CHADEMA wanafaidika na Caller tunes charges?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wanafaidika na Caller tunes charges??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Jun 26, 2011.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sasa watu wengi sana hapa kwetu Tanzania simu zao zina miito (Caller tunes) ya nyimbo za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ninavyofahamu mimi miito hiyo hukatwa gharama za kuitumia na makampuni ya simu husika.

  Labda tusema kuna watu milioni moja wanatumia miito ya nyimbo za CHADEMA. kwa kukatwa shilingi 350 kwa kila mwezi. Makampuni hayo ya simu yatakuwa yanaingiza shilingi milioni 350 kwa mwezi. CHADEMA wana mgao katika mapato hayo au hawana hati miliki ya nyimbo zake??
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inaweza ikawa imefainika katika kujitangaza
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Nifanyeje niupate huo wimbo wakuu? Na unaitwaje? Nauhitaji kwa hakika.
   
 4. M

  Mbilipili Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu na mimi nautaka huo wimbo. unaupataje?
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  inatumiwa na kampuni ya vodacom so kama uko voda unaweza kuupata.
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Unaitwaje huwo wimbo wa CDM
   
 7. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wimbo unaitwa tokomeza mafisadi, operation sangara.
   
 8. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ni namna nzuri sana ya cdm kujitangaza pia kusambaza ujumbe wa haja ya kutokomeza ufisadi. wakati wa kampeni caller tunes hizo zilikuwamo makampuni yote ya simu tigo,airtel na voda ikaondolewa,haiyumkini serikali/ccm ilipiga marufuku makampuni hayo kutumia caller tunes hizo. kama imerudi its a good move
   
 9. Jidulamabambase

  Jidulamabambase Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaye fahamu jinsi wimbo huu unavyopatikana tafadhali tunauomba, ama mwenye nao please atuwekee ha jamvini tu-dowmload. Viva CDM tunakupenda.
   
 10. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yes nice one.
   
 11. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ccm ndio hopeless kabisa, siku moja nilishangaa sana baada ya baamedi mmoja kunionesha opena ya ccm ambayo kila ukifungua chupa ya soda au bia inaimba nyimbo za ccm (zile za capt. Komba)

  kweli miongoni mwa siku ambayo niliwadharau ccm ni that day, maana niliona ni upuuzi mtupu kwa kweli, si bora wangenunua madaftari wakayapiga lebo ya ccm then wakagawa bure, kuliko kutengeneza opena zinazoimba vyimbo zetu tena mpaka uweke sikioni ndio utasikia.
   
 12. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pamoja na kujitangaza nilitaka kujua kama chama, CDM wanafaidika vipi na charges ambazo vodaCom wanawatoza wateja wake. kwa wale wenye kuutaka huo wimbo wawapigie watu wenye wimbo huo kisha wabonyeze alama ya nyota basi kiurahisi kabisa wataupata. sasa sijui watakuwa wamewachangia CDM au watakuwa wamewaneemesha VodaCom ya kina RA na wenzie??
   
Loading...