CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

RUBBISH or WASTE?
 
ndugu wakili.....
  1. kwakuwa wewe ni wakili, umechukizwa na hilo, na ukaona umuhimu wa yeye kuwa na wakili kwanini usichukue nafasi yako kuitetea haki unayoitaka???
  2. sidhani kama unataarifa za kutosha kuhusiana na uhuru wa mahakama embu rudia kidogo kuangalia eneo hilo...
 
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

we kamtetee si umesema we ni wakili!!
 
Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

duh mwenzetu unatafuta ajira nini? kama hizo red text uliandika wewe sa siusimame umsaidie kama wakili wake? au unataka tukuchangie gharama za wewe kuisimamia kesi ya YUDA? hah hah hah
 
Hutu gamba aliyeandisha hii thread anamatatizo ya kilo anastahili kussmehewa
 
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

Umesema we ni wakili au wakala?,kama ni wakili,you're among the impotent advocates everheard
 
Wewe ni wakili wa wanyanma au wa binadamu?Maake hata hueleweki hivi Kwa nini Wabongo wanapenda kusema uongo usio na maana ndio m kila kukicha nchi inazidi kurudi nyuma kimaendeleo kwa ajili ya watu kama wewe.Sasa wewe ni wakili kama ulivyoesema na ulikuwepo Mahakamani hapo sasa iweje tena umuonee huruma Ludovick na kusema natamani Ludovick angekuwa na wakili au apate wakili sasa unasubiri nini wewe kama wakili?si ujitolee kumsaidia huyu mgonjwa wa akili?Mkuu kama huna issue ni bora akajadili au ukaleta vifungu vilivyoko kwenye rasimu ya katiba ili atleast tujadili na sio huu ----- wako ulioandika hapa.Jaribu kufikiria kabla ya kuandika ili usije kuwa kama Chris Lukos anayeandika issue kama za mtoto wa darasa la kwanza.
 
Chadema ni chama cha ajabu sana kinanuka damu hiki chama kinatesa watanzania wengi.
 
Join Date : 22nd July 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Ondoa hapa ujinga wako, kamwambie Chemba Na waliokutuma jamaa wameshtukia
 
Hivi kuna watu wanaamini kuwa ule mkanda ni feki? basi watakuwa wajinga wa wajinga. Kama kumbukumbu zangu ziko sawa nakumbuka Marando aliongelea swala la Lwakatare kwa waandishi wa habari vipi leo Ludovick mnamfunga mdomo?

Mnalo hilo mpaka kieleweke kifo chenu kimewadia
 
Sasa kama wewew ni wakili una shida gani kwenda kumtetea? Acha ufisi wewe. Au mwambie mdhamini wenu mwigulu aka janga la taifa amtafutie wakili
 
Nadhani JF iweke sheria ya probation period tokea mtu anapojiunga hadi anaporuhusiwa kupost... Hii itapunguza vitendo vya watu kutumia jf kama kijiwe cha kumwaga porojo...
 
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

Wewe ni wakili au Buh Lawyer? Umeshindwa vp sasa kumwakilisha kama kweli wewe ni wakili na nafsi yako iliguswa kwa kitendo hicho,?? Na je hyo order iliyotolewa na mahakama kama unaona imekosewa je haiwezikatiwa rufaa mahakama ya juu.? Sikutegemea kwa kujinadi kwote huku umeshindwa kuchukua hata hatua moja wapo ya kutoa msaada wowote kwa "mwathirika" vile umeguswa na ni wakili msomi. Au kama kweli utakua "wakili" basi pengine wa mabaraza ya kata na unafiki utakuwa umeutendea haki vilivyo kushindwa kumsaidia kule na kuja huku kuimba "miduara"
 
...Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani
...Napendekeza Ludovick apate wakili ....
Bila shaka unatafuta kupewa kazi na Ludovick. Kwa nini unzunguka sana hivyo? Biashara ni ushindani, ukizubaa atatokea mtu atakamata hiyo kazi kwa Ludovick. Mwambie tu kuwa "dogo njaa kali hapa mujini, tupeane kazi!"
 
Yaani kusoma utumbo huu ambao hata punctuation, capitalization, inaonesha jinsi "mawakili" wa VodaFasta walivyo? Kama huyu ni wakili wa kweli, kaidhalilisha taaluma yake kwa kuongea jambo ambalo ni sub judice, kesi iko mahakamani. Pia analeta ushahidi wa upande mmoja, ambao ni hearsay. Hoja yake haina mashiko.

Angekuwa mkweli - maana tayari keshavunja miiko - na kutuambia ni mahakama gani, hakimu gani na ni lini Nyaronyo Kicheere alipeleka maombi hayo mahakamani.

Dhahiri, hii ni propaganda ya CCM lakini wangeangalia kwanza sifa na taaluma ya spin doctor huyu kabla ya kumpa kazi. Ameshindwa kutimiza masharti ya mkataba kati yake na mwajiri wake. He is in Breach of Contract na yeye mwenyewe, japokuwa anadai kwamba yeye ni wakili, anaweza pia kushtakiwa mahakamani. Lakini kwa kuwa mkataba wenyewe ulikuwa frustrated hata kabla ya kuanza kwake, sidhani kama hao waajiri wake watadiriki kukanyaga mahakamani. Huwezi kuingia mkataba na mwendawazimu kama huyu na kutarajia mafanikio!
 
naamini mkimlimboka kwa kungoa meno kucha na kumtoboa jicho atafunguka 2.
 
Wakili gani unaandika bila spacing wala paragraph bana....vipi mkuu mbona unaaibisha taaluma ya sheria....lakini pia unataka kusema mahakama iliyofuta kesi ya ugaidi...ILIKOSEA...? naona pia kama unataka kurudisha ule mjadala wa zamani na wa kijinga...ambao CCM haitaki hata kuusikia wa kuhusu ule MKANDA..!!! kwamba ni kwel au si wakweli...??....Mzee hii taaluma ya sharia hapa bongo mbona haieleweki...?

Mkuu na kubaliana na wewe Kimsingi na wale wote pia wanaokubaliana na hoja za wakili wa Lawakatare kwasababu kimsingi kuna Kanuni inayoitwa SUBJUDICE rule ambayo inakataza kuzungumzia suala lililoko Mahakamani ili kuepuka kuingilia Muenendo wa Kesi,Ushahidi wa Mashahidi pamoja na Mamlaka ya Hakimu.

Huyu anayejiita Wakili nawasiwasi hajajielekeza vema na kutambua kwamba wakili wa Lwakatare ndiye anayejua namna ya athari ya maelezo ya Ludovick yanavyoweza kuathiri Kesi ya Mteja wake au Mashahidi anaotarajiwa kuwaita.Hakimu nao wajibu wakupima na kutoa uamuzi kama atakavyoona inafaa (DISCRETION).

Nivema Mawakili kuacha ushabiki kwenye masuala ya Taaluma hii adhimu.Ombi hilo la Wakili Naronyo ni muafaka Kabisa.Na kama kweli wewe ni Wakili na Ulikuwepo hapo basi umefanya Makosa makubwa kutokuiomba Mahakama Kama rafiki wa Mahakama "AMICUS CURIAE" ili uweze kusaidia ulipoona kunajambo ambalo linaathiri Haki ya Mtu au Mahakam inapotoka na unatafsiri sahihi ya Sheria kuhusu jambo hilo.
 
Back
Top Bottom