CHADEMA wamtangazia vita Spika Makinda

hivi lile tusi mpaka jana hawakulisikia? At na wao midomo yao imezoea matusi? Kwa jazba zile za naibu spika ipo siku atatukana.
 
Haizekani Spika aache kufuata kanuni kisa Chadema watasema wameonewa, mimi naona bora ijulikane hivyo kuliko kubadilisha bunge kuwa kijiwe

sidhani kama kuna tatizo kama bi kiroboto angefata kanuni tatizo ni kwamba hakufata kanunu mama kwanini huelewi..
 
demokrasia tanzania bado tukaze buti ila kama vipi natangaza walionitukania mbunge wangu bungeni msing'ae mbeya tutawapomonda na maganga a.k.a malova(mawe) muulizeni boss wenu kilichomkuta hadi siku hizi mnapita spidi mia moja 80 sasa itabidi muwe mnapita na ndege tu vinginevyo hata hiyo spidi haitasaidia nina hasira sana na maiki na huyu ----- wake ndagaae
 
Haya nenda wewe unaejua kanuni,tatizo lenu.kufuata mkumbo,haya sasa vikao 5 nje,nini faida yakujifanya unajua sana,lissu sini mwanasheria akate rufaa,

Mipasho hiyo! Mimiiiiiiiii nalisaka tongeeeeee.Nenda Lumumba kazi uliotumwa umemaliza.
 
Haya nenda wewe unaejua
kanuni,tatizo lenu.kufuata mkumbo,haya sasa vikao 5 nje,nini faida
yakujifanya unajua sana,lissu sini mwanasheria akate rufaa,

ujinga ni kuamin kuwa CCM na wabunge wake wanajua wanachokifanya hapa Tz c wiz wakat we mwenyewe maisha ayasongi 2badilike
 
Nasema asitukoroge kwasababu kifungu alisosoma kuhalalisha makosa ya ndugaihakisemi maamuzi yatatokana na mawazo yake kinasema maamuzi yatokane na kanuni na kama kanuni haisemi chochote juu ya kosa lililotokea maamuzi yafuate busara zilizowahi kufanywa na mabunge mengine na kama hakuna bunge lililowahi kutoa hukumo kama hiyo bado spika hakupewa mamlaka ya kutumia mawazo yake bali alitakiwa kufuata mila na tamaduni za tanzania au nchi zenye serekali zinazofanana na tanzaia.Sasa yeye anatuletea maamuzi yaliyofanywa na mtu kwa kutumia akili yake mwenyewe halafu anatuambia iingizwe kwenye kumbukumbu za bunge ili iwe sheriaKwamaana hiyo sheria au kanuni za bunge sasa ziwa kwamba endapo mbenge ataomba utaratibu maranyingi atolewe nje na asihudurie vikao vitano hili linaingia akilini kweli?
 
Makinda alikuwa anatafuta kuhalalisha makosa ya Ndungai ili kumlinda na hakuna zaidi ya hilo. Kwa kuwa CDM wamesema watakata rufaa juu ya maamuzi hayo ngoja tusubiri itakuwaje.
 
Haya nenda wewe unaejua kanuni,tatizo lenu.kufuata mkumbo,haya sasa vikao 5 nje,nini faida yakujifanya unajua sana,lissu sini mwanasheria akate rufaa,
Mbona kuna wabunge wa ccm wakiwemo au kutokuwemo bungeni hakuna tofauti coz hawachangii
 
Wahuni na wapenda masifa wameondolewa sasa hivi Bunge safi waheshimiwa wanajadili hoja tu na sio vioja.Kweli asiye funzwa na ***** hufunzwa na Bunge
 
Makinda ni kama bata wa kienyeji anayeharisha bila kujua hapa ni wapi,,,hajui alitendalo bungeni,nakili kuwa uadilifu wa bunge umepungua kutokana na aina mbovu ya uongozi wa spika bungeni,,,baba asiye na mke au mama asiye na mume ni vigumu kujua matatizo ya familia ndo anachokifanya bibi Makinda maana hata nikimuita mheshimiwa hastaili,nikimuita mama hana sifa kama wanawake wenzake

Hivi ana mtoto? Lazima ijulikane kuwa U H ikizidi akili haifanyi kazi vizuri.
 
Spika na Naibu wake ni mbumbumbu! Ni mawakala wa CCM! Ni janga kwa demokrasia ya nchi! Hata hivyo hayo wanayofanya kwa udalali wa CCM wanatuongezea chuki dhidi yao na Chama cha Mafisadi. Mungu ibariki Chadema na ijaze nguvu zaidi ya kuzidi kupendwa na kukubarika zaidi! Amina.
 
Hatufurahii mambo yanayofanywa na bunge hasa viongozi wake kushabikia uchama.katiba mpya spika wa bunge achaguliwe na wananchi
 
HAIWEZEKANI KUIOKOA CCM KWA KUTUMIA WATU WAILI.TAMBUENI MRAHISISHA KIFO CHA CHAMA CHENU.HERI MTU ANAYEKUBALI KUKOSOLEWA KULIKO ANAYEAMINI USO WAKE NI MSAFI KWA KUTIMIA MKONO WAKE.MNAVUNJA KIOO KWA MIKONO YENU MKIJIDANGAVYA KUWA KIOO NI MIKONO KWA SABABU NDIYO INAKISHIKILIA KIOO.

WAHENGA WANASEMA UKITAA JINA LA UTANI NDIYO ULIPA NGUVU YA KUSAMBAA KWANI INATAFISIRIWA KUWA NDIYO UDHAIFU WAKO KWA MAADUI ZAKO.

CCM HAITAKI KUONYESHWA MAKOSA.
lAKINI KUMBUKENI MZEE SITA ALIKUBALI CHAMA TAWALA KUKOSOLEWA NA BUNGE KUISIMAMIA SERIKALI.
NDIYO MAANA MKAPATA MSEMO 'KUJIVUA GAMBA' SERIKALI ILIVUNJIKA' LOWASA AKAWAJIBIKA KWA UDHAIFU HUO.

YEYOTE ANAYEAMINI CCM ITASIMAMA KWA NGUVU ZAKE NI SAWA NA NZI KUFIA KIDONDANI.ACHENI UCHAFU WENU USEMWE ILI MJUE KABLA ZA HUKUMU.

MABADILIKO KTK JAMII HAYAZUILIKI NA NI ENDELEVU ANGALIA KENYA KANU HAIPO,MWAIKIBAKI NA CHAMA CHAKE HAWAPO.
FIKIRIENI SANA ANAYEWADANGANYA KUWA WANAINCHI WANAFURAHIA VITA VYENU VYA KUIKOA CCM BADALA YA WATANZANIA MNAJUA KINYUME CHAKE. ASANTENI NDUGAI NA MAKINDA KUIUA CCM

WAJIBU WA BUNGE NI KUISIMANIA SERIKALI.UPINZANI KUISIMAMIA NA KUIKOSOA SERIKALI.VYOMBO YA ULINZI KUILINDA SERIKALI NA WATU WAKE WALA SIYO CCM WALA CHADEMA.

IFIKE SEHEMU WATU MUWAPE NAFASI YA KUSIKILIZA HOJA ZA KITAIFA BADALA YA VYAMA.mTU ASEME WABUNGE LETU WAITETEA NCHI YETU BADALA YA WABUNGE WETU WANATETEEA CHAMA CHETU.
TAMBUENI MNATUGAWA KWA ITIKADI YA UCCM NA UPINZANI.

SITA ANGEISAIDIA CCM KUSHINDA KILAHISI UCHAGUZI UJAO LAKINI KWA MWENENDO WENU NAWATABIRIA KUTUMIA NGUVU NYIGI ZISIYO NA TIJA KWA TAIFA.

TAMBUENI ADUI WA TAIFA SIO CHADEMA WALA CUF HATA KAMA MADHARA YAO NI KWA WATU BINAFSI LAKINI ANGALIENI MATAIFA YA MAGHARIBI NA MAREKANI YAYOPANGA SAFU ZA VIONGOZI BARA AFRICA KWA LENGO LA KUFAIDI RASLIMALI ZETU.KUWENI WA KWANZA KUTUUNGANISHA ILI TUWEZE KUSHUGHULIKA NA MAJIZI WA RSILIMALI.
MOI ALISALIA YEYE NA KANU JE ALISHINDA
 
habari wakuu wikiendi inakwendaje?nimesikitishwa sana na uonevu wa wazi kabisa uliofanywa na spika wetu kwa wabunge wa CHADEMA naomba ifahamike wazi kuwa mie si mwanachama wa chama chochote cha siasa ila napenda mambo yaendeshwe kwa haki,ukweli na uwazi.ni hayo tu
 
Back
Top Bottom