CHADEMA Yaahidiwa Fedha na Wanaharakati (Marekani): Masharti ya Fedha Yanatisha!

.
kwanza nakupongeza kwa kukubali ksbisa kutoka katika kilindi cha moyo wako kwamba chadema ndio chama kitakachochukua nchi maana sisiem imeisha jichokea na hata wafadhili wanalijua hilo.
pili masharti ya hao wafadhili kwa Dr Slaa umeyawekea question mark kwamba hujui kama atakubali au la hivyo sii kazi yako kuwa mtabiri.
jiulize hata kama serikali inakataa kutamba ndoa za jinsia moja je zile nchi zinazoamini katika ndoa za jinsia moja zinaedelea kutoa misaada? na ni kwa vigezo vipi zinatoa hiyo misaada ilhali hatukubaliani nao katika hilo la ndoa za jinsia moja?
Za kuambiwa changanya na za kwako!
.
mkuu chadema ilishakufa sijui unalenga chadema gani chadema kaondoka nayo zitto.
 
Ivi ndg hamy _d unawezakutuwekea baruatoka Indiana ikiwaelekeza ccm wakubali ndoayajinsia moja na ccm wakaandika barua kutatua? Na utuwekekee kaushaidi kanakowaelekeza cdm wakubali kandoakajinsia moja na cdm wakakubali ndy maana Dr slaa kaenda kukubaliana nao tuwekee kama huna nasema eweee kizazi chanyoka ulaniwe ww mkeo mamayako babayako shangaziyako mjombayako nanduguzako wote nawanao wote maana kizazi chako niwazi ww ninyoka
 
Mleta mada kichwa chako siyo kizuri! Mbona sasa hivi wewe unapumuliwa, unaona wivu ikiruhusiwa mtakuwa wengi na utapata ushindani?
 
WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.
Mleta mada unajichanganya, unasema kaalikwa kuzungumza nao. Sema CDM wameahidiwa sh ngapi? Mbona huzitaji?
Soma kichwa cha habari.
 
Hivi ninyi ACT mbona unaandika hoja ya kipumbavu hivi?
Heading na Contents ni vitu viwili tofauti. Ni mwehu pekee aliyekuelewa ulichoandika, naye ni kutokana na uendawazimu wake.

mkuu uliivyoondoka na zitto kakuacha wapi tena unarudi peke yako umeachwaji?
 
.
kwanza nakupongeza kwa kukubali ksbisa kutoka katika kilindi cha moyo wako kwamba chadema ndio chama kitakachochukua nchi maana sisiem imeisha jichokea na hata wafadhili wanalijua hilo.
pili masharti ya hao wafadhili kwa Dr Slaa umeyawekea question mark kwamba hujui kama atakubali au la hivyo sii kazi yako kuwa mtabiri.
jiulize hata kama serikali inakataa kutamba ndoa za jinsia moja je zile nchi zinazoamini katika ndoa za jinsia moja zinaedelea kutoa misaada? na ni kwa vigezo vipi zinatoa hiyo misaada ilhali hatukubaliani nao katika hilo la ndoa za jinsia moja?
Za kuambiwa changanya na za kwako!
.

Sio majimbo yote Marekani yana huo upuuzi wa kutambua ndoa za jinsia moja. Ni hilo jimbo la Indiana ambalo Dr Slaa yupo na majimbo mengine machache.
 
Unaendeshwa kwa hisia wewe,kwa thread hii watu walivyokukosoa leo buku 7 huipati.Tuliza akili and come with something better
 
Yaani wachangiaji 21 wa kwanza wote wako against wewe unayejiita Honey D sorry hammy-D ukiacha namba 16 ya gsu kwa sisi tunaofanya tafiti tayari tunajua kuwa hicho kitu ulichikileta haki-fit kwa human consumption, rudi kajipange.
 
Last edited by a moderator:
WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.

Huyu mtoa mada hii siku zote amekuwa akita mada za kumsifu Zitto na ACT na kukashifu Chadema na viongozi wa Chadema? Mbona Zitto alisema kwa niaba ya chama kuwa yeye hapingi upinzani? Au ndo mchana kama watu usiku wanageuka mizimu.
 
WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.

Sijui umekula maharage ya wapi wewe, umevaa pampers, kama mtoto mdogoo...unaropokaropoka tu(kwa sauti ya Gwajima)
 
Back
Top Bottom