Chadema wanafanya jitihada za kununua Picha za kurushiwa mawe Dr Slaa kwa Mpiga picha wa ITV

Status
Not open for further replies.
Endelea kukiabudu chama cha Mapinduzi ccm kama ulivyojinasibisha ktk jina unalotumia kwa sasa ,unaonekana wewe huwa unapenda kubishana sidhani kama hawa uliowaomba waje kubishana kama watakubali kuja kubishana na mtu kama wewe unajipikia habari na kuzileta jamvini kujihakikishia siku yako ya leo imekwenda sawa.Siasa hizi za kutumika hazijengi bali zinajenga chuki baina ya Watanzania na Serikali yao ,endelea kujitahidi kukiuwa ccm.

Halafu wakiambiwa wamedumaa na tena ni vyuma chakavu wanakuja juu. Kiboko yao ******.
 
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100

Nunua na wewe moja urushe hapa, au huna pesa. Huwapewa huko kwenye chama chako? Nasikia pesa nje nje huko na unaweza kununua na wewe kiasi ili utuaminishe
 
Hivi kuna mtu kawazui ile Television yenu kurusha picha za matukio ya ziara ya katibu wetu Dr Slaa? Si muwatume TBC1 wajinga wenzenu nao wakachukue picha na wao wa-edit kama unavyodai? Akili makamasi hizi.
 
Lah nampa pole Dr maana ameyataka mwenyewe ila nawasifu jamaa maana kila wanavyoelezwa hawaamini kweli ukipenda chongo utaita kengeza
 
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100

Kila soko lina chizi
 
Unajua Mpaka sasa hivi sielewi ni kwa nini Vijana wa Lumumba wanatamani kuona Dr. Slaa anapigwa na Mawe! Kwa kweli nashindwa Kuwasoma kabisa Team Lumumba
 
Last edited by a moderator:
Jamaa urojo kweli wanashindwa hata kuficha aibu ya kushindwa kwao

ficha ujinga wako na anika busara na ID yako ambayo ni verified, walichafanyiwa akina zitto ni sarakasai za sanaa na timing

leo watu wakiaminishwa mtaani kuwa natembea na mama ako watu watakubali na wengine watakataa, wakitoa ushahidi wowote hata kama ni wa uongo utakubalika kirahisi

utaniita baba???

shirikisha ubongo, usifate mkumbo
 
How about u do that......shirikisha bongo yako pia
 
siasa za bongo bwana!! Kama taarabu wakati mwingine. Sasa kama wanajaribu kununua wewe kwanini usituwekee ushahidi hata picha moja??!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom