CHADEMA wamwanika Amos Makalla kwa ufisadi

We Pimbi wa kike, Ufisadi wa Makalla hapo upo wapi?
 
Umefafanua vizuri nadhani mleta Uzi alikuwa hajui rate mpya za Serikali
 
Kasome QT na wewe ukafanye huo ufisadi. Hata hivyo hayo malipo ya kawaida tu.
 
Hiyo Per diem na Ground Transport ni ndogo sana kwa Dodoma ambako maisha kwa sasa yako juu mno, ilitakiwa Per diem iwe 400,000/=per day na Graund Transport iwe 200,000/= per day
 
Perdiem zipo kwa mujibu wa sheria/kanuni/taratibu waliyojiwekea ,kama wakisafiri ni lazima walipwe unless waziondoe!! Cha msingi kujiuliza je hizo safari wamekwenda kweli na je ni za ulazima? je video conferencing ilishindikana au inahitajika wawepo physically?
 
Kuna mtu kakosa kwenye list ya safari kaamua kuanika document ya ofisi mtandaoni......kwa kweli mambo yanazidi kuwa magumu, basi tuwekee na waraka wa posho wa sasa ili tuone kama hizo posho si halali kulipwa kwa vyeo hivyo.
 
Wewe Kima kwani haya malipo ni halali au sio halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…