Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
endelea kutumia tu makalio kufikiri kwani ndiyo yaliyokufikisha hapo ulipo.naam, kwakweli hakuna marefu yasiyo na ncha na penye haki uongo hujiengua.methali na msemo huu umekuja baada kuuona mkanganyiko mkubwa wa kauli za chadema zinazotolewa na viongozi wao mahasimu .kauli zinazotolewa na viongozi hao zinapelekea kuyaengua mahubiri ya uongo yanaohubiriwa na viongozi hao wadhalimu.
Mikutano na maandamo haramu yanayoendeshwa na chama hicho chenye viongozi na wafuasi wenye tabia za kizulu za kupenda vita;imejikita katika kuhubiri mapambano dhidi ya rushwa,ufisadi maisha magumu na hivi karibuni kuna sakata la posho za wabunge huko dodoma.kujikanganya kwa chama hicho hasimu, kumedhihirika baada ya chama hicho kwenda tofauti na yale yanohubiriwa.
Bila shaka sote ni mashahidi kuwa chama kimekuwa kikihubiri mapambano dhidiya rushwa na ufisadi, wakati huohuo katibu mkuu wa chama hicho,padri slaa akikifanyia ufisadi chama chake kwa kukishiniza kumlipa ml.7.5 huku akipinga ml.7 zinzopokelewa na wabunge akinadi kuwa huko ni kuifilisi nchi.evi jamani tuache kwanzwa suala ushabiki hapa,kupi kuifilisi nchi kati ya kupokea ml.7.5 na ml.7? Ambapo zote hizo ni fedha za wananchi wetu tunaojinadi kuwa tunawaonea huruma.hivyobasi, hapa ndipo chadema inapojikanganya katika kauli zake na hatimaye kutarajia anguko kubwa la chama hicho pale waloghiribiwa akili watakapouona unga wa rutuba.
Aidha mkanganyiko mwingine unajipambanua pale chama hicho kilipopanga mkakati wa kupinga posho za wabunge kikidai kuwa kupokea posho hizo ni sawa na kuwadumbukiza wananchi shimoni,huku mwenyekiti wa chama hicho,freeman mbowe, akiwa msitari wa mbele kusaini fomu za mahudhurio ambapo kwa pamoja hujumuishwa na kupewa posho wakati wa kusaini kama alivyo kaririwa spika wa bunge hilo lililoingiliwa na wana muziki wanaovesika watoapo hoja.huu ni mkanganyiko mwingine wa chama hicho ambapo viongozi wake wanajikanganya kwa yale wanayohubiri na yale wanayotenda na hii ni ishara ya kuanguka kwa chama hicho katika siku za usoni.maana wahenga walisema kuwa"jahazi linapopoteza mwelekeo kinachofuata ni kuyumba na kuzama,ndivyo ilvyo kwa chadema ya sasa.je nyie wanamagwanda hamuoni mkanganyiko huo? Unaobainisha unafiki wa viongo wenu.kwanini mmekuwa viziwi,vipofu na mabubu kiasi hicho. Tafakarini ndugu zangu.
Nimalizie kwa kusema kuwa "no one can make you better without your own efforts".
Dr slaa alikataa mil 7kama mbunge(jimbo moja)
cdm inamlipa tsh 7.5kama katibu mkuu (tanzania mzima)
gari lake linatembea km * tano ya mbunge,anahudumia watz 40000000=mbunge mwenye watu wengi wa kuhudumia ni 200000=
hapo kwa akili yako ya uha.. Huoni tofauti.
Endelea kutumia hizo sehemu za haja kufikiri siku ukipata tumbo la kuharisha ndio mwisho wako.nyau we.