CHADEMA Yaahidiwa Fedha na Wanaharakati (Marekani): Masharti ya Fedha Yanatisha!

WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.

Ignorancy and stupidity at its peak!!
 
Kuna watu ni wa ajabu sana mwenye post hii NI WALE WALEE,ANAPINGA HATA.MCHANA NA.KUTAKA WATU WAAMIN KUWA NI USIKU
 
WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.

Posti ya kipuuzi kama hii mods mnaivumilia. Tena ikiwa imetolewa na kiongozi wa CCM. ANYWAY MNAJUA MNACHOKIFANYA.
 
Cdm luzuku mnayo payopata haitoshi kuendesha hiyo saccos ya mzee mtei? Hadi ukaombe hela za hao mashoga? Au slaa na wewe unataka hela ya kununua nyumba dubai?
 
Back
Top Bottom