CHADEMA, when will you master the Political Game?

Mkuu Pulchra Animo , kuwashauri hawa watu, ni you are just wasting your time!, hawashauriki!.

Chadema ni sikio la kufa
tena tuliwaambia siku nyingi...
P
Acha kujifanya unajua kushauri Mayala, ungekuwa na uwezo huo ungepata kura moja kwenye kura za maoni ndani ya chama chenu?
 
CDM haina siasa za kistaarabu hata kidogo
Umesema CDM hawana siasa za kistaarabu...au huwezi kusoma na kuelewa ulichoandika mwenyewe? Mimi ndo nikakuuliza siasa za CCM kupiga risasi wapinzani, kubambikia kesi, kufilisi ndo za kistaarabu? Umerudi ukasema nimedandia treni kwa mbele. Nani anajichanganya hapa? Inaonekana umevurugwa huelewi hata unaongelea nini..
 
Umesema CDM hawana siasa za kistaarabu...au huwezi kusoma na kuelewa ulichoandika mwenyewe? Mimi ndo nikakuuliza siasa za CCM kupiga risasi wapinzani, kubambikia kesi, kufilisi ndo za kistaarabu? Umerudi ukasema nimedandia treni kwa mbele. Nani anajichanganya hapa? Inaonekana umevurugwa huelewi hata unaongelea nini..

Una matatizo. Nimekuuliza ni wapi nimesema CCM au chama kingine ndiyo wana siasa za kistaarabu?

Nimeshakuambia several times kwamba andiko langu lilisimama kinyume na madai kwamba CDM hawana siasa majitaka!
 
Acha kujifanya unajua kushauri Mayala, ungekuwa na uwezo huo ungepata kura moja kwenye kura za maoni ndani ya chama chenu?
Mkuu malantu, sio najifanya najua kushauri, sijifanyi, mimi ni mshauri kiukweli. Ila ndani ya chama changu tuna mambo yetu mule na watu wanaoitwa wajumbe na nieleza vizuri hapa
P
 
Ni kweli mmemaliza na mmenalizwa. Nilichosema ni kuwa wengine tunaumia sana kuona akili ndogo zikiendesha akili kubwa. Covid-19? Mbona mnaomba masndamano ya katiba,. Nachojaribu kusema ni kuwa kuna udhaifu upande wa bunge lakini unasaidiwa sana na uhuni ndani ya CHADEMA then mnaanza kuaminishwa au kuhalalisha huo uhuni kwa sababu za uongo na upuuzi kama ulizotoa hapo mwanzo.
Naona unajaribu kunijibu for the sake of it. Unasema kuna udhaifu upande wa bunge halafu ku justify ujinga wako unasema tena kuna udhaifu upande wa Chadema, mwambie Spika afanye kazi yake uone kama patakuwepo na huo udhaifu upande wa CDM.

Mwisho nikwambie tena, mwerevu habebi kila ushauri anaopewa hata kama ni wa hovyo, lazima achanganue kwanza, mjinga ndio hujibebea kila anaachoambiwa na yeyote. Umekalia kusema kuna uhuni CDM ukiambiwa weka ushahidi hapa unalia unatukanwa, tafuta saizi yako umfundishe kuimba haya mapambio yako.
 
k tom

Anayepaswa kupeleka majina ni any of the 4 gazzeted officers wa Chadema, ambao ni signatories na office beares , ambao ni Mwenyekiti, M/Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu. Sasa unaniuliza mimi badala ya kuwauliza viongozi wako?. Kwa taarifa yako, barua kutoka Chadema kwenda NEC kupeleka hayo majina 19, ni barua bonafide genuine ya Chadema yenye mihuri na sahihi. Kitu ambacho Chadema siku zote hamkijui, ni kujidhania ni wamoja kumbe.... Kati ya hao 19, 6 kati yao ni wake, wachumba, vimada au vidumu vya viongozi wenu wakiwemo wajumbe wa CC ambao wanaishi kinyumba kwa kuishi nyumba moja na kulala kitanda kimoja!. Halafu eti mtu unaamka asubuhi, unashtuka mke wako ameibukia Dodoma, eti wewe huna taarifa!. Tukiwaambia CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?, mnabisha!, siku mkijua ukweli, you will be surprised!.

Duh kumbe najadili na amacha ambaye hata hajui katiba ya Chadema wala ni kikao gani kiliwavua uanachama. Hajui hata jina la Mkutano Mkuu wa Chadema. Kwa kukusaidia tuu, kikao kilichowavua uanachama ni kikao cha CC ya Chadema, kama kilivyomvua Zitto uanachama. CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya NKM au Mwenyekiti wa Bawacha, sasa kilipata wapi mamlaka ya kumvua uanachama ZZK na sasa Halima Mdee?. Baada ya kuvuliwa uanachama, wamekata rufaa, hivyo wameendelea kuwa wanachama halali wa Chadema mpaka kikao cha Baraza Kuu kikae na kusikiliza rufaa zao ama kubariki maamuzi ya kangaroo court ya CC ya Chadema ama to quash na kuendelea na ubunge wao.

Poleni sana kwa haya.

Mara ngapi Chadema imekwenda mahakamani kufungua kesi za kijinga kabisa na mfano ni huu

Haya bana nimekubali, tusubiri kikao cha Baraza Kuu.
P
I never expected unaweza kuwa na cheap politics kiasi hichi, You are better than this.
 
Mkuu malantu, sio najifanya najua kushauri, sijifanyi, mimi ni mshauri kiukweli. Ila ndani ya chama changu tuna mambo yetu mule na watu wanaoitwa wajumbe na nieleza vizuri hapa
P
Hahaha! Wajumbeeee! Ndio udevelop capacity ya ya kuwamanage next time.
 
Mkuu Pulchra Animo , kuwashauri hawa watu, ni you are just wasting your time!, hawashauriki!.

Chadema ni sikio la kufa
tena tuliwaambia siku nyingi...
P

Paskali bana huwa unanichekesha ile mbaya unapojifanyaga una maono ya mbali. Una maono ya mbali unawashauri CDM, lakini ww mwenyewe ulishiriki uchaguzi ukaishia kupata kura 2! Kwanini hayo maono yako hukuyatumia kujua kuwa hukubaliki, na huna wa kukuunga mkono?
 
Just to put the record clear, majina hayo 19, hayakujipeleka, yalipelekwa rasmi, na wakati walipoapishwa walikuwa ni wanachama halali wa Chadema.
Hivi hamjiulizi kwanini kikao cha Baraza Kuu hakiitishwi?. Kama ni kweli Chadema hawakupeleka rasmi majina, that means kuna forgery ni kosa la jinai, hamjiulizi kwanini mpaka leo Chadema haijairipoti polisi jinai hii ili uchunguzi wa kijinai ufanyike kubainisha ni nani alifoji barua za Chadema zenye offical letter head na signature zilizo peleka majina yale NEC.

Nawapongeza Chadema kwa kuuzingatia ushauri huu
P
swala la wabunge 19 ni mchezo wa chadema wenyewe, hivi baraza kuu linachukua muda gani kukaa.
 
Paskali bana huwa unanichekesha ile mbaya unapojifanyaga una maono ya mbali. Una maono ya mbali unawashauri CDM, lakini ww mwenyewe ulishiriki uchaguzi ukaishia kupata kura 2! Kwanini hayo maono yako hukuyatumia kujua kuwa hukubaliki, na huna wa kukuunga mkono?
Mkuu Tindo , kiukweli siku zote unavyo argue humu, mimi nilikuhesabu kuwa wewe ni miongoni mwa ma GT wa humu, kumbe wewe ni just ordinary mind!.

By nature ya kazi yangu, I sarve all the people, the simple mind, the ordinary and the great mind. Simple mind na ordinary mind ndio wanaonibeza kugombea na kupata kura moja. Ma GT wanaelewa sababu na wala hawanibezi, ila kwa mujibu wa malengo yangu, hiyo kura moja ni kubwa sana na inaama sana.
P
 
Hizo siasa za janja janja na uchonganishi ili kushika dola mwa leo ni kutwanga maji kwenye kinu, watathmini maazimio na sera zao. Itatusaidia nini sisi wananchi, wala CCM ikiwa hovyo hakuifanyi CHADEMA kuwa bora bado itabaki kama ilivyo.
Chadema ovyo ni ovyo tu wala kutofautiana viongozi ccm haiwasaidii. Msingi wa ccm imara ni wahafidhina. Wale wenye kuamini sera ya ujamaa na kujitegemea. Siku wakiisha ccm itasambaratika tu maana watabaki wabinafsi na wezi. Umma wa wananchi wataitosa and then hawataweza kutawala kwa mabavu. Itabidi wasalimu amri kwenye sanduku la kura.
 
Mbona mkuu unawabeza Chadema kupata Mbunge mmoja hivi kwa uchafuzi ule ulitegemea matokeo tofauti? Wacha double standard.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
If you have time, kaangalie tarehe ya bandiko hili
ujue hata huyo mbunge 1, ni bahati sana, ilikuwa nil nil!.
P
 
Nimegundua wengi upinzani wanafanya siasa za kukariri, hawashughulishi bongo zao, wao kama anayezungumziwa alishaharibu jambo fulani suku za nyuma watabebana na jambo hilo hilo waendelee kumshambulia mtu huyo bila kujali athari za mashambulizi yao.

Walianza kwa Polepole wakapiga kelele hawakujua kwa kufanya vile wanaitetea CCM ambae ndie adui yao mkubwa zaidi, na mbaya zaidi kwa Polepole walikuwa wanapinga asipewe haki yake ya kujieleza ambayo wao wenyewe kila siku wanaikilia kupitia mikutano ya kisiasa waliyonyimwa.

Hapo nikashindwa kuwaelewa, unakataa Polepole asipewe ila wewe utataka kupewa maana yake nini?. Leo unaungana na yule anayemnyima Polepole halafu kesho utarudi kwake akupe wewe, akikunyima utalalamika kwa nani akusikilize? wanajua wenyewe.

Likaibuka tena hili la Ndugai, wengi wanapiga kelele zao zile zile za kukariri, "Sukuma gang wameshindwa" najiuliza hivi hawa kweli wana upeo atleast wakujua wanachokipigania au wameshaigeuza siasa kuwa ushabiki kama wa Simba na Yanga?

Ndugai ameongea point, stick with him, walete ufafanuzi wa hoja yake, sio kumtisha na vijembe vyao. Kesho wao wakianza kuipinga serikali then CCM wale wale wataanza kuwajibu kwa ile mipasho yao kule bungeni wataanza kulalamika CCM hawajibu hoja, kama ya Ndugai hamkutaka ijibiwe vizuri kwanini yenu ijibiwe toka kwa watu wale wale wenye majibu mabaya?

Sometimes wanaendekeza tabia mbovu ambazo wao wamekuwa wakizipinga bila kujua, majority of them wanatumia same level of thinking kwenye kuamua kila jambo linaloibuka mbele yao, hapa siioni tofauti yao na CCM tofauti yao ni playing ground ndio tofauti.

CCM wana uwanja mpana zaidi wa kuamua mambo mengi ya nchi kwa mazoea ndio maana wale maadui watatu wa tangu tupate uhuru bado tunao mpaka leo, wakati wao Chadema wana kauwanja kao kadogo cha kujifanyia mambo yao kwa mazoea.

Hapa mambo ya kunyimwa haki zao na msajili au polisi hayahusiki kabisa, ni level of thinking yao ndio inajadiliwa hasa kwenye kuicheza michezo ya kisiasa. Kwa namna hii sioni kama kuna lolote la maana watakalo achieve, wanajidumaza huku wao wanashangilia kwa mapambio ya kujipa moya kama vile "Chadema ni mpango wa Mungu" na mengineyo.

Kuna tofauti za wazi baina ya vyama na mashabiki mitandaoni. Kuwaweka wote hao kwenye kapu moja yawezekana kutokutenda haki:

Chadema: Kujipanga kwa Ukombozi hakuna Ukomo
 
Wakati mwingine turudi nyuma tujiulize! CDM watasemea wapi wakati wakinyanyua mdomo tayari wanakamatwa na kutupwa gerezani?
Ungesema hivyo kama mazingira ya kisiasa kwa nchi yetu, yangeruhusu ushindani sawa kwa vyama vyote.
 
Mkuu Tindo , kiukweli siku zote unavyo argue humu, mimi nilikuhesabu kuwa wewe ni miongoni mwa ma GT wa humu, kumbe wewe ni just ordinary mind!.

By nature ya kazi yangu, I sarve all the people, the simple mind, the ordinary and the great mind. Simple mind na ordinary mind ndio wanaonibeza kugombea na kupata kura moja. Ma GT wanaelewa sababu na wala hawanibezi, ila kwa mujibu wa malengo yangu, hiyo kura moja ni kubwa sana na inaama sana.
P

Hao unaosema hawashauriki kwa mujibu wa mitazamo na malengo yao, wanajiona wako sawa, na wanachopata ni kikubwa sana hivyo usiwabeze. As simple as that.
 
Wewe una matatizo...nimekukot hapo maandishi yako mwenyewe unayakana. Achana nayo

Wewe sijui kitu gani usichokielewa hapo. Nimesema sio kweli kwamba CDM haina siasa majitaka isipokuwa ina ukosefu mkubwa wa mbinu za medani na umahiri wa siasa majitaka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom