..Tangazo la CDM linaonyesha weledi kuliko lile la serikali.
Kazi kuu ya upinzani kutoa mawazo mbadala. Zingine huwa ni mbwembwe tu...Tangazo la CDM linaonyesha weledi kuliko lile la serikali.
Mimi sio mtaalamu wa kiswahili lakini neno lililotumika "tunataka" kidogo linaleta ukakasi kwa watu wenye uelewa wa chini badala yake wangetumia "tunashauri"..Tangazo la CDM linaonyesha weledi kuliko lile la serikali.
Wazo na tamko ni rahisi sana kwa sababu halibebi ukweli kivitendo! Unaweza kuwaza lolote na kutoa tamko lolote lakini hii haiondoi ukweli kuwa unachofanya ni kupayuka tu...wazo, tamko, maamuzi, halafu vitendo.
Nashukuru mmepokea ushauri wangu wa leo asubuhi kwamba nyie kama chama kikuu cha upinzani mnapaswa kunena japo neno hata kama hamna pointi watanzania tutawaelewa!..Tangazo la CDM linaonyesha weledi kuliko lile la serikali.
Neno "tunataka" linaleta "ukakasi" kwa vipi?lililotumika "tunataka" kidogo linaleta ukakasi kwa watu wenye uelewa wa chini badala yake wangetumia "tunashauri"