Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,639
Au bado wanauguza majeraha?
Kwa nini inakuwa lazima kuwapiga watu kama vile wao ni watoto?
Kwa nini Chalamila hataki kuona kwamba watu wakija kutoka mikoani kusikiliza kesi ya Lissu Gesti House Dar zitafurika?