CHADEMA Yaahidiwa Fedha na Wanaharakati (Marekani): Masharti ya Fedha Yanatisha!

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,125
2,000
WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
12,068
2,000
;ipuuzwe its real nutty wise / THE WORLD OF NUTTYMENS/ NUTTY SPEAKS, ANUTTY MAN AND ITS VIEW
 
jme

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
4,626
2,000
si ni nyie ccm na vibaraka wenu mlisema kaenda kwenye matibabu?
mmebadilika tena na kusema mengine acheni kuweseka
 
ndulazi ndula

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
515
0
Wewe kama ni Kaka basi unaliwa tigo maana hata uelewa wako ni wa aibu ndo maana hata mada unazoleta ni za kipumbafu.kwa taarifa yako Slaa huwezi kumlingabisha na huyo zwazwa na taperi ZITO.
 
Kifuna

JF-Expert Member
Aug 7, 2008
434
225
WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.

Sio vizuri kusema kila unachokijua lakini ni vizuri kujua kila unachokisema!
 
POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
1,195
Dr.Slaa anawatesa sana maccm A na B mtakoma ndio rais wetu huyo.
 
falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,089
2,000
watanzania hamna desturi ya kujadili hoja bali mnajadili wivu,na hicho ndicho kinachowamaliza siku zote kinawafanya nchi yenu iwe genge la ufisadi.
 
Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,355
2,000
WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.

.
kwanza nakupongeza kwa kukubali ksbisa kutoka katika kilindi cha moyo wako kwamba chadema ndio chama kitakachochukua nchi maana sisiem imeisha jichokea na hata wafadhili wanalijua hilo.
pili masharti ya hao wafadhili kwa Dr Slaa umeyawekea question mark kwamba hujui kama atakubali au la hivyo sii kazi yako kuwa mtabiri.
jiulize hata kama serikali inakataa kutamba ndoa za jinsia moja je zile nchi zinazoamini katika ndoa za jinsia moja zinaedelea kutoa misaada? na ni kwa vigezo vipi zinatoa hiyo misaada ilhali hatukubaliani nao katika hilo la ndoa za jinsia moja?
Za kuambiwa changanya na za kwako!
.
 
Ndikwega

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,951
2,000
WanaJF,

Wengi tulikuwa na mawazo kuwa ziara ya Dr Slaa ni ya kutangaza njaa kwa Wamarekani na sio vinginevyo!

Dr Slaa amesambaza picha kwenye mitandao kumuonyesha kuwa yupo kwenye vituo vya rocket nk, lakini lengo kuu la hizo picha ni kuulaghai umma wa Watanzania wasielewe hasa kile kilicho mpeleka Dr Slaa Marekani!

Aidha, kwa taarifa sahihi ni kwamba Dr Slaa alipokea mwaliko kutoka jimbo la Indiana, Marekani - jimbo ambalo limeasisi harakati za kutetea ndoa za jinsia moja duniani na pia ndio jimbo la kwanza ambalo gavana wake aliridhia na kuzitambua ndoa hizo kisheria katika jimbo hilo.

Kwa muktadha huo, jimbo hilo la Indiana bado limeendelea na harakati zake kuhakikisha nchi zote duniani zinatambua ndoa za jinsia moja na mikakati yao ni kupitia utoaji wa misaada ya kifedha na kitaalamu ili kuelewesha umma kuhusu faida za kutambua ndoa za jinsia moja!

Hivyo basi, wanaharaki hao wa Indiana wamemwalika Dr Slaa na kuzungumza nae kuhusu nia yao hiyo, na kwa kuwa wanajua CHADEMA ni chama pinzani, na kwa kuwa wanajua CCM ilishakataa maombi yao. Hivyo kwa Tanzania njia yao ni CHADEMA tu!

Je, Dr Slaa ataridhia juu ya maombi ya wanaharakati wa Indiana? Je, Slaa atakubali fedha dhidi ya desturi, tamaduni na miiko yetu Waafrika? Majibu mimi sina, tusubiri mwisho wa ziara yake.

Hivi ninyi ACT mbona unaandika hoja ya kipumbavu hivi?
Heading na Contents ni vitu viwili tofauti. Ni mwehu pekee aliyekuelewa ulichoandika, naye ni kutokana na uendawazimu wake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom