
Wewe kama ni Kaka basi unaliwa tigo maana hata uelewa wako ni wa aibu ndo maana hata mada unazoleta ni za kipumbafu.kwa taarifa yako Slaa huwezi kumlingabisha na huyo zwazwa na taperi ZITO.

Hivi kuna mahali mleta mada amemtaja Zitto? Kweli BAVICHA sasa mmechanganyikiwa.
 
WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.

huandiki chochote chenye maana hata siku moja! mwanaumme mmbeya! Hebu jaribu kulinganisha heading na contents za ulichopost utagundua wewe ni kilaza! Kaa kimya tu utaheshimika zaid!
 
Mkuu,

Dr Slaa na UKAWA wakiendekezwa, ushoga utakuwa halali hapa Tanzania.

Hamy-D,ushoga upo hatutaki au tunataka,binadamu tumeshakengeuka hatujali tena wala kumwogopa Mungu.Si wewe wala serikali itakayoweza kuwafungia hawa.

Mawili tu ndiyo yanayotakiwa kufanyika hapa kwetu:

1.Kutunga sheria kama ilivyo UGANDA.

2.Kurudisha mafundisha ya dini mashuleni ili japo watu wajue siyo sahihi.

Uganda waliweza kwanini JK hakumuiga Museveni?Zimbabwe wameweza kwanini JK hakumuiga Mugabe?Sababu ni kuwa serikali yetu inategemea MISAADA 95% toka kwa wafadhili na ndiyo wanaamua namna ganio nchi iendeshwe.

Hebu subiri aseme USHOGA stop uone jinsi jumuia za KIMATAIFA zitakapowasha moto,umeiona ya ESCROW,watawala walipiga makelele mapka kwenda kupiga magoti,sasa hii watenda kulala huko huko...............

Sughuli ya suhoga si ya Dr.Slaa ya kwetu sote kuwaelimisha vijana kuwa hiyo kazi hailipi,na mara zote vijana wanakufa mapema sana kabla hata kufika 40.

Ni tatizo la dunia ndugu yangu......................
 
  • Thanks
Reactions: Awo

Membe alishatamka bora tufe NA njaa kuliko Ushoga,Leo hii Babu Slaa anataka kutuletea Ushoga kwa tamaa za pesa za kampeni hii hatuwezi kuikubali hata kidogo,huyu mtu hafai ni laana kabisaa huyu babu VIP
 
Unayemweleza hayo,, yeye binafsi amehusishwa na huo huo. Kuna nyuzi humu zimemhusisha na huo.
 
Hamy-D,ushoga upo hatutaki au tunataka,binadamu tumeshakengeuka hatujali tena wala kumwogopa Mungu.Si wewe wala serikali itakayoweza kuwafungia hawa.

Mawili tu ndiyo yanayotakiwa kufanyika hapa kwetu:

1.Kutunga sheria kama ilivyo UGANDA.

2.Kurudisha mafundisha ya dini mashuleni ili japo watu wajue siyo sahihi.

Uganda waliweza kwanini JK hakumuiga Museveni?Zimbabwe wameweza kwanini JK hakumuiga Mugabe?Sababu ni kuwa serikali yetu inategemea MISAADA 95% toka kwa wafadhili na ndiyo wanaamua namna ganio nchi iendeshwe.

Hebu subiri aseme USHOGA stop uone jinsi jumuia za KIMATAIFA zitakapowasha moto,umeiona ya ESCROW,watawala walipiga makelele mapka kwenda kupiga magoti,sasa hii watenda kulala huko huko...............

Sughuli ya suhoga si ya Dr.Slaa ya kwetu sote kuwaelimisha vijana kuwa hiyo kazi hailipi,na mara zote vijana wanakufa mapema sana kabla hata kufika 40.

Ni tatizo la dunia ndugu yangu......................

Unayemweleza hayo,, yeye binafsi amehusishwa na ayo hayo. Kuna nyuzi humu zimemhusisha na hayo mambo.
 
Membe alishatamka bora tufe NA njaa kuliko Ushoga,Leo hii Babu Slaa anataka kutuletea Ushoga kwa tamaa za pesa za kampeni hii hatuwezi kuikubali hata kidogo,huyu mtu hafai ni laana kabisaa huyu babu VIP

Unaevidence na alichokiandika Hammy-D?Kama huna basi siyo sahihi kumtumu mtu kwa sababu zisizo na msingi.Je serikali yetu haipokei pesa kutoka serikali za MASHOGA?Na leo hujiulizi kwanini Tanzania hatuko firm na hawa mashoga?

Serikali haitakuwa ya Dr.Slaa peke yake,kumbuka serikali ni taasisi na si one man show.Hivyo siamini hata kidogo alicholeta Hammy-D lengo lake lilikuwa kuchafua mtu na si ukweli wowote aliousema au kuuleta.

Membe naye ni wale wale,alitaka kubadili dini kisa kutaka pesa toka UARABUNI kisa apate uongozi huyu naye akipewa pesa na hao hao MASHOGA ili apate uongozi nina uhakika atabadilika kama kinyonga.Alisema Zitto usiwaamini wanasiasa,sasa kama alitaka hata kubadili IMANI yake atashindwa kuukumatia USHOGA?
 
Back
Top Bottom