Chadema wanafanya jitihada za kununua Picha za kurushiwa mawe Dr Slaa kwa Mpiga picha wa ITV

Status
Not open for further replies.
Huo ni uongo kwani Mwandiga alikuwepo mwanahabari mmoja tu??? Siku hizi hata simu zinarekodi HD halafi wewe unatuletea propaganda hapa!
Huyu Mlengwa Kati anafikiri labda tuko 1998 ambapo ITV ndio ilikua station pekee.

Aendeleee tu Kulengwa Kati, jukwaa halimfai!!
 
We mlango wa kati inaelekea wewe ni kengeza huoni tv vizuri au ni kiziwi kusikii au una mitambo yako ya tv kwako.
Mmmmmxxxxxiiiiiuuuuu
 
pole,

naona maumivu yanaanza poole pole. Naona mipango yenu yote imevurugika.

afu vp hujaangalia ITV mkuu?

acha ushamba na kutumika kama con..m

lane nakwambia humu jamvini misukule wa ccm wanahaha full time ila siku zote haki haijawahi kushindwa na ukweli utabaki kusimama kuwa KWELI na Zitto hana jipya ndani ya CDM na asiyekubali na ajitundike kudadeki!
 
Last edited by a moderator:
Saccos imeparanganyika hii

Wewe msukule T2015CCM pole sn kutumika kama cond...om bila ya kujijua.
Tambua kbs moyoni mwako ya kwmb CHADEMA ni mpango wa Mwenyenzi MUNGU na imekaa nafsini mwa Watanzania.

Na bado utatumika sana!
 
Last edited by a moderator:
Hivi toka uanze kutuburudisha na hayo mawe, wanaoyarusha ni watoto? Mbona Slaa hajafa maana kwa takribani week moja sasa umekuwa ukitwambia mawe mawe! Unauhakika ni mawe hayo au baraka? Au ni macho yako tu?

Mkuu,

umenitoa kicheko usiku huu. Magamba wa ajabu! hivi mbona hawakuandika hivyo hivyo mkuu wa kaya alipofanyiwa hivyo Mbeya? CDM maipaisha kwa kasi sana....na izo ndo baraka.
 
Taja jina la mpiga picha wa ITV ambaye chadema wanafanya jitihada za kununua picha za kupigwa mawe dr.Slaa.

Mpaka unaposti hii thread walikuwa wamefika bei ya mil.5.Je zimenunuliwa kwa sh ngapi?Au mabishano bado yanaendelea?
 
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100

Aah!! kumbe ni wewe ngoja niendelee na safari yangu.
 
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100

Haina shida hata akizomewa maana yupo katika juhudi za kuwakomboa wehu kama wewe kifikra..pole sana. Hivi unahis ccm mtatawala milele?
 
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100
sasa mods huo ukweli wa hizo habari wanauona hapa? au umewaonyesha wao tu,,,,,ingekuwa hivyo nyinyiem mngeununua hiyo video hata kwa milioni 100, pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,,,,,,!!!!!! halafu na tabia zenu sikuhizi za kuwalalamikia mods mziache, kidogo tu mods msiufute huu uzi ni wa ukweli asa ukweli wenyewe uko wapi,,,,,,,,,,,,,,
cc Invisible
 
CDM wanahah sana, Hivi kweli kulikuwa kuna haja gani ya Slaa kwenda kweneye jimbo la Zitto na hal ya upepo ilivyo kwa sasa?

Wasiliana na gamba mwenzio aliyeweka picha hapa jf za mkutano wa dr slaa namna nzuri ya kupotosha ukweli.gamba mwenzio anadai mkutano umekosa watu ili hali picha zinaonesha watu wamesimama na miavuli huku wengine wakinyeshewa mvua,wewe naye unapotosha kivingine eti kapigwa mawe! kwa hiyo ni gamba yupi mkweli? bosi wenu ni mmoja au mnatofautiana mabosi hadi mushindwe kukaa pamoja mkaja na upotoshaji wa aina moja? mtajidharilisha sana mwaka huu kwa hizi njaa zenu.
 
Taja jina la mpiga picha wa ITV ambaye chadema wanafanya jitihada za kununua picha za kupigwa mawe dr.Slaa.

Mpaka unaposti hii thread walikuwa wamefika bei ya mil.5.Je zimenunuliwa kwa sh ngapi?Au mabishano bado yanaendelea?
Ufo Saro
 
Slaa haogopi mapambano...hii ni hulka ya kamanda!mwambie zitto aje Arusha
Hee! yameshakuwa tena mambo ya Kanda ya magharibi versus Mashariki?- Huenda ikawa kweli labda wanaosema Chadema ni chama cha Wakskazini!, japo bado siamini hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom