CHADEMA watoa tamko kuhusu Virusi vya Corona

..Tangazo la CDM linaonyesha weledi kuliko lile la serikali.

Mimi sio mtaalamu wa kiswahili lakini neno lililotumika "tunataka" kidogo linaleta ukakasi kwa watu wenye uelewa wa chini badala yake wangetumia "tunashauri"

Ushauri wao niwamsingi ukichambuliwa vizuri na kufanyiwa kazi kwa haraka tutaweza kupunguza speed ya maambukuzi na kuendelea na shughli za maendeleo.

Asante mtoa mada umeeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..wazo, tamko, maamuzi, halafu vitendo.
Wazo na tamko ni rahisi sana kwa sababu halibebi ukweli kivitendo! Unaweza kuwaza lolote na kutoa tamko lolote lakini hii haiondoi ukweli kuwa unachofanya ni kupayuka tu.

Maamuzi na vitendo ndio msingi wa mabadiliko kwa sababu binadamu hupimwi kwa wazo na tamko bali kwa maamuzi na vitendo.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom