CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 289
Hesabu huwa zinapelekwa kwa CAG kwa barua,
na zikishakaguliwa CAG wanaandika barua
na hati ya kukaguliwa;
Watuoneshe hati za kukaguliwa kutoka kwa CAG
vinginevyo hayo wanayosema ni sawa na hadithi
njoo na uongo kolea.
Zitto aligongelea msumali wa mot0 kwa wapiga dili ndani ya vyama ndio maana waona povu jingi lawatoka hapa.
Nadhani kuna majibu yametoka kwa CAG, kuwa hajapewa fungu la kukagua Vyama.Kwa statement hii wa kulaumiwa ni wizara kutopanga fungu la kukagua vyama.Hata PAC wamepose hii case without thinking broader.majibu wanayo wanatupotezea muda wetu na kutafuta umaarufu.Wanasiasa HATARI
Nadhani kuna majibu yametoka kwa CAG, kuwa hajapewa fungu la kukagua Vyama.Kwa statement hii wa kulaumiwa ni wizara kutopanga fungu la kukagua vyama.Hata PAC wamepose hii case without thinking broader.majibu wanayo wanatupotezea muda wetu na kutafuta umaarufu.Wanasiasa HATARI
Zitto mwenyewe mgonga dili kama wenzake tu kwenye vyama jamani aturudishie lori letu alotumia kumwaga makokoto kwenye barabara ya mwandiga ambayo sasa inawekwa viraka kwa kushika tenda mbovu kabisa aliyojineemeshaZitto aligongelea msumali wa mot0 kwa wapiga dili ndani ya vyama ndio maana waona povu jingi lawatoka hapa.
Nilijua kuwa vyama vya siasa vinapoomba pesa za ruzuku
ni lazima bajeti ya mkaguzi mkuu iwepo;
Slaa amechukizwa sana na mahesabu kukaguliwa. Kwanini???
Mbona Zitto mlaji na mlafi zaidi ya wana saaccos wenziwe wa chadema Zitto rudisha fedha za Buzwagi tena cheap kabisa dola elfu kumi tu ikakumaliza hakuna Buzwagi wala nini mwanasaccos huwa hutowi gawio weweKakuambia tayari yeye ni maarufu hiyo attention itamsaidia nini? Sema kijana anatishia ulaji wa wanasaccoss wenu wa chadema.
Eti na yeye ndio alikuwa anautaka uenyekiti wa Chadema sasa leo si kila mtu angebaki mdomo wazi? Ndio maana tunapopinga wehu kukabidhiwa chama tuna sababu za msingi, sasa mwaweza kujionea wenyewe.
Hivi kwanini tunajifanya tunachukizwa na ubadhirifu wa hela za umma, vitu kufanyika bila ya kuheshimu sheria. Wakati wachache wanaojitokeza na kujaribu hata kuona watu wanaheshimu taratibu tunawaita watafuta sifa Zitto sifa, Mwakyembe nae sifa, Magufuli sifa.Nadhani kuna majibu yametoka kwa CAG, kuwa hajapewa fungu la kukagua Vyama.Kwa statement hii wa kulaumiwa ni wizara kutopanga fungu la kukagua vyama.Hata PAC wamepose hii case without thinking broader.majibu wanayo wanatupotezea muda wetu na kutafuta umaarufu.Wanasiasa HATARI
zito hashirikishwi na chama chake.
hii imenichekesha sana....Chama mbali na bunge mbali.
Kama magufuli kuvunja vijiwe vya wafurukutwa wa CCM kando kando ya barabara.
Zaidi ya kuwa katibu mkuu ashirikishwe vipi zaidi?
Mbona Zitto mlaji na mlafi zaidi ya wana saaccos wenziwe wa chadema Zitto rudisha fedha za Buzwagi tena cheap kabisa dola elfu kumi tu ikakumaliza hakuna Buzwagi wala nini mwanasaccos huwa hutowi gawio wewe
Hata kama mi mpitaji tu,
Ila nimekutana na wakat mgum,najaribu kuingiza taarifa hii ktk akili yang,ila nahis kama naingza gunia la mkaa kichwani.
Utendaji wa zitto kichama na kikamati sion relationship.
Bila shaka zitto anafurusa ya kukagua usafi wa nyumba yake kabla ya kuita wanausalama,
Mi nilikua napta tu jama ila nasema huyu siyo original zitto bali ni DECAYED ZITTO TO CHINA TYPE.