Chadema wanafanya jitihada za kununua Picha za kurushiwa mawe Dr Slaa kwa Mpiga picha wa ITV

Status
Not open for further replies.
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100

Weka picha mkuu hizo tuzione
 
Kweli nimeamini kichwa cha nyoka hakiinjiki sufuria,wewe endelea tu na kuweweseka.
 
kabla ya kudanganya kwanza jiulize unaumri gani?unawadanya watu wenye umri gani ?ndiyo hapo utajua aina ya uongo wa kuwadanganya!
 
CDM wanahah sana, Hivi kweli kulikuwa kuna haja gani ya Slaa kwenda kweneye jimbo la Zitto na hal ya upepo ilivyo kwa sasa?

Wewe ndie ambae unahaha gamba wewe! Hizo tv zilizorusha mkutano wa leo zimeutoa wapi?? Acheni propaganda za kitoto basi
 
Breaking news;- slaa adhalilishwa kigoma kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano:

Wakuu,

Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
 
Hivi ITV wako so low! Nafikiri mnaweza kutenda na kufanya mnayokusudia bila Ludhiana heshima ya combo hiki cha habari. At least tunakiamini kufuata weledi wa uandishi.
 
Aisee aibu sana mtu mzima kuandika uongo mkavu hivi bila hata kupepesa macho khaaa!... Nyie ndio mnang'oaga watu kucha asee! Ben Saanane njoo umuone mtu kachanganyikiwa huku!
 
Last edited by a moderator:

Endelea kukiabudu chama cha Mapinduzi ccm kama ulivyojinasibisha ktk jina unalotumia kwa sasa ,unaonekana wewe huwa unapenda kubishana sidhani kama hawa uliowaomba waje kubishana kama watakubali kuja kubishana na mtu kama wewe unajipikia habari na kuzileta jamvini kujihakikishia siku yako ya leo imekwenda sawa.Siasa hizi za kutumika hazijengi bali zinajenga chuki baina ya Watanzania na Serikali yao ,endelea kujitahidi kukiuwa ccm.
 
Aisee aibu sana mtu mzima kuandika uongo mkavu hivi bila hata kupepesa macho khaaa!... Nyie ndio mnang'oaga watu kucha asee! Ben Saanane njoo umuone mtu kachanganyikiwa huku!

Mkuu achana na huyu mchumia tumbo ,Ben ameshamjibu katika uzi mwingine aliouanzisha humu humu jamvini .Amekuwa kama "KASUKU"kukaririshwa jambo na kulirudia rudia kila wakati ,watajitahidi kuiua Chadema lakini hawataweza .
 
Last edited by a moderator:
Wana JF chadema wana haha mida hii kununua picha alizopigwa mawe Dr Slaa maeneo ya Mwandiga zisitolewe na ITV,juhudi za kununua kwa gharama zote picha hizo zina fanyika hadi sasa wanabishana iwe milioni 5,ukweli ni kwamba Dr slaa leo kapigwa mawe maeneo ya mwandiga nakufukuzwa kwa kuzomewa
Naomba Mods msitoe uzi huu ni ukweli wa asilimia 100

Haya tumekusikia! Kwa hiyo wewe ulitakeje?
 
Hivi ITV wako so low! Nafikiri mnaweza kutenda na kufanya mnayokusudia bila Ludhiana heshima ya combo hiki cha habari. At least tunakiamini kufuata weledi wa uandishi.

Waandishi wa gazeti la Uhuru walikuwepo watuwekee picha hizo.
 
Breaking news;- slaa adhalilishwa kigoma kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano:

Wakuu,

Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
Hii ni kweli kabisa Slaa kakimbia mkutano na sauti ya rekodi na zomea zomea italetwa muda si mrefu.
Picha na video pia zipo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom