CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

Acha ufala wewe. Sasa wewe unasema ni wakili na unajifanya unaijua kesi hii vizuri kwa nini usiende kuwa wakili wake ili uwashinde hao CHADEMA?
Hata mimi wa MEMKWA nakuzidi uwezo wa ubongo kutafakari issues.
 
Kama wewe ni wakili kwa nini usimtetee huyo Ludovick unayeona huruma kwake?,acha majungu, kama kuna cha kusema anakifahamu Ludo atasema tu kwani kesi ipo haijamalizika, hayo unayodhani anayajua atayasema mahakamani, usilete ushabiki usiokuwa na maana ya msingi zaidi ya kupendelea
 
Wewe ni mpuuzi kwa sababu zifuatazo: (1) kama ww ni wakili kwa nini usimsaidie Ludovick? (2) Ulitaka hakimu asome gazeti akiwa pale mahakamani ndiyo ujue ameelewa kilichopo? (3) kwa nini usiwaambie mawakili wa serikali(kama hawelewi) badala ya kuja jf kujifanya ww ni mwanasheria? (4) kama kuna kitu unadhani Ludo anaweza kusema nje ya mahakama kwa nini usimwambie akupe wewe usiye na kesi ukakisema ili ukweli ujulikane? (5) wewe unalalamika kwa niaba ya nani?
 
Mkuu na kubaliana na wewe Kimsingi na wale wote pia wanaokubaliana na hoja za wakili wa Lawakatare kwasababu kimsingi kuna Kanuni inayoitwa SUBJUDICE rule ambayo inakataza kuzungumzia suala lililoko Mahakamani ili kuepuka kuingilia Muenendo wa Kesi,Ushahidi wa Mashahidi pamoja na Mamlaka ya Hakimu.

Huyu anayejiita Wakili nawasiwasi hajajielekeza vema na kutambua kwamba wakili wa Lwakatare ndiye anayejua namna ya athari ya maelezo ya Ludovick yanavyoweza kuathiri Kesi ya Mteja wake au Mashahidi anaotarajiwa kuwaita.Hakimu nao wajibu wakupima na kutoa uamuzi kama atakavyoona inafaa (DISCRETION).

Nivema Mawakili kuacha ushabiki kwenye masuala ya Taaluma hii adhimu.Ombi hilo la Wakili Naronyo ni muafaka Kabisa.Na kama kweli wewe ni Wakili na Ulikuwepo hapo basi umefanya Makosa makubwa kutokuiomba Mahakama Kama rafiki wa Mahakama "AMICUS CURIAE" ili uweze kusaidia ulipoona kunajambo ambalo linaathiri Haki ya Mtu au Mahakam inapotoka na unatafsiri sahihi ya Sheria kuhusu jambo hilo.
....Ni kweli mkuu....hapa umeeleza vizuri sana....ni vizuri mtu kuipenda taaluma yake na kupractice jinsi inavyotakiwa ukisema kuingiza siasa kwnye kila jambo ni kuharibu taaluma na kuchangia kufa kwa hiyo taaluma...
 
Hakuna mwanasheria crazy Km ww please usiwadhalilishe wenye taaluma Yao fikiria vitu vya kuongea, ukijiona ushalewa usiingie jf, humu hakuna walevi Km ww.
 
ukiwa mwanasheria wewe mimi nitakuwa Katibu Mkuuwa U.N.
 
Huyu jamaa alivyoweka hii mpumba yake hapa amepotea mazima, nahisi anajuuuta kuanzisha uzi huu
 
Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.
Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

nakuambia wewe sio wakili, na huna huruma na ludovick; kwanza ungekuwa wakili hata kuandika kwako tu kungedhihirisha kuwa unacho hicho kipaji au skills, huna kwanza hata darasa lako ni la wasiwasi. pili, sasa kama ulikuwa mahakamani na ulimwonea huruma huoni kuwa una uwezo wa kumsaidia huyo ludovick, wewe si wakili, mbona shida yake una uwezo wa kumsaidia?! mnakimbia kimbia sana mpaka mnaonekana kabisa kuwa mna mambo yenu mengine. hivi huwa mnavoluntia au kweli ccm wana hela za kuwalipeni hata kwa michango mibovu kama hii?
 
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

Kama wewe kweli ni wakili na unaandika habari namna hii basi Tanzania imekwisha!

Nimeisoma taarifa hii ya mtuanayejiita wakili, hadi mwisho. Lakini nimeshindwa kujua ana maanisha nini au lawama yake ipo kona ipi!!!!!!!!

yaani nakubaliana na maoni ya mkuu macho_mdiliko

Bado .../././././././././././.Loading./././././././././././././

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa alivyoweka hii mpumba yake hapa amepotea mazima, nahisi anajuuuta kuanzisha uzi huu

Yaani tatizo Wendawazimu wapo mitaani na watu wazima wapo Hospitali ward ya vichaa.

Wakili gani anaweza kutoa maneno yasiyo na mashiko haya. Huenda sheria aliyosoma haina tofauti na ya jamaa "NASEMA TUTAWAPIGA TU, KWANI SERIKALI TUMEWACHOKA.....)

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
hivi huyu aliendaje UK? alifaulu au aliplekwa kwa mgongo wa kigogo mmoja? mbona thread zake na post zake ni za kitoto sana??? hivi hata hapo UK waingereza wanaweza wakajudge kwamba watanzaia wote tuko hivi? shame.

Alipelekwa kama mgonjwa wa akili aktoroka hospitali akaenda kuomba hifadhi ya ukimbizi, kule anatambulika kama raia wa Burundi na wakimuangalia sura yake anafanana na akina dudulyamana wakampa hifadhi..
 
Natilia mashaka uwakili wako. Wakili hujui kuacha nafasi, kutenga paragraph na hata mtiririko wa uandishi hujazingatia, Kwahiyo kwamapungufu haya, unaondoa maudhui mazima ya uzi huu. Nenda kajipange yaani wewe ni boya.
 
kama wewe ni wakili kweli kwa nini usijitolee kumsaidia Ludoviki au hujiamini? :help:
 
Si ukamtetee wewe unayedai ni wakili. Unataka apate wakili gani tena?
 
Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.........Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA................,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe...........Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile............................................Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Wewew siyo wakiri, wakili hawezi kukimbilia kulalamika JF anapoona mtu anaonewa wewe ni nahisi ni Chriss Lukosi ndiyo mwenye hii rafudhi
 
Back
Top Bottom