Ndugu wana JF.
Mimi kama Mtanzania mpenda maendeleo na nimwana CDM mwenye kadi. Napendekeza tuangalia kwa undani suala la maelendeleo na suala zima la kuwahimiza watanzania na kuwajengea uwezo wa kujiajiri badala ya kufanya malumbano kila mara. Mimi sipendezwi sana na hii hali. Sikatai kuwa Serikali inatumia nguvu sana kutatua migogoro ya Arusha lakini mpaka sasa Arusha maendeleo yamedororo sana. Je Sisi kama Watanzania tutoe mawazo ambayo yatasaidia chama chetu kiweze kusonga mbele.
Pili tuwahamasishe watz kutopenda rushwa. Rushwa sio viongoziwa juu tu bali kuanzia kununua Sukari, Cementi, Mbao, Bati, kupata huduma maofisini ni Rushwa tu. Muuza bati mmoja alisema yeye hununua bati nyingi tu gauge 32 lakini usiku vijana hukesha wakikata bati na kuzigonga muhuri wa gauge 30. Je hii hali sisi kama wana CDM tunaionaje, Kweli Sukari imepanda kwa sababu ya Dola au kuna kitu nyuma yake.
Tutafakari sana.
Peoples Power
Acha unafiki we dada...sijui kaka..Hii nchi imefika ilipo kwa ajili ya watu kuwa waoga kudai haki zao. Mgogoro gani Chadema inauanzisha na serikali? serikali ndio inaanzisha mgogoro na CHADEMA. Kwa kumbukumbu zangu serikali ya CCM ndio imekuwa mstari wa mbele kuichokoza CHADEMA..Mf. kuingilia maandamano ya CDM na mikutano yake na kuua watu, kujichagulia meya bila kufuata kanuni na sheria..etcNdugu wana JF.
Mimi kama Mtanzania mpenda maendeleo na nimwana CDM mwenye kadi. Napendekeza tuangalia kwa undani suala la maelendeleo na suala zima la kuwahimiza watanzania na kuwajengea uwezo wa kujiajiri badala ya kufanya malumbano kila mara. Mimi sipendezwi sana na hii hali. Sikatai kuwa Serikali inatumia nguvu sana kutatua migogoro ya Arusha lakini mpaka sasa Arusha maendeleo yamedororo sana. Je Sisi kama Watanzania tutoe mawazo ambayo yatasaidia chama chetu kiweze kusonga mbele.
Pili tuwahamasishe watz kutopenda rushwa. Rushwa sio viongoziwa juu tu bali kuanzia kununua Sukari, Cementi, Mbao, Bati, kupata huduma maofisini ni Rushwa tu. Muuza bati mmoja alisema yeye hununua bati nyingi tu gauge 32 lakini usiku vijana hukesha wakikata bati na kuzigonga muhuri wa gauge 30. Je hii hali sisi kama wana CDM tunaionaje, Kweli Sukari imepanda kwa sababu ya Dola au kuna kitu nyuma yake.
Tutafakari sana.
Peoples Power
sijui malaika ganaani atumwe tena kutuambia kua tunepelekwa shimoni????????
mkuu umenena vema. mimi nafahamu kuwa chadema inakubalika ma imekubalika kwa watanzania wengi hasa mijini ila sasa haya masuala mengine ya ukorofi naona wana over do! Badala ya kwenda kuhamasisha watu vijijini wao wanang'ang'nia vurugu arusha mjini. Kwa vurugu zisizo na mwisho kuna siku watu wataichoka chademaNdugu wana JF.
Mimi kama Mtanzania mpenda maendeleo na nimwana CDM mwenye kadi. Napendekeza tuangalia kwa undani suala la maelendeleo na suala zima la kuwahimiza watanzania na kuwajengea uwezo wa kujiajiri badala ya kufanya malumbano kila mara. Mimi sipendezwi sana na hii hali. Sikatai kuwa Serikali inatumia nguvu sana kutatua migogoro ya Arusha lakini mpaka asa Arusha maendeleo yamedororo sana. Je Sisi kama Watanzania tutoe mawazo ambayo yatasaidia chama chetu kiweze kusonga mbele.
Pili tuwahamasishe watz kutopenda rushwa. Rushwa sio viongoziwa juu tu bali kuanzia kununua Sukari, Cementi, Mbao, Bati, kupata huduma maofisini ni Rushwa tu. Muuza bati mmoja alisema yeye hununua bati nyingi tu gauge 32 lakini usiku vijana hukesha wakikata bati na kuzigonga muhuri wa gauge 30. Je hii hali sisi kama wana CDM tunaionaje, Kweli Sukari imepanda kwa sababu ya Dola au kuna kitu nyuma yake.
Tutafakari sana.
Peoples Power
Napaata mashaka na uanachama wako huenda wewe ni mamluki,kuna nini kinachoweza kufanyika ndani ya nchi inayoongozwa na CCM -mafisadi?wewe sio chadema,no mi napinga,hivi ya Arusha unaona Chadema wanamakosa?hivi unawezaji kusema CDM ipunguze mgogoro na serikali,hivi kwanza serikali iko wapi,wahuni hawa!
Sijakuelewa mkuu
Ndugu yangu iliezansha maada hii nakuunga mkono kabisa,japo kuna watu wametoa kejeli juu ya mawzo yako.lakini ukweli ni kwamba cdm ikiendelea na siasa ya namna hii haiwezi ikafika popote,kwani lazima kujua tamaduni za kitanzania ni zipi?? Watanzania wengi sana wanapenda amani,unapotumia nguvu na vurugu kudai haki,hata kama unachdai ni sahihi utaonekana hauko sahihi.naomba tujikite zaidi katika kuleta mabadfiliko ya kweli katika maisha na hali duni ya wanachi hasa katika majimbo amabayo yako chini ya cdm,kwani hiki ndio kipaumbele cha wananchi cha kwanza,sizani na siamini mtapewa kura na wananchi kuongoza taifa hili kwa kigezo cha kuonesha mnapingana kiasi gani na serikali bila hata kuonesha nyinyi mmetatua vipi matatizo ya wananchi??.mfano mzuri ni tyaliotokea leo arusha,watu sasa wanalalamika wamepigwa,vujiwa na kualibiwa mali zao,kisa tu wamekataa kushiriki maandamano ya kupinga kuwekwa ndani kwa mbunge wao.sasa hapa hii ni demokrasia gani??imeonesha mfano gani na tofauti yetu iko wapi na hao mnaowapinga?? Tuwe makini jamani,tufanye siasa za kutaka "cheap popularity" kamwe hazitafikisha chama popote!!na tuwe watu wa kukubali mawazo ya wengine,sio kila anaetoa mawazo mbadala wanaoneka katumwa au hakitakii chama mema,wengi wameshindwa harakati zao kwa kuwa na maono finyu kama haya.tupime nini kipaumbele cha watanzani kwa sasa?? Naomba tuchukue muda jinsi angel machel (kansela wa ujerumani) na chama chake walivyoweza kufanikiwa kucchukua dola,kifupi ni kwa kutoa msuluhisha mbadala kwa matatizo ya wanachi na sio kukicha kugombana na kulia kuonewa,"people's sympathy"(kulalamika kwa wananchi mnaonewa,ili mpate ghuluma yao na kupewa kura za huruma) kamwe haijawahi kukipa chama madara ila" people's confidence" (ianatokana na imani ya wananchi kwenu kwa kuonesha uwezo wa kutatua matatizo yao hata kwa madaraka madogo mlionayo)