Ah ah ah ah yani chizi siyo lazima avue nguo ndipo umtambue kuwa ni chizi habari kama hizi zimeshaandikiwa sana hapa JF ww siyo wa kwanza lakini mwisho wake ni aibu kwa sababu akuna hata mmoja anayeunga mkono ujinga, kwa sababu saizi kila mtanzania anajua nini kinafanyika kwenye nchi yake matatizo yanayokabili taifa na wanajua yamesababishwa na CCM na serikali yake iweje leo hii ulete hoja yako hapa ambayo aina msingi na manufaa kwenye taifa letu na sisi watanzania wenye akili timamu.
Tunajua chama pekee cha kutuletea ukombozi ni CHADEMA tu na hilo linajulikana na ndo maana wanaungwa mkono na wananchi kwa kiasi kikubwa, sasa nakushauri soma alama za nyakati na ujaribu kuwa makini unapokuwa unaleta hoja yako mezani wanajf kuijadili, pia kajivue gamba alafu urudi tena hapa labda twaweza kukusaidia nini ufanye.