Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,753
- 4,866
..Tangazo la CDM linaonyesha weledi kuliko lile la serikali.
Upumbavu unapokosa mipaka. Yaani hata masuala kama haya yapo ya CHADEMA! Ok tamko la UKIMWI linasemaje? tamko la malaria linasemaje?
..Tangazo la CDM linaonyesha weledi kuliko lile la serikali.
Mkuu Joka Kuu, kama Chadema imeonyesha weledi kuliko serikali, jee hii ina maana sasa Chadema imewiva kiasi kwamba sasa inaweza kuaminiwa na Watanzania kuongoza serikali?.
By the way, Chadema kila mtu ni msemaji wa chama?
P
Mwambie mbowe atangaze! Sihuwa anatangaza!? Huna nguvu yakuitaka serikari.
This is a goos start, kwa vile waajiri ni wananchi, ukiweza kuonyeshea kuwa unaweza, wananchi wakakuamini unaweza, then wanaweza kukukabidhi. Kama wapinzani wana close the gap ya kuonyesha weledi zaidi, hii maana yake wananchi watawaamini zaidi wapinzani, ukifika ule muda wa kufanya maamuzi, wananchi wanaweza kuchukua CCM na kutupa kule, kisha kuwaita wapinzani na kuwakabidhi nchi!...cdm wame-close intellectual / talent gap iliyokuwepo kati yao na watendaji wa serikali na ccm.
..zamani ilikuwa ukisikiliza hoja za kiongozi wa serikali vs za kiongozi wa cdm unaona yule wa serikali ana weledi zaidi.
..sasa hivi naona ile " gap " imefutika. Nimeanza kushuhudia cdm wakijenga hoja zenye mashiko, na wakionyesha weledi, kuzidi watu wa serikali au ccm.
..Na ukumbuke cdm hawana resource walizonazo ccm au serikali.
Nyie wenye point mbona hamkujipanga mapema kukabiliana na hii hali.Nashukuru mmepokea ushauri wangu wa leo asubuhi kwamba nyie kama chama kikuu cha upinzani mnapaswa kunena japo neno hata kama hamna pointi watanzania tutawaelewa!
Siku ukitekwa ndio utaelewaMimi ni Mtanzania na siitegemei Chadema kwa lolote. Wewe unaitegemea kwa lipi kwenye maisha yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha sahihi ni kuitaka serikali itekeleze hayo yote. Huwezi kuishauri au kuiomba serikali inayotumia kodi zetu.Mimi sio mtaalamu wa kiswahili lakini neno lililotumika "tunataka" kidogo linaleta ukakasi kwa watu wenye uelewa wa chini badala yake wangetumia "tunashauri"
Ushauri wao niwamsingi ukichambuliwa vizuri na kufanyiwa kazi kwa haraka tutaweza kupunguza speed ya maambukuzi na kuendelea na shughli za maendeleo.
Asante mtoa mada umeeleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila CHADEMA ungekuwa fukara sana au labda usingeweza kuandika hapa ulivyoandika.Mimi ni Mtanzania na siitegemei Chadema kwa lolote. Wewe unaitegemea kwa lipi kwenye maisha yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni raia wa wapi? Raia wa Nchi anayelipa kodi ana haki ya kuitaka serikali itoe huduma stahiki kwa kutumia hizo kodi.Hiyo lugha ya kuvimbishana misuri haikuwa na haja....
Na hana hiyo mamlaka ya kuitaka serikali..
Yes kushauri ingekuwa better.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pimbi mkubwa hilo lichama lilishakufa kimebaki kikundi cha wahuni wahuni tu. Hawana jipya zaidi ya mipashoMungu ibariki Chadema
..Tangazo la CDM linaonyesha weledi kuliko lile la serikali.
..Tangazo la CDM linaonyesha weledi kuliko lile la serikali.
Pimbi mkubwa hilo lichama lilishakufa kimebaki kikundi cha wahuni wahuni tu. Hawana jipya zaidi ya mipasho
Hao wananchi wameporwa mamlaka hata ya kuchagua viongozi wa mtaa wataanzia wapi kupewa mamlaka ya kuibadilisha serikali? Hili labda litawezekana siku wananchi wakiamua kupambana na dola kuwezesha kubadili serikali.This is a goos start, kwa vile waajiri ni wananchi, ukiweza kuonyeshea kuwa unaweza, wananchi wakakuamini unaweza, then wanaweza kukukabidhi. Kama wapinzani wana close the gap ya kuonyesha weledi zaidi, hii maana yake wananchi watawaamini zaidi wapinzani, ukifika ule muda wa kufanya maamuzi, wananchi wanaweza kuchukua CCM na kutupa kule, kisha kuwaita wapinzani na kuwakabidhi nchi!.
P
Muulize Magufuli .Pimbi mkubwa hilo lichama lilishakufa kimebaki kikundi cha wahuni wahuni tu. Hawana jipya zaidi ya mipasho
Mimi sio mtaalamu wa kiswahili lakini neno lililotumika "tunataka" kidogo linaleta ukakasi kwa watu wenye uelewa wa chini badala yake wangetumia "tunashauri"
Ushauri wao niwamsingi ukichambuliwa vizuri na kufanyiwa kazi kwa haraka tutaweza kupunguza speed ya maambukuzi na kuendelea na shughli za maendeleo.
Asante mtoa mada umeeleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni raia wa wapi? Raia wa Nchi anayelipa kodi ana haki ya kuitaka serikali itoe huduma stahiki kwa kutumia hizo kodi.
Au mwenzangu wewe ni mhamiaji haramu unayeogopa kufukuzwa siku ukijaribu kuielekeza serikali matumizi ya kodi yako?
Unapotumia neno "Weledi" uwe mwangalifu. Weledi linatokana na taaluma yako. Niambie viongozi wa CDM wan taaluma zipi za kuweza kutoa matamko yenye weledi ndani yake. Bado kuna shida kubwa ya uelewa ndani ya Chama. Weledi siyo jambo la kuuliza halafu unakwenda kusimulia uliyoelezwa...cdm wame-close intellectual / talent gap iliyokuwepo kati yao na watendaji wa serikali na ccm.
..zamani ilikuwa ukisikiliza hoja za kiongozi wa serikali vs za kiongozi wa cdm unaona yule wa serikali ana weledi zaidi.
..sasa hivi naona ile " gap " imefutika. Nimeanza kushuhudia cdm wakijenga hoja zenye mashiko, na wakionyesha weledi, kuzidi watu wa serikali au ccm.
..Na ukumbuke cdm hawana resource walizonazo ccm au serikali.