CHADEMA + Werema v/s Zitto : Naombeni tamko la CHADEMA kuunga mkono serikali

Tamko la Chama anatoa katibu Mkuu sasa JF member tutakupa chini ya kapeti ila usinirekodi Au unataka nivuliwe madaraka Albedo
Mkuu, mbona rumekuwa rukishuhudia waru wengi tu ndani ya CDM wakitoa matamko na kusema ni ya chama?
 
Mkuu Lizaboni unaweza kuniwekea TAMKO LA CDM kwamba Wanamuunga Mkono Werema? Usilete Hisia na Porojo Weka TAMKO LA CHAMA
 
Last edited by a moderator:
Tamko la Chama anatoa katibu Mkuu sasa JF member tutakupa chini ya kapeti ila usinirekodi Au unataka nivuliwe madaraka Albedo

mkuu mleta thread anawataka watu wanaobandika thread za kuaminisha kuwa chadema wanamuunga mkono werema wathibitishe kwa tamko la chama na sio kutumia hisia.
 
Kama Lema angeshambuliwa na Werema, CHADEMA wangetoa tamko. Ila kwa vile aliyeshambuliwa ni Zitto ndo maana chama kimekaa kimya! Hoja ya werema imetiwa nguvu na kaulimya Lema kuwa yeye yupo tayari kuyataja hayo majina na hahitaji ulinzi katika kufanya hivyo. Swali la kujiuliza, ujasiri wa Lema umetokana na nini? Kama ameshindwa kutaja majina ya watu aliodai kuwa wametengeneza na kusambaza zile picha zake za kulawitiwa (ingawa anajua kuwa zile oicha hazikuwa za kutengwneza), ataweza hili la Mafisadi?

Kati ya Lema na Werema nani alianza kulizungumzia hili? Bila shaka ni lema alianza kumwomb ZZK ampe majina ataje kama yeye anaona soo. Na AG alithibitisha hilo kwa kusema anaunga mkono hoja ya Lema. Kwa ninj usiseme kauli ya Lema imetiwa nguvu na ile ya Werema na sio kunyume chake? Au imeshathibitishwa kuwa ni Chama kilikuwa kinampa maelekezo ya kuikwepa kamati ilipokuwa inamtaka ZZK atoe ushirikiano katika kufanya uchunguzi wa hoja aliyoileta mwenyewe?
Anaweza kuwa ana majina na ana sababu za msingi kukwepa kuyaweka wazi. Sasa siangewashirikisha wenzake ili jambo hili lisiwe kama jumba bovu linalomwangukia peke yake?
Naona wewe lengi lako ni kutumia kila fursa kumtukana Lema tu lakini try not to over do
 
mkuu mleta thread anawataka watu wanaobandika thread za kuaminisha kuwa chadema wanamuunga mkono werema wathibitishe kwa tamko la chama na sio kutumia hisia.

Au yeye mtoa mada atoe tamko la chama kuwa hawamuungi mkono mwanasheria mkuu!!!!! Ili kudhihirisha wanamuunga mkono ZZK!!!!!
 
Kati ya Lema na Werema nani alianza kulizungumzia hili? Bila shaka ni lema alianza kumwomb ZZK ampe majina ataje kama yeye anaona soo. Na AG alithibitisha hilo kwa kusema anaunga mkono hoja ya Lema. Kwa ninj usiseme kauli ya Lema imetiwa nguvu na ile ya Werema na sio kunyume chake? Au imeshathibitishwa kuwa ni Chama kilikuwa kinampa maelekezo ya kuikwepa kamati ilipokuwa inamtaka ZZK atoe ushirikiano katika kufanya uchunguzi wa hoja aliyoileta mwenyewe?
Anaweza kuwa ana majina na ana sababu za msingi kukwepa kuyaweka wazi. Sasa siangewashirikisha wenzake ili jambo hili lisiwe kama jumba bovu linalomwangukia peke yake?
Naona wewe lengi lako ni kutumia kila fursa kumtukana Lema tu lakini try not to over do
Mkuu, kwa maisha anayoishi Zitto ndaninya CHADEMA, ni jambo lisilowezekana kuwashirikisha kwenye jambo la hatari kama hili ikizingariwa kuwa hata Mbowe ni miongoni mwa vinara wa kufichanmabilioni nje ya nchi
 
Mkuu, una maana gani? Unaanzisha mada kwa kuwaprovoke watu fulani

Hapana Mkuu nimeona watu wakisema kwamba CDM wanamuunga Mkono Werema dhidi ya Zitto (Nikaudhika sana) ila nimeona nianzishe uzi niombe tamko rasmi la Chama ili tuweze Kujua UNAFIKI wa Chama.

Kama una Tamko unaweza tu Ukalitupia hapa ili Tulijadili
 
Mkuu, kwa maisha anayoishi Zitto ndaninya CHADEMA, ni jambo lisilowezekana kuwashirikisha kwenye jambo la hatari kama hili ikizingariwa kuwa hata Mbowe ni miongoni mwa vinara wa kufichanmabilioni nje ya nchi

Mkuu Lizaboni "KUNA TAMKO"
 
Mkuu, kwa maisha anayoishi Zitto ndaninya CHADEMA, ni jambo lisilowezekana kuwashirikisha kwenye jambo la hatari kama hili ikizingariwa kuwa hata Mbowe ni miongoni mwa vinara wa kufichanmabilioni nje ya nchi

Unataka kusema ZITTO akimpa LEMA majina na Lema akakuta Jina la Mbowe atachakachua?

Wacheni porojo leteni Majina.
 
Mkuu Lizaboni unaweza kuniwekea TAMKO LA CDM kwamba Wanamuunga Mkono Werema? Usilete Hisia na Porojo Weka TAMKO LA CHAMA
Mkuu, sina lengo la kuleta porojo humu. Ila ungesoma niliyemquote aliandika nini nadhani usingechanganyikiwa kiasimhicho
 
Chadema wamekosa uzalendo katika hili,wao wako na Zitto tu katika dhamira yao ya kumdhoofisha kisiasa.
 
Back
Top Bottom