hiyo sio demokrasia kila chama kina ushawishi wake wew kutokukipenda au kutokumpenda mgombea haina maana kuwa ndo msaliti kila chama lengo lake la msingi ni kushika hatamu sasa kwa kuachiana majimbo tutafika wapi?
Bora tuwe wakweli Vyama vya siasa havitafika mbali kama havitokuwa na tabia ya kuachiana majimbo. Kama kweli CUF ina nguvu zaidi ya CDM basi CDM waiachie CUF Igunga vinginevyo ni kuwapa CCM ubwete wa kushinda.

mwenye macho haambiwi tazama,cuf wamechimbia mizizi igunga tokea yaanze mageuzi,chadema hata tawi wa walikua hawana wamekurupuka juzi kwakua kuna uchaguzi mdogo,tatizo chadema wanatamaa mno na wanajidanganya kwandoto zamchana,cdm wangewaachia cuf wenye nguvu kubwa igunga jimbo lingechukuchuliwa na upinzani,ila kwa tamaahizi za cdm naweza sema wazi tayari ccm wameshashinda na wanasubiri kuapisha mbungewao tu.

kwakutokuachiana majimbo na unajua chama fulani cha upinzani kinanguvu pale kweli hamtafika popote ila itakayofika nakufaidika ni ccm kwakuchukua jimbo kiulaini kwaurohowenu wa madaraka nyie wapinzani hasa cdm.

mwenye macho haambiwi tazama,cuf wamechimbia mizizi igunga tokea yaanze mageuzi,chadema hata tawi wa walikua hawana wamekurupuka juzi kwakua kuna uchaguzi mdogo,tatizo chadema wanatamaa mno na wanajidanganya kwandoto zamchana,cdm wangewaachia cuf wenye nguvu kubwa igunga jimbo lingechukuchuliwa na upinzani,ila kwa tamaahizi za cdm naweza sema wazi tayari ccm wameshashinda na wanasubiri kuapisha mbungewao tu.

chadema chama cha kidini!!!!!!!!! ngoja nifanye uchunguzi.

hivi wewe ni yule mwera wa Tarime uliyekuwa unazomewa na wananchi kila ulipokuwa unapita? Nakumbuka mara ya mwisho pale sokoni uwanjani ulipigwa mawe..

mwenye macho haambiwi tazama,cuf wamechimbia mizizi igunga tokea yaanze mageuzi,chadema hata tawi wa walikua hawana wamekurupuka juzi kwakua kuna uchaguzi mdogo,tatizo chadema wanatamaa mno na wanajidanganya kwandoto zamchana,cdm wangewaachia cuf wenye nguvu kubwa igunga jimbo lingechukuchuliwa na upinzani,ila kwa tamaahizi za cdm naweza sema wazi tayari ccm wameshashinda na wanasubiri kuapisha mbungewao tu.
Kwa nini hawakumkata mikono kabisa ashindwe kutype ugoro humu?

Ndiyo huyo Mkuu umenikumbusha nimecheka sana. Jamaa alipigwa mawe alikimbia kama mbwa mwizi!
Huu ndiyo ujinga wa wapinzani uchwara, badala ya kuwaeleza wananchi wa Igunga ukweli wote kuhusu ubaya wa CCM, wanafanya kazi ya kumpinga mpinzani mwenzao. Nadhani hii ndiyo inayoonyesha wazi kwamba CUF ni Magamba BMratibu wa kampeni wa cuf Julius Mtatiro ameishtumu vikali chadema kwamba kiimeenda Igunga kwa lengo la kugawa kura za Cuf.Mtatiro amesema chadema wanajua wazi hawana nguvu yoyote Igunga lakini wameamua kwenda huko ili ccm ishinde.Mtatiro amemueleza mwandishi wa habari hizi kwamba chadema wasijidanganye kuambulia hata nafasi ya pili bali watakuwa namba 3 nyuma ya ccm na cuf.Mtatiro amesema cuf wamejipanga kuwaeleza wananchi wa igunga ukweli wote kuhusu chadema ili waamue wenyewe.