CHADEMA, when will you master the Political Game?

CHADEMA, when will you master the Political Game?

CHADEMA mnashangaza sana mnaposhindwa kabisa kuitumia kila golden opportunity inayojitokeza kumdhoofisha adui yenu mkuu!

Mmeshaiokoa CCM kwa juhudi zenu wenyewe mara kadhaa sasa. Latest ni hili sakata la Speaker Ndugai. By failing to exploit the gigantic rift that Speaker Ndugai had caused, you basically saved your archenemy. Mungu aipe nini CCM?

Tambueni hili. No matter how much you hate a certain operative of your enemy, akishaanza kuwashambulia wenzake, usimpige; fanya kila uwezalo kukoleza mashambulizi yake kwa wenzake. Ni ajabu ya mwaka na aibu kubwa kwa CHADEMA kumshika shati mchezaji wa CCM anayekwenda kujifunga goli.

Seriously, it’s high time you hired effective coaches. Vinginevyo, mtaendelea kuchezea timu ya adui yenu bila nyie wenyewe kujitambua!
Wao wapo busy kupambana na marehemu. Mtu ambae hawezi kuwajibu wala kujitetea kwa lolote.
 
Rahisi Sana kuwa mwanaharakati kuliko kuwa mwanasiasa...
Naamini umeandika usichokijiua, kama kweli unakijua nipe tofauti kati ya "siasa" na "harakati" na uniambie ni wakati gani unaweza kuwa mwanasiasa halafu ukajitofautisha na harakati hasa kwenye mazingira haya ya uhusiano uliopo kati ya CCM na jeshi la polisi?
 
Umeanza vurugu zako, hayo majina kama unaamini yalipelekwa tuambie yalipelekwa na nani? walipoapishwa kweli walikuwa wanachama wa Chadema kwasababu bado mkutano mkuu ulikuwa haujakaa kuwavua uanachama wao, leo wale wadada licha ya kuapishwa sio tena wanachama wa Chadema, this is a fact.

- Kikao cha baraza kuu kuna factors zilizosababisha kisikae mpaka leo, Corona, suala la mwenyekiti wao n.k.

- Kupeleka forgery polisi, polisi wapi hao watakaolishughulikia hilo suala, hawa wakina Kingai na Mahita au kuna wengine hawajulikani uwaelekeze waende huko?

- Suala la barua za Chadema zenye official letter head na signature ndio forgery yenyewe tatizo zipelekwe kwa polisi wapi watakaolishughulikia?
Kama huna uelewa wa kilichoulizwa ni bora ukakaa kimya. Ulichojibu ni aibu kubwa
 
CHADEMA mnashangaza sana mnaposhindwa kabisa kuitumia kila golden opportunity inayojitokeza kumdhoofisha adui yenu mkuu!

Mmeshaiokoa CCM kwa juhudi zenu wenyewe mara kadhaa sasa. Latest ni hili sakata la Speaker Ndugai. By failing to exploit the gigantic rift that Speaker Ndugai had caused, you basically saved your archenemy. Mungu aipe nini CCM?

Tambueni hili. No matter how much you hate a certain operative of your enemy, akishaanza kuwashambulia wenzake, usimpige; fanya kila uwezalo kukoleza mashambulizi yake kwa wenzake. Ni ajabu ya mwaka na aibu kubwa kwa CHADEMA kumshika shati mchezaji wa CCM anayekwenda kujifunga goli.

Seriously, it’s high time you hired effective coaches. Vinginevyo, mtaendelea kuchezea timu ya adui yenu bila nyie wenyewe kujitambua!
Wewe binafsi huwezi kufanya kitu mpaka CDM wafanye, tuanze na wewe
 
Siasa za CDM siyo zenu!

Pili pili msizozila kuwa washa namna gani?

CDM ina vipaumbele vyake:

1. Minyukano ndani ya CCM haitusaidii kwenye madai yetu ya katiba mpya.
2. Mwendazake hayupo tena, makando kando yake tuhangaike nayo kwenye "haki na maridhiano" baada ya katiba mpya.
3. Agenda zetu ni za kudumu si marafiki.

Juu ya hivi ni muhimu pia ikafahamika ni nia yetu kujua hapo #2 hizi 29tr/- Mikopo ya awamu ya tano zilitumika wapi.
 
CHADEMA kitafanya lolote lile ambalo Lisu atasema, hata kama halina manufaa makubwa kwa chama. Lisu ndiye 'think tank' la CHADEMA. Bahati mbaya Lisu ni mwanaharakati zaidi, hana mbinu na mikakakati thabiti ya kisiasa.
 
Hatuna mchezo wa kijinga kama Siasa za Afrika,Kenya matharani,tunajaribu kujenga Siasa zenye utu kama USA au UK,hapa huwa nakumbuka msimamo wa Mwal Nyerere,alipowakemea wale waliokuwa wakijiita wazawa,wakitumia weusi wa ngozi kuonyesha na kudai haki zao,aliwafananisha na makaburu,wazungu wabaguzi wa SA,
Mwalimu alisema ,"hatukuwachukia wale wazungu kwa sababu ya rangi zao,Bali matendo,sasa hatuwezi kuwakumbstia weusi wenzetu kwa weusi wao tu,wakati wanatabia zile zile za kikaburu"
Unachotaka Chadema wafsnye,ni Siasa za maji taka,huko tumeishatoka.
Siasa za utu kama US? Fuatilia siasa za majimbo ya Republicans halafu uje kufuta hiyo kauli yako. Nyie chadema hamjui siasa, period. Tanzania vyama vyote vikubwa ni hovyo.
 
Chadema ni chama imara sana kuliko CCM. Just imagine mwenyekiti wake yuko jela kesi ya ugaidi, makamu mwenyekiti yupo ulaya baada ya kushambuliwa na risasi. Mwenyekiti wa kanda ya kaskazini ambako ni chachu ya siasa za mageuzi yupo Canada. Aliyekuwa mwenyekiti wa Baraza la wanawake ( Mdee) kasaliti chama. Hivyo mtu mkubwa kwenye chama yupo katibu mkuu peke yake, lakin chama bado kina nguvu. Piga picha ingekuwa CCM haina mwenyekiti wala makamu wake.... Ingekuwa fujo tupu na vurugu, na hapo ndo wana mbeleko ya dola.

Lakin chadema mpaka sasa inaendelea na operation yao ya kujenga ofisi za mikoa na wilaya nchi nzima. Wanasajili wanachama wao kidigitali..wanajenga chama. Hawana ruzuku wala mbeleko ya dola. Chadema Ina misingi imara sana na nidhamu ya hali ya juu! Hakuna vurugu hakuna kujibishana. Kuhusu movement za kisiasa, kuanzia mwezi wa 3 Tundu Lissu na Lema wakirudi mshikemshike unaanza tena, Mbowe akitoka ndo balaa kabisa. CCM Ina hali mbaya sana kuliko watu wanavyokiona, toka 2015 "walipolazimika" kumuweka Magufuli ili aokoe jahazi, bahati mbaya mkombozi wao amewafia mikononi. 2025 Mama Samia hawezi kushindana na Lissu akashinda, hawana watu mtaani, ajira hakuna, mahitaji ya msingi yamepanda bei, machinga wamevurugwa, tozo nk. CCM bila dola hakuna kitu. Na huwezi dumu kwa kutegemea dola. Never
 
Just to put the record clear, majina hayo 19, hayakujipeleka, yalipelekwa rasmi, na wakati walipoapishwa walikuwa ni wanachama halali wa Chadema.
Hivi hamjiulizi kwanini kikao cha Baraza Kuu hakiitishwi?. Kama ni kweli Chadema hawakupeleka rasmi majina, that means kuna forgery ni kosa la jinai, hamjiulizi kwanini mpaka leo Chadema haijairipoti polisi jinai hii ili uchunguzi wa kijinai ufanyike kubainisha ni nani alifoji barua za Chadema zenye offical letter head na signature zilizo peleka majina yale NEC.

Nawapongeza Chadema kwa kuuzingatia ushauri huu
P
Mkuu Pascal Mayalla!
Umenena jambo ambalo ni fikirishi kabisa.
Mimi binafsi nina imani kwamba, katika vyama vya upinzani nchini ambavyo vimebobea katika masuala ya kesi nchini basi chadema ni mojawapo.

Hii inatokana na chadema kuwa katika uendeshaji kesi mbalimbali ambazo wamekuwa wakifunguliwa au wao pia kufungua mahakamani.
Kwa muda mrefu kama ambavyo tumekuwa tukishuhudia siku hadi siku.jambo ambalo limewakomaza kuizoea mahakama kuliko chama chochote cha siasa nchini.
Rekodi hii hapo awali ilikuwa ikishikiliwa na chama cha marehemu Mchungaji Mtikila.

Hivyo basi nikirejea hili andiko lako, ni kweli kabisa inaonyesha kwamba CHADEMA wana jambo ambalo hawaliweki wazi kuhusiana na uteuzi wa hawa wabunge 19 ambao baadae waligeuka kuwa mgogoro mkubwa.

Isingekuwa kuna jambo zito ambalo walilikosea kwenye hatua za awali ndani ya uongozi wao kwenye uwasilishaji wa majina yale.

Chama kama chadema chenye makamu mwenyekiti ambaye ni mwanasheria mbobezi na mpenda kesi kama Lissu,ambacho kinajinadi kwa kuwa na mawakili kinaowaita wasomi kuliko wenzao.kikae bila kulifikisha mahakamani kwenye vyombo vya sheria jambo ambalo wao wanatuaminisha huku 100% kwamba kwenye suala hilo kulitendeka jinai.

Kulikoni pia wapate kigugumizi cha kuitisha kikao cha halmashauri kuu ambacho kinapaswa kutoa hatma ya uanachama wa hao wanachama na wabunge 19?
Ukitafakari hayo na ukasoma hilo andiko lako, wengi tutaendelea kuamini kwamba uongozi wa chadema kuna mahali hauko wazi kwa wafuasi na wanachama wao.
 
Chadema ni chama imara sana kuliko CCM. Just imagine mwenyekiti wake yuko jela kesi ya ugaidi, makamu mwenyekiti yupo ulaya baada ya kushambuliwa na risasi. Mwenyekiti wa kanda ya kaskazini ambako ni chachu ya siasa za mageuzi yupo Canada. Aliyekuwa mwenyekiti wa Baraza la wanawake ( Mdee) kasaliti chama. Hivyo mtu mkubwa kwenye chama yupo katibu mkuu peke yake, lakin chama bado kina nguvu. Piga picha ingekuwa CCM haina mwenyekiti wala makamu wake.... Ingekuwa fujo tupu na vurugu, na hapo ndo wana mbeleko ya dola. Lakin chadema mpaka sasa inaendelea na operation yao ya kujenga ofisi za mikoa na wilaya nchi nzima. Hawana ruzuku wala mbeleko ya dola. Chadema Ina misingi imara sana na nidhamu ya hali ya juu! Kuhusu movement za kisiasa, kuanzia mwezi wa 3 Tundu Lissu na Lema wakirudi mshikemshike unaanza tena, Mbowe akitoka ndo balaa kabisa. CCM Ina hali mbaya sana kuliko watuwanavyokiona, toka 2015 "walipolazimika" kumuweka Magufuli ili aokoe jahazi, bahati mbaya mkombozi wao amewafia mikononi. 2025 Mama Samia hawezi kushindana na Lissu akashinda
CCM imekufa, Chadema nguvu ipo kanda ya kaskazini. Hii nchi inaendeshwa na vyombo vya usalama tu. Msijidanganye.
 
CDM haina siasa za kistaarabu hata kidogo bali ina ukosefu mkubwa wa mbinu za medani na umahiri wa siasa majitaka. Jambazi hawezi kuchukuliwa kuwa raia mwema kwa sababu tu ameshindwa kuwa na sophisticated techniques za uhalifu!

Viongozi wa CDM wamebadili gia angani au wamekengeuka mara ngapi katika maswala makubwa na ya msingi?
CCM ndo Wana mbinu za kistaarabu za kisiasa?
1) Kupiga risasi wapinzani mchana kweupe
2) Kuua wapinzani
3) Kuwabambikia kesi za mauaji wapinzani nchi nzima
4) Kufilisi na kuwahujumu wapinzani
5) Kununua wapinzani
Niambie nini cha kistaarabu hapo? CCM ni chama kilichokufa na kinategemea polisi kufanya shuguli zake, na hili hata JK alilisema wazi. Kuwe kuna tume huru na ya haki, vijana waingie mitaani kupiga kura..watatoboa?
 
Just to put the record clear, majina hayo 19, hayakujipeleka, yalipelekwa rasmi, na wakati walipoapishwa walikuwa ni wanachama halali wa Chadema.
Hivi hamjiulizi kwanini kikao cha Baraza Kuu hakiitishwi?. Kama ni kweli Chadema hawakupeleka rasmi majina, that means kuna forgery ni kosa la jinai, hamjiulizi kwanini mpaka leo Chadema haijairipoti polisi jinai hii ili uchunguzi wa kijinai ufanyike kubainisha ni nani alifoji barua za Chadema zenye offical letter head na signature zilizo peleka majina yale NEC.

Nawapongeza Chadema kwa kuuzingatia ushauri huu
P
Huwa unanishangaza uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo kiasi hiki..na huwa unaandika mambo mengi marefu sana lakin ukichunguza kupata point hakuna, bahati mbaya siku hizi huwa hata sijisumbui kusoma maandiko yako marefu. Turudi kwenye covid-19, Chadema kupitia katibu wake Mnyika iliweka wazi kuwa haijatuma majina kwenda ofisi za tume ya uchaguzi wala bunge ya hao Wabunge..ikaenda mbali hadi kuwavua uanachama. Sheria zinasemaje? Mtu akivuliwa uanachama anakoma kuwa mbunge... period! Kwanini sheria haifuatwi? Kama chama kimeandikia tume, tume haijajibu, kimefukuza uanachama, bunge halijawaondoa, unaamini polisi ndo haki itapatikana? Uwe mkweli wa nafsi yako na uwe unatumia akili kidogo bro
 
Nimegundua wengi upinzani wanafanya siasa za kukariri, hawashughulishi bongo zao, wao kama anayezungumziwa alishaharibu jambo fulani suku za nyuma watabebana na jambo hilo hilo waendelee kumshambulia mtu huyo bila kujali athari za mashambulizi yao.

Walianza kwa Polepole wakapiga kelele hawakujua kwa kufanya vile wanaitetea CCM ambae ndie adui yao mkubwa zaidi, na mbaya zaidi kwa Polepole walikuwa wanapinga asipewe haki yake ya kujieleza ambayo wao wenyewe kila siku wanaikilia kupitia mikutano ya kisiasa waliyonyimwa.

Hapo nikashindwa kuwaelewa, unakataa Polepole asipewe ila wewe utataka kupewa maana yake nini?. Leo unaungana na yule anayemnyima Polepole halafu kesho utarudi kwake akupe wewe, akikunyima utalalamika kwa nani akusikilize? wanajua wenyewe.

Likaibuka tena hili la Ndugai, wengi wanapiga kelele zao zile zile za kukariri, "Sukuma gang wameshindwa" najiuliza hivi hawa kweli wana upeo atleast wakujua wanachokipigania au wameshaigeuza siasa kuwa ushabiki kama wa Simba na Yanga?

Ndugai ameongea point, stick with him, walete ufafanuzi wa hoja yake, sio kumtisha na vijembe vyao. Kesho wao wakianza kuipinga serikali then CCM wale wale wataanza kuwajibu kwa ile mipasho yao kule bungeni wataanza kulalamika CCM hawajibu hoja, kama ya Ndugai hamkutaka ijibiwe vizuri kwanini yenu ijibiwe toka kwa watu wale wale wenye majibu mabaya?

Sometimes wanaendekeza tabia mbovu ambazo wao wamekuwa wakizipinga bila kujua, majority of them wanatumia same level of thinking kwenye kuamua kila jambo linaloibuka mbele yao, hapa siioni tofauti yao na CCM tofauti yao ni playing ground ndio tofauti.

CCM wana uwanja mpana zaidi wa kuamua mambo mengi ya nchi kwa mazoea ndio maana wale maadui watatu wa tangu tupate uhuru bado tunao mpaka leo, wakati wao Chadema wana kauwanja kao kadogo cha kujifanyia mambo yao kwa mazoea.

Hapa mambo ya kunyimwa haki zao na msajili au polisi hayahusiki kabisa, ni level of thinking yao ndio inajadiliwa, hasa kwenye kucheza michezo ya kisiasa. Kwa namna hii sioni kama kuna lolote la maana watakalo achieve, wanajidumaza huku wao wanashangilia kwa mapambio ya kujipa moya kama vile "Chadema ni mpango wa Mungu" na mengineyo.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
..Leo unawapa kazi chadema ya kuwatetea kina Polepole na Ndugai? Hiyo ni kazi ya chadema? Yaani unaona kunyimwa haki na polisi na msajili kufanya shuguli za kisiasa ambazo zimeainishwa kikatiba ni jambo dogo? Wewe ni kabisa 🚮🚮
 
k tom
Umeanza vurugu zako, hayo majina kama unaamini yalipelekwa tuambie yalipelekwa na nani?
Anayepaswa kupeleka majina ni any of the 4 gazzeted officers wa Chadema, ambao ni signatories na office beares , ambao ni Mwenyekiti, M/Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu. Sasa unaniuliza mimi badala ya kuwauliza viongozi wako?. Kwa taarifa yako, barua kutoka Chadema kwenda NEC kupeleka hayo majina 19, ni barua bonafide genuine ya Chadema yenye mihuri na sahihi. Kitu ambacho Chadema siku zote hamkijui, ni kujidhania ni wamoja kumbe.... Kati ya hao 19, 6 kati yao ni wake, wachumba, vimada au vidumu vya viongozi wenu wakiwemo wajumbe wa CC ambao wanaishi kinyumba kwa kuishi nyumba moja na kulala kitanda kimoja!. Halafu eti mtu unaamka asubuhi, unashtuka mke wako ameibukia Dodoma, eti wewe huna taarifa!. Tukiwaambia CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?, mnabisha!, siku mkijua ukweli, you will be surprised!.
walipoapishwa kweli walikuwa wanachama wa Chadema kwasababu bado mkutano mkuu ulikuwa haujakaa kuwavua uanachama wao, leo wale wadada licha ya kuapishwa sio tena wanachama wa Chadema, this is a fact.
Duh kumbe najadili na amacha ambaye hata hajui katiba ya Chadema wala ni kikao gani kiliwavua uanachama. Hajui hata jina la Mkutano Mkuu wa Chadema. Kwa kukusaidia tuu, kikao kilichowavua uanachama ni kikao cha CC ya Chadema, kama kilivyomvua Zitto uanachama. CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya NKM au Mwenyekiti wa Bawacha, sasa kilipata wapi mamlaka ya kumvua uanachama ZZK na sasa Halima Mdee?. Baada ya kuvuliwa uanachama, wamekata rufaa, hivyo wameendelea kuwa wanachama halali wa Chadema mpaka kikao cha Baraza Kuu kikae na kusikiliza rufaa zao ama kubariki maamuzi ya kangaroo court ya CC ya Chadema ama to quash na kuendelea na ubunge wao.
Kikao cha baraza kuu kuna factors zilizosababisha kisikae mpaka leo, Corona, suala la mwenyekiti wao n.k.
Poleni sana kwa haya.
Kupeleka forgery polisi, polisi wapi hao watakaolishughulikia hilo suala, hawa wakina Kingai na Mahita au kuna wengine hawajulikani uwaelekeze waende huko?
Mara ngapi Chadema imekwenda mahakamani kufungua kesi za kijinga kabisa na mfano ni huu
Suala la barua za Chadema zenye official letter head na signature ndio forgery yenyewe tatizo zipelekwe kwa polisi wapi watakaolishughulikia?
Haya bana nimekubali, tusubiri kikao cha Baraza Kuu.
P
 
CCM imekufa, Chadema nguvu ipo kanda ya kaskazini. Hii nchi inaendeshwa na vyombo vya usalama tu. Msijidanganye.
Nani anaejidanganya..mimi au wewe? Huwezi kuendesha chama cha siasa za ushawishi huku umetanguliza polisi mbele wanaumiza watu. Mwisho wa siku utaishia kumwaga damu tu
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
..Leo unawapa kazi chadema ya kuwatetea kina Polepole na Ndugai? Hiyo ni kazi ya chadema? Yaani unaona kunyimwa haki na polisi na msajili kufanya shuguli za kisiasa ambazo zimeainishwa kikatiba ni jambo dogo? Wewe ni kabisa [emoji706][emoji706]
Ukisema nawatetea kina Polepole na Ndugai unakuwa umekurupuka, natetea content ya hoja zao ambazo ndio hizo hizo Chadema huwa wanazipigania, sitetei sura zao, open your mind think wide.

Nimesema pale juu hapa sizungumzii habari ya msajili au mambo ya polisi, wacha kukurupuka, nazungumzia uwezo wao ukiwa miongoni mwao wa kuchambua issues kwa perspective yake, sio mtu.
 
Hebu weka hilo jibu lako " zuri" hapa tulisome, usipoteze muda.
Msiwe defensive tu mnaposhauriwa. Tunataka upinzani imara ili CCM wajielewe. Tatizo kila ushauri kwenu ni tusi. Wengi tunawapenda ila mko kihuni zaidi. Paschal kauliza maswali ya maana na vizuri mkayaangalia strategically badala ya kuwa crying kid for no reasons. Fanyienikazi kila ushauri na msiwe na miungu mtu katika chamade chenu ambao hawaguswi.
 
k tom

Anayepaswa kupeleka majina ni any of the 4 gazzeted officers wa Chadema, ambao ni signatories na office beares , ambao ni Mwenyekiti, M/Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu. Sasa unaniuliza mimi badala ya kuwauliza viongozi wako?. Kwa taarifa yako, barua kutoka Chadema kwenda NEC kupeleka hayo majina 19, ni barua bonafide genuine ya Chadema yenye mihuri na sahihi. Kitu ambacho Chadema siku zote hamkijui, ni kujidhania ni wamoja kumbe.... Kati ya hao 19, 6 kati yao ni wake, wachumba, vimada au vidumu vya viongozi wenu wakiwemo wajumbe wa CC ambao wanaishi kinyumba kwa kuishi nyumba moja na kulala kitanda kimoja!. Halafu eti mtu unaamka asubuhi, unashtuka mke wako ameibukia Dodoma, eti wewe huna taarifa!. Tukiwaambia CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?, mnabisha!, siku mkijua ukweli, you will be surprised!.

Duh kumbe najadili na amacha ambaye hata hajui katiba ya Chadema wala ni kikao gani kiliwavua uanachama. Hajui hata jina la Mkutano Mkuu wa Chadema. Kwa kukusaidia tuu, kikao kilichowavua uanachama ni kikao cha CC ya Chadema, kama kilivyomvua Zitto uanachama. CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya NKM au Mwenyekiti wa Bawacha, sasa kilipata wapi mamlaka ya kumvua uanachama ZZK na sasa Halima Mdee?. Baada ya kuvuliwa uanachama, wamekata rufaa, hivyo wameendelea kuwa wanachama halali wa Chadema mpaka kikao cha Baraza Kuu kikae na kusikiliza rufaa zao ama kubariki maamuzi ya kangaroo court ya CC ya Chadema ama to quash na kuendelea na ubunge wao.

Poleni sana kwa haya.

Mara ngapi Chadema imekwenda mahakamani kufungua kesi za kijinga kabisa na mfano ni huu

Haya bana nimekubali, tusubiri kikao cha Baraza Kuu.
P
Nimekuuliza wewe kwa kuwa umeanza maelezo yako kwa kusema kuna viongozi wa Chadema waliopeleka yale majina 19 kwa kina Ndugai.

Mimi kusahau jina la kikao hakuleti justification ya hizi porojo zako, kwamba adhabu ya wahusika inaanza kuhesabika watakaposhinda/shindwa rufaa zao, kwa msingi huo sijui wale wafungwa kule gerezani wanaosubiri rufaa zao mahakamani wanafanya nini kule.

Kuhusu suala la kuwa na wachumba, vimada, nk ni hisia tu unazoweka hapa, inawezekana hata kama hao wabibi wana wachumba na vimada bado hao wachumba zao wakawa hawajapeleka hayo majina. Kama una ushahidi walipeleka tuwekee hapa, mahusiano yao pekee hayatoshi ku justify madai yako.

Halafu usichanganye suala la Zitto na kina Mdee, Zitto alijifukuzisha mwenyewe kwa kwenda kwake mahakamani akijua wazi kufanya vile alikuwa anakiuka sheria za chama chake, kila siku unamlilia sijui kwa nini?

Halafu unanishangaza zaidi unapoamua kuilaumu Chadema kama vile hili jambo ni jipya sana kwao, kwanini usimlaumu Spika alieamua kuwatetea wale covid wakati suala kama lile lilishawahi kuamuliwa na bunge kuhusu waliokuwa wabunge wanachama wa CUF? huoni kuna political motives behind hapa?
 
Back
Top Bottom