mkuu hii kitu wameikuza tuu, zito kutofautiana hoja na lema ni kutokana na mitazamo binafsi, sioni haja ya kuunganisha chama kwenye hili ukizingatia ile ilikuwa hoja binafsi haikubeba vision ya chama.
Mkuu, tamko baso halijatolewa na CHADEMA hawana haja ya kufanya hovyo so long aliyenangwa ni mbaya waoKamanda mimi nawataka wale wote wanaodai kwamba "CDM IMEUNGA MKONO KAULI YA WEREMA" walete tamko.
@Njano 5 OLESAIDIMU Ritz ZeMarcopolo FaizaFoxy Rutashobolwa n.k NATAKA TAMKO LA CHAMA
Silence Could Mean "Wanamuunga Mkono Zitto" kwa nini umechagua Maana?
Mkuu Bado unaleta Hisia
NATAKA TAMKO LA CHAMA

Mkuu Bado unaleta hisia
NATAKA TAMKO LA CHAMA
Silence Could Mean "Wanamuunga Mkono Zitto" kwa nini umechagua Maana?
Mkuu Bado unaleta Hisia
NATAKA TAMKO LA CHAMA
Kamanda mimi nawataka wale wote wanaodai kwamba "CDM IMEUNGA MKONO KAULI YA WEREMA" walete tamko.
@Njano 5 OLESAIDIMU Ritz ZeMarcopolo FaizaFoxy Rutashobolwa n.k NATAKA TAMKO LA CHAMA
Sasa Mkuu kama TAMKO HALIJATOLEWA kwa nini Watu wanasema CDM Inaunga Mkono Werema?