ana maana uchagani, umasani, umburu, ujaluoni, usukumani, ukuryan- wote wanapatikana kaskazini mwa tanzania
Kaskazini tu!
Hongera Wenje. Lakini mbona hakuna tofauti na CCM kwamba mtu ni Mbunge kisha analundikiwa vyeo vingine. CDM ingejitofautisha na CCM kwa kuwapa vyeo vijana wengine ambao si wabunge ili nao waonekanane mbele ya watanzania. Sasa kila siku ni hao hao tuuuuu! Wenje, Mnyika, Zitto Wenje, Mnyika, Zitto! Wapeni vijana wengine nao vyeo jamani. Hao wabunge waachwe na shughuli za kutekeleza ahadi zao majimboni pamoja na shughuli za uwazir vivuli.
mi nadhani wangewatumia wale walioshinda ubunge lakini kwa hila za CCM wakapigwa chini. Karagwe yupo mmoja, kasulu magharibu yupo mmoja, kigoma mjini yupo mmoja, kahama yupo mmoja, shinyanga yupo mmoja. unaweza kuwataja wengine kama unawakumbuka. Hata ylue kashindye wa Igunga kwa bi fatuma.
Kuwapo uongozi wa chama, kutawajenga zaidi, halafu kwa kuwa walikuwa wamekubalika, hata wakiita mikutano ya hadahra wataitikiwa kwa nguvu kubwa kwani tayari wana wapenzi wengi, ni hii ndo itakuwa fursa pekee kwao kujitangaza, na kutangaza sera za chama kwa wananchi katika maeneo yao
Kuna watu wengi sana ambao wangeweza ku-focus kwenye hiyo kazi.
Dr.Slaa hapa you're wrong.
Mtu mmoja kazi miamoja,hapo hapo mna mlaumu kikwete kumteua
Mbunge kuwa mkuu wa mkoa kweli?
Viongozi wa CHADEMA walishasema muda mrefu, wabunge wao wakiteuliwa nafasi za chama huwa hawalipwi. Hivyo unaweza ukawa pia ni mkakati wa kupunguza matumizi ya chama. Wenje kama Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje na Mbunge napongeza uamuzi wa chama kumteua kwa kuwa atakuwa ana uzito kwenye mikutano ya kimataifa na pia anaweza kukutana kirahisi na mabalozi. Nashauri chama sasa kiteue afisa wa mambo ya nje kijana ambaye atafanya kazi kila siku ofisini. Naona wamezingatia ushauri huo kwa upande wa Mnyika wamemteulia afisa habari, nimeona hapa jina lake kuwa ni Tumaini Makene, nakumbuka huyu kamanda aliwahi kuwa mwanandishi wa habari. Wateue kijana mwenye utaalamu wa mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa ili amsadie Wenje kiutendaji. Huyo afisa ndiye alipwe na chama miongoni mwa vijana wahitimu wa vyuo.
Serayamajimbo
Kimbunga ndugu yangu,hoja yako naona ni nzito na muhimu sana. Ila nadhani sababu ya kufanya hivyo kwa sasa ni kuwa vyeo hivyo ndani ya chama vikitumikiwa na wabunge watakuwa hawalipwi na Chama kwani wanamishahara ya ubunge kwa sasa,na ukiajiri mtu mwingine atahitaji mshahara na CDM sio kama CCM hakina vyanzo vya kutosha vya mapato. Kwa sasa wacha vijana wabunge wajitolee kufanya kazi hizo ila iwe kwa ufanisiHongera Wenje. Lakini mbona hakuna tofauti na CCM kwamba mtu ni Mbunge kisha analundikiwa vyeo vingine. CDM ingejitofautisha na CCM kwa kuwapa vyeo vijana wengine ambao si wabunge ili nao waonekanane mbele ya watanzania. Sasa kila siku ni hao hao tuuuuu! Wenje, Mnyika, Zitto Wenje, Mnyika, Zitto! Wapeni vijana wengine nao vyeo jamani. Hao wabunge waachwe na shughuli za kutekeleza ahadi zao majimboni pamoja na shughuli za uwazir vivuli.
ana maana uchagani, umasani, umburu, ujaluoni, usukumani, ukuryan- wote wanapatikana kaskazini mwa tanzania
Mashabiki wa Ukabila na Ukanda wanaonekana.
kuna kijana aliye gombea mara mbili ubunge kule busanda,he is smart.
Hadi awe mbunge ndo mumuone?