CHADEMA ya Jana na CCM ya Leo katika picha!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,144
Reaction score
48,369
Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja.

9359303212_9226034ae3_c.jpg

Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni viongozi wakuu na waandamizi Kwa vyama vyao.

Kutoka kushoto mstari wa Mbele ni Stephen Wassira, William Lukuvi, Freeman Mbowe, Jakaya.Kikwete, Said Arfi, Said Issa Mohamed na Tundu Lissu.

Nyuma kutoka kushoto ni Emmanuel Nchimbi,Mwesiga Baregu, Joh Mrema, Abdallah Safari,(simjui),John Mnyika,(simjui)
Nyuma kabisa wa kwanza simjui anayefuatia ni Samia Suluhu Hassan.

Kwenye picha hii waliokuwa CHADEMA ambao Bado wanafanya siasa za CHADEMA ni John Mnyika na Tundu Lissu.

Waliokuwa CCM Bado wapo CCM!! Kuna kitu umejifunza kuhusu vikao vya maridhiano na CCM matokeo yake huwaje?
 
Huu ni wakati wa Jakaya Kikwete

Jamaa huyu (Kikwete) alikuwa mafia wa chinichini kwelikweli, lakini pamoja na umafia wake ilikuwa ngumu kuona ujinga kama huu unaofanywa na huyo mama mwenye ushungi aliye mstari wa nyuma

Haieleweki ni kwanini JK kushindwa kumfundisha huyu mama kufanya siasa za aina yake na badala yake amemfundisha kuwa shetani muuaji mwenye sura ya mwanamke🤔

Jamaa huyu (Kikwete) alikuwa anajua kuifanya siasa na alijua kuishi na wanasiasa notorious, aggressive ktk kujenga hoja na wenye misimamo mikali kama Tundu Lissu. Ndiyo, ni kweli kuwa kwa nyakati fulani fulani walizinguana lakini, JK hakuwa politically emotional. Alikuwa na hekima na busara kidogo ya kurudi kwenye reli mara alipoona mambo yanaenda ndivyo sivyo na yanayoweza kumweka matatani

Mambo yakabadilika alipoingia Magufuli. Huyu msukuma Mzinza hakuwa anaijua siasa. Hakuwa na guts za kuweza kuishi na kuwa - accomodate wanasiasa wa aina na wenye hulka ya kama Tundu Lissu. Tabia hii ndiyo kaipitisha na kuirithisha kwa aliyekuwa msaidizi wake, Samia Suluhu Hassan. Na leo tokana na siasa zao za kijinga na uwendawazimu anateseka roho na mwili na pengine anaweza hata kufa na kufungwa jela maisha kwa ujinga wake

Wao wanadhani kila hoja kutoka upande usio wao ni kuipiga rungu na risasi tu. Matokeo ya siasa za namna hii zimepeleka maelfu ya watu makaburini ambao kiukweli hawana hatia yoyote na wakati huohuo waliotenda (kutekeleza mauaji) hayo wako kwenye msoto wa kihisia na kiroho..

Atakayeshangaa kuwaona hawa wakifungwa jela na wengine kufa kwa mashinikizo ya damu mmoja baada mwingine atakuwa wa ajabu kweli kwa sababu wao wenyewe ndio waliochagua kupita njia hiyo!!
 
Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja.

View attachment 3514083

Hapa Samia alikuwa chawa wa Wasira mzee wa kusinzia, enzi hizo alikuwa anajidunga Nyagi hadharani na wanaharakati hazikuwa shida zao, enzi hizo mshkaji wa Samia alikuwa ni Sir Nature Kiroboto.
 
Huu ni wakati wa Jakaya Kikwete
Kinachonishangaza waliokuwa CCM wakati ule wa Jakaya Bado wapo CCM.

Lakini ukiacha Mzee Mwesiga Baregu ambaye ni Marehemu Kwa Sasa, hao waliokuwa CHADEMA ambao bado wanafanya siasa za CHADEMA ni Mnyika na Lissu tu.
 
Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja.

View attachment 3514083
Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni viongozi wakuu na waandamizi Kwa vyama vyao.

Kutoka kushoto mstari wa Mbele ni Stephen Wassira, William Lukuvi, Freeman Mbowe, Jakaya.Kikwete, Said Arfi, Said Issa Mohamed na Tundu Lissu.

Nyuma kutoka kushoto ni Emmanuel Nchimbi,Mwesiga Baregu, Joh Mrema, Abdallah Safari,(simjui),John Mnyika,(simjui)
Nyuma kabisa wa kwanza simjui anayefuatia ni Samia Suluhu Hassan.

Kwenye picha hii waliokuwa CHADEMA ambao Bado wanafanya siasa za CHADEMA ni John Mnyika na Tundu Lissu.

Waliokuwa CCM Bado wapo CCM!! Kuna kitu umejifunza kuhusu vikao vya maridhiano na CCM matokeo yake huwaje?
Ila Tundu Lissu huyu Mwamba hapana
😂😂😂
 
Huu ni wakati wa Jakaya Kikwete

Jamaa huyu (Kikwete) alikuwa mafia wa chinichini kwelikweli, lakini pamoja na umafia wake ilikuwa ngumu kuona ujinga kama huu unaofanywa na huyo mama mwenye ushungi aliye mstari wa nyuma

Haieleweki ni kwanini JK kushindwa kumfundisha huyu mama kufanya siasa za aina yake na badala yake amemfundisha kuwa shetani muuaji mwenye sura ya mwanamke🤔

Jamaa huyu (Kikwete) alikuwa anajua kuifanya siasa na alijua kuishi na wanasiasa notorious, aggressive ktk kujenga hoja na wenye misimamo mikali kama Tundu Lissu. Ndiyo, ni kweli kuwa kwa nyakati fulani fulani walizinguana lakini, JK hakuwa politically emotional. Alikuwa na hekima na busara kidogo ya kurudi kwenye reli mara alipoona mambo yanaenda ndivyo sivyo na yanayoweza kumweka matatani

Mambo yakabadilika alipoingia Magufuli. Huyu msukuma Mzinza hakuwa anaijua siasa. Hakuwa na guts za kuweza kuishi na kuwa - accomodate wanasiasa wa aina na wenye hulka ya kama Tundu Lissu. Tabia hii ndiyo kaipitisha na kuirithisha kwa aliyekuwa msaidizi wake, Samia Suluhu Hassan. Na leo tokana na siasa zao za kijinga na uwendawazimu anateseka roho na mwili na pengine anaweza hata kufa na kufungwa jela maisha kwa ujinga wake

Wao wanadhani kila hoja kutoka upande usio wao ni kuipiga rungu na risasi tu. Matokeo ya siasa za namna hii zimepeleka maelfu ya watu makaburini ambao kiukweli hawana hatia yoyote na wakati huohuo waliotenda (kutekeleza mauaji) hayo wako kwenye msoto wa kihisia na kiroho..

Atakayeshangaa kuwaona hawa wakifungwa jela na wengine kufa kwa mashinikizo ya damu mmoja baada mwingine atakuwa wa ajabu kweli kwa sababu wao wenyewe ndio waliochagua kupita njia hiyo!!
Ulitakiwa kuwa uzi wa kujitegemea kabisa hii analysis konki
 
Waliokuwa kwenye kikao hiki wakiiwakilisha CHADEMA na hali zao za kisiasa za Sasa.
1. Freeman Mbowe - AMEZIZIMA

2. Said Arfi - kaenda CCM

3. Said Mohamed Issa - AMEZIZIMA

4. Abdallah Safari - AMEZIZIMA

5. John Mrema - Kaenda CHAUMA

Jee nini kilitokea hadi hawa wote waachane na CHADEMA wakati wenzao waliokuwa nao kwenye kikao hiki toka CCM bado wapo CCM?
 
Back
Top Bottom