CHADEMA waunguruma leo viwanja vya barafu hapa dodoma.........

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Leo kwenye viwanja vya barafu viongozi wa kitaifa wa CHADEMA watakuwepo hapa Dodoma kwenye viwanja vya barafu kwa ajili ya mkutano wa kuongea na umma wa Dodoma,nipo njiani tayari na kombati langu naelekea kwenye mkutano.........nitajaribu kupiga picha kwa kasimu kangu ka kichina if possible..na tegemeeni upadates za nguvu...
 
Poa Mkamanda pa1 sana, viongozi gani wa kitaifa watakaokuwepo? agenda nini kamanda?
 
Pamoja sana kamanda. Usikose kutuletea Uhondo wa Picha za Wakombozi
 
Asante kwa taarifa mkuu, ngoja nimalizie Tusker Malt yangu hapa Rose Garden Bar ili nijiunge nanyi.
 
jaman nipo eneo la uwanja wa barafu,lakini polisi wametanda,jukwaa limebomolewa la mkutano,nadhani kibali kimekatali. Taarifa zaidi zitafuata.
 
jaman nipo eneo la uwanja wa barafu,lakini polisi wametanda,jukwaa limebomolewa la mkutano,nadhani kibali kimekatali. Taarifa zaidi zitafuata.
kumbe walitaka kufanya mkutano bila kibali? sasa hao viongozi wanatoa mfano gani kwa jamii..bora hata wameyabomoa..
 
Mpaka sasa kuna baadhi ya magari ya chadema nimepata taarifa yapo kituoni central,bado cjajua tatizo nini ila kuna defender mbili zipo uwanjani hapa na maaskari wa kutuliza fujo na ghasia wapo stand by,kwa ajili ya kutawanya mkusanyiko wowote.
 
hao lazima hawakufuata sheria/taratibu za polisi tu kama walifuata magazeti na JF wangetoa taarifa mapema zaidi

Halafu Dodoma si ngome ya CHADEMA kabla hawajaenda huko ni bora wafanye uchunguzi wa kukubalika kwanza na jamii ya Dodoma wakiwamo Polisi
 
Dodoma is a traditional CCM's stronghold so Chadema should be extra circumspect when getting its nose there. The RPC himself was once quoted proclaiming himself as a loyal CCM supporter and would do anything in his hands to protect party's interests as far as his capacity is concerned.
 
Kwani Dodoma ni nchi tofauti na Tanzania?. Huko kukubalika kuna maana gani? Mbona Nape alikuwa Mwanza kwani CCm wanakubalika huko? Tuendako ni kufupi kuliko tulikotoka. Polisi uchwara waangalie hili. Take an example jamaa wa Kenya na Ocampo.
 
Rpc wa Dodoma Zelothe Stephen atakuwa amepenyeza mkono katika kuona kwamba chadema hawafanikishi kufanya mkutano hapo dodoma.

Jamaa ni kada mtiifu wa magamba kwahiyo hashindwi kutumia ukereketwa wake kuwawekea kauzibe chadema.

Na anafahamu kwamba vyuo vikuu vimefunguliwa lazima kungekuwa na watu wengi sana wakihudhuria mkutano huo.
 
Asante kwa taarifa mkuu, ngoja nimalizie Tusker Malt yangu hapa Rose Garden Bar ili nijiunge nanyi.

ni mwita ninayemjua au kuna mtu ametumia id yake nimekaa na wakurya wako smart sana ila ww nlikuweka kwenye kundi la mkurya feki,maana hata wauza mayai na kuku huku pugu walikuwa wanaelewa ufisadi na athari za hii govt mbovu.
 
Back
Top Bottom