Wamvunje na mikono kabisa ashindwe kuandika utumbo wakePakome inabidi wakuvunje na huo nguu wa pili
Hahaha chama hakina muelekeo au sio???Viongozi wa CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake
Mbowe hakuokota CHADEMA bali aliijenga kwa jasho la damu
Yeye ndiye anafahamu namna ya kustawisha CHADEMA
Viongozi wa sasa wa CHADEMA ni makinda bado hawajakomaa vizuri wanastahili kufundishwa na baba yao Mbowe
Enzi za Mbowe CHADEMA ilikuwa na maendeleo makubwa sana ya kisiasa ikiwemo kupeleka mamia ya Wanachama wao Bungeni, kugombea nafasi kubwa ya kiti cha uraisi
Haya yote yalikuwa matunda ya Mbowe
Baada ya Mbowe kudhalilishwa, CHADEMA imeanguka sana haina dira ya kueleweka kila kukicha ni majanga afadhali ya jana
Wanachama wake wamekosa nafasi za Ubunge, hakuna tena nafasi ya kugombea kiti cha uraisi
Binafsi sioni faida ya Uongozi wa sasa ninachokiona ni hasara kila kukicha
Kuna faida gani ya kuwa na CHAMA cha siasa kisichokuwa na idadi kubwa ya Wabunge pamoja na wagombe uraisi
Nadhani ni muda sahihi kwa CHADEMA kujitafakari upya kwani sio kila jambo ni la kushupaza shingo
Tatizo si chadema wala viongozi.mifumo iliharibiwa na jpm na wafuaasi wake wanaiendeleza.Viongozi wa CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake
Mbowe hakuokota CHADEMA bali aliijenga kwa jasho la damu
Yeye ndiye anafahamu namna ya kustawisha CHADEMA
Viongozi wa sasa wa CHADEMA ni makinda bado hawajakomaa vizuri wanastahili kufundishwa na baba yao Mbowe
Enzi za Mbowe CHADEMA ilikuwa na maendeleo makubwa sana ya kisiasa ikiwemo kupeleka mamia ya Wanachama wao Bungeni, kugombea nafasi kubwa ya kiti cha uraisi
Haya yote yalikuwa matunda ya Mbowe
Baada ya Mbowe kudhalilishwa, CHADEMA imeanguka sana haina dira ya kueleweka kila kukicha ni majanga afadhali ya jana
Wanachama wake wamekosa nafasi za Ubunge, hakuna tena nafasi ya kugombea kiti cha uraisi
Binafsi sioni faida ya Uongozi wa sasa ninachokiona ni hasara kila kukicha
Kuna faida gani ya kuwa na CHAMA cha siasa kisichokuwa na idadi kubwa ya Wabunge pamoja na wagombe uraisi
Nadhani ni muda sahihi kwa CHADEMA kujitafakari upya kwani sio kila jambo ni la kushupaza shingo
MBOWE ndio amekuagiza uje uyaseme haya au ni akili zako tu mwenyewe za kuvukia barabara.Kuna faida gani ya kuwa na CHAMA cha siasa kisichokuwa na idadi kubwa ya Wabunge pamoja na wagombe uraisi