Yes ,ila majanga yanapotokea ni muhimu pia tukajifunza ili next time yakitokea tuwe tayari kukabiliana nayo, hadi leo nchi haina special units within police ili kukabiliana na majanga, special unit ni moja tu, ffu ili kuthibiti na kutisha wapinzani, wapi police maji,K9, foresinc unit hawa wote walitakiwa wawe Hanang, na muhimu kila municipality iwe na kikosi chake cha uokozi including zimamoto, vikosi hivi visiendeshwe kijeshi, awamu ya kwanza kikosi cha zimamoto cha jiji la DSM ,kilikua chini ya jiji, budget yake inatoka jiji na walikua ni super, pia kwa TANROADS hawa waachiwe freeways tu,barabara zingine ziwe chini ya municipalitiesNaunga mkono hoja, kwenye majanga ya Kitaifa, lets stand united as one, kushikana mikono kusaidia!.
P