CHADEMA wananukuu kila kitu kutoka Ujerumani ambako habari ya kubadilishana madaraka ni nadra sana

Picha nzuri, asante. Lakini ukisoma "Federal President appoints Chansellor" usitafsiri Kitanzania. Hapa rais anamteua kuwa Mkuu wa Mkoa anayemtaka. Ni chaguo lake. Rais wa Ujerumani hana chaguo kumteua chansellor. Anapaswa kufuata azimio la Bunge.
Soma Basic Law (Katiba ya Ujerumani):
Article 63 [Election of the Federal Chancellor]
(1) The Federal Chancellor shall be elected by the Bundestag without debate on the proposal of the Federal President.
(2) The person who receives the votes of a majority of the Members of the Bundestag shall be elected. The person elected shall be appointed by the Federal President.
.. halafu katika fungu 4 (kwa hali ya kukosa kura )
(4)...... If the person elected receives the votes of a majority of the Members of the Bundestag, the Federal President must appoint him within seven days after the election. ...

Ana madaraka ya kufanya azimio tu kama hakuna anayepata asilimia 50 za kura kwenye bunge. Hapa anaweza kumteua mwenye kura nyingi zaidi au kuagiza uchaguzi mpya. (Haukiwahi kutokea)
Tena soma hapa kifungu Article 67 [Vote of no confidence]
(1) The Bundestag may express its lack of confidence in the Federal Chancellor only by electing a successor by the vote of a majority of its Members and requesting the Federal President to dismiss the Federal Chancellor. The Federal President must comply with the request and appoint the person elected.
Kazi ya rais ni hasa kutekeleza hatua zinazoamriwa kikatiba, lakini maazimio karibu yote ni ya watu wengine. Yeye anahakikisha katiba ifuatwe.
Marejeo:Basic Law for the Federal Republic of Germany
 
Tungekua tuko mahakani ushafungwa mkuu, jokes
Nayafahamu yote hayo kabla sijachangia chochote kwenye huu uzi.
Neno langu linabaki palepale
 
Back
Top Bottom