CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

nenda kanye urudi humu.
 
Umejitahidi kujidhalilisha. LOOK AT YOU

Join Date : 22nd July 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

S.T.U.P.I.D

kwi kwi kwiiiiiiii! Yani hili lijamaa mumelikurupusha vizuri kweli hapo,Likifikiri halitagundulika,Watu muko makini kweli yani fasta tu mumelianika kweupeee Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiii
 
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

Sasa umejiunga jana rasmi kwa ajili ya kutoa hilo ili tukusupport hapa JF?Kam wewe unajitambulisha kuwa ni wakili kwanini hukumwonea huruma Ludo kuwa wakili wake ili umtetee?Nani sasa amtetee kama wewe wakili tu umeshindwa kufanya hivyo?Wakili mwenzako!!Huna ishu wewe ni mnafiki pia.
 
Nilikuwa nataka kujiaminisha kuhusu hii thread lkn baada ya kuona BWANA lukosi kajibu fasta nikajua ni yake Yale ya kujitekenya afu unacheka mwenyewe! Nendeni lumumba mkachukue chenu!
 
Unainajisi taaluma ya uanasheria kama kweli wewe ni mwanasheria.

Kwa hiyo spidi yote ya kujisajili leo na kuleta umbea wa mahakamani hapa ni ili tujadili kesi iliyoko mahakamani au unataka nini?

Bado hajajua ku - reply....tumpe mda.
 
Ipo hivi, chadema ni wanyama, Ludovick ni mwanachadema, kwa hiyo Ludovick ni mnyama!
Mkuu, kinachowaponza hawa ndugu zetu, ni waongo halagu ni wasahaulifu, wamejaribu kuuaminisha umma kuwa Lwakatare na Ludo na CHADEMA lao moja, iweje tena leo wam exclude Ludo kwenye unyama wa CHADEMA?
 
kwa nn hamkumtetea mahakaman kama lwakatare
Kwa sababu ana watetezi wake ambao ndio nyie CCM, kinachomuumiza ni kwamba watetezi wake wanaogopa kumtetea hadharani kuwa itabainika.
 
Kwanini usijitolee kuwa mwanasheria wake!?au wewe pesa mbele!?kumbe huna huruma ni mnafiki,na inawezekana ni Mwigulu wewe na ID mpya.
 
sijajua kwanini wachangiaji wengi walio tangulia wameacha kuttolea maelezo juu ya mada husika na kukazana kwenye uhalali wa mtoa taharifa!

ingekuwa vizuri kama tungethibithisha yaliyosemwa kama yana walakini ama yapo sahihi>

maswala ya kujiunga leo au jana ya mleta mada hayana uhusiano wowote na mada iliyopo mezani. hembu tujadilini hii habari iliyoletwa, naamini we are good at it...

#tanzania ni yetu sote
 
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

Fani ya Uwakili kwa kweli ina najisiwa sana kama na wewe ni wakili
 
mkuu we ndo mnafiki wa daraja la kwanza. umejitambulisha kama wakili na unataka ludovick awe na wakili lakini hujipendekezi kuwa wakili wake bila shaka sbb ludovick hawezi kukugharamia viwango utakavyomtajia. then hukuwa na haki ya kuzungumzia hili.
 
Back
Top Bottom