CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili.amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.sasa tatizo limetokea.mawakili wa lwakatare,kwa kuhofia kuwa sasa ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,Wamekimbilia kuomba mahakama imfunge ludovick mdomo.
Mimi ni wakili,na nilikuwepo mahakamani,wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya ludovick.ukweli kabisa,gazeti la mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi,halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya ludovick aliyoyafanya na mabadiliko,hayakuwa yanaingilia mahakama.nimeyasoma yote mawili.sasa wakili mwenzangu nyaronyo,akamdanganya hakimu,na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili ludovick aseme hicho wanachokiogopa chadema.
Baada ya kusema hayo,hakimu,bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi,wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama,ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa ludovick,na magazeti yenyewe.Binafsi nilimsikitikia ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto, mdogo,wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini.nikatamani kama ludovick angekuwa na mwanasheria,asingeonewa vile.
Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo,walisikiliza maoni ya nyaronyo huyohuyo,aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani,asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.isingekuwa huruma ya hakimu katemana,ludovick jana angerudishwa lupango.ikumbukwe kuwa chadema wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa,na sasa wanawasiwasi kuwa ludovick anaweza kuwaharibia.
Isipokuwa chadema wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba ludovick mdomo.hatimaye,napendekeza ludovick apate wakili,kwani kwa nia hii ya chadema,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.kwa kweli nimemhurumia sana ludovick,ama hakika chadema ni wanafiki.

Hufa kabisa kuposti humu ujinga wako huu na ugeni wako na nahisi wewe ni MTELA MWAMAPUMBA.HUJUI KUPARAPHRASE UZI na una matatizo sana ..mgeni wa leo pumba nyingi,ukipewa SENIOR EXPERT MEMBER naacha na najiuzuru u-JF member.
 
You can't fight TRUTH with LIE.

CHADEMA can only delay but never put a stop to the day of reckoning.

Siku itafika ambapo Ukweli utajulikana.
 
Na wewe mkaanga sumu ni bora ungenyamaza tu make unajitekenya na kucheka mwenyewe yani wewe ni kituko hasa.

Kumbe sumu inakaangwa. Kumbe ni kweli ukweli unauma. Kwa akili zako ndogo unataka watu wakubaliane na huu utumbo. No way. It is too cheap.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili.amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.sasa tatizo limetokea.mawakili wa lwakatare,kwa kuhofia kuwa sasa ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,Wamekimbilia kuomba mahakama imfunge ludovick mdomo. Mimi ni wakili,na nilikuwepo mahakamani,wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya ludovick.ukweli kabisa,gazeti la mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi,halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya ludovick aliyoyafanya na mabadiliko,hayakuwa yanaingilia mahakama.nimeyasoma yote mawili.sasa wakili mwenzangu nyaronyo,akamdanganya hakimu,na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili ludovick aseme hicho wanachokiogopa chadema. Baada ya kusema hayo,hakimu,bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi,wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama,ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa ludovick,na magazeti yenyewe.Binafsi nilimsikitikia ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto, mdogo,wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini.nikatamani kama ludovick angekuwa na mwanasheria,asingeonewa vile. Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo,walisikiliza maoni ya nyaronyo huyohuyo,aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani,asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.isingekuwa huruma ya hakimu katemana,ludovick jana angerudishwa lupango.ikumbukwe kuwa chadema wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa,na sasa wanawasiwasi kuwa ludovick anaweza kuwaharibia. Isipokuwa chadema wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba ludovick mdomo.hatimaye,napendekeza ludovick apate wakili,kwani kwa nia hii ya chadema,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.kwa kweli nimemhurumia sana ludovick,ama hakika chadema ni wanafiki.
Si unasema wewe ni Wakili na Ulikuwa Mahakamani siku hiyo? Sasa unalalamika nini havpa? Kwanini ukujipanga kumtetea hata hivyo hujachelewa unaweza kuwa Wakili wake! P..baff acha kutuchafulia fani yetu tukufu ya Sheria nenda kanywe viroba uko. Ikithibitika wewwe ni Advocate mimi naachana na Kazi ya Sheria.
 
Mawakili hujitambulisha kama learned people. Sasa huyu wakili ni wa namna gani huyu? Mimi naona anadhalilisha hii taaluma. Au ni wale wa vyeti?


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
........Nina pata wasiwasi mkuu kinauche....pengine unaweza kukuta ndo mawakili wa serekali hao...
 
Mimi ni wakili,na nilikuwepo mahakamani,wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya ludovick.ukweli kabisa,gazeti la mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi,halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya ludovick aliyoyafanya na mabadiliko,hayakuwa yanaingilia mahakama.nimeyasoma yote mawili.sasa wakili mwenzangu nyaronyo,akamdanganya hakimu,na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili ludovick aseme hicho wanachokiogopa chadema.

Isipokuwa chadema wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba ludovick mdomo.hatimaye,napendekeza ludovick apate wakili,kwani kwa nia hii ya chadema,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.kwa kweli nimemhurumia sana ludovick,ama hakika chadema ni wanafiki.

Wewe ni wakili, umeona mtu anaonewa badala ya kumsaidia ama kumpa ushauri unaishia kulalama kuwa umemuonea huruma na mbaya zaidi unasema apatiwe wakili. Huo uwakili wako umejikita kwenye nini hasa mpaka ushindwe kumsaidia mtu unayesema anaonewa.

Ama lengo lako ni kuaminisha umma kuwa huyo wakili unayesema ni mwenzako kuwa ni mbaya na hatendi haki.
 
Mtafute Tundu Lisu akupe dondoo.. la sivyo unaaibisha profession.
 
watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka ludovick atoe ukweli wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.sasa tatizo limetokea,mawakili wa lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya ludovick.ukweli kabisa gazeti la mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili ludovick aseme hicho wanachokiogopa chadema.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia nyaronyo akiongea na mke wa lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.isingekuwa huruma ya hakimu katemana,ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa chadema wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa chadema wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba ludovick mdomo.

Napendekeza ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya chadema,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana ludovick,ama hakika chadema ni wanafiki.

wewe umesema ni wakili sasa unalalama nini? Kama unaona anaonewa si ukamsaidie kesi kwa kuwa wakili wake? Acha kulalama kusiko na tija au ndio buku 7 inakuto roho mtoto wa mtu? Fanya kazi uheshimiwe kuliko kutumika kwa buku 7 mambo mengine mnazalilisha fani za watu wakili makini halalamiki anachukua hatua yani wewe unalia kama upo mikononi mwa ngaliba? Acha cdm iwafanye kitu mbaya 2014 na 2015 na hizo buku 7 zenu zinazo wafanya kuandika mambo yasiyo na tija eboo!
 
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

Kwa mamlaka niliyopewa na wananchi NAKUTEUWA WEWE UWE WAKILI WA LUDOVICK. Kuhusu malipo ondoa shaka Mwigulu Nchemba atalipa kwani fedha iliyotengwa hadi sasa Ludovick kapewa vipande 50 tu vya fedha.
 
TRUJILLO;
Join Date : 22nd July 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Ndugu "wakili" So umejiunga JF kwa ajili ya kuweka hii post?

Hana lolote huyo! Ni ana nyingine ya wagang njaa tu!! Atueleze yeye ni wakili nani?
 
Kama wewe kweli ni wakili na unaandika habari namna hii basi Tanzania imekwisha!

Hapa kweli huyu bwana anaabisha taaluma yake!! Angetuwekea jina lake ili watu wajue kama kweli ni wakili au ni mtunza majarida mahakamani!! Unajua kuna watu wanapenda kujipa vyeo wasivyostahili kwa vile tu anafanya kazi mahali fulani. Ni sawa na ma Rural Medical Officers kuitwa madaktari huko vijijini!

Sasa hapa CDM watawezaje kumnyamazisha au kumzuia mtu waliyeshindwa hata kumpa wakili wala dhamana?? Kama ana ushahidi salama yake ni kufanya deal na serikali!!
 
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili.amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.sasa tatizo limetokea.mawakili wa lwakatare,kwa kuhofia kuwa sasa ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,Wamekimbilia kuomba mahakama imfunge (ludovick mdomo. Kesi ikiunguruma Ludo atakuwa huru kuzungumza mbele ya Hakimu kila kitu na ataulizwa maswali. Bado hajafungwa mdomo)
Mimi ni wakili,na nilikuwepo mahakamani,wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya ludovick.ukweli kabisa,gazeti la mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi,halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya ludovick aliyoyafanya na mabadiliko,hayakuwa yanaingilia mahakama.nimeyasoma yote mawili.sasa wakili mwenzangu nyaronyo,akamdanganya hakimu,(kama wakili, kitaaluma hauruhusiwi kumkashifu hakimu, kama hakimu alidanganywa, ina maana huyo hakimu ni mjinga, Hongera sana kwa kukubaliana na hoja ya Mh Lissu)na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili ludovick aseme hicho wanachokiogopa chadema.
Baada ya kusema hayo,hakimu,bila kusoma gazeti (kama hilo gazeti lilifikishwa kama evidence, hakimu hawezi kuamua kesi bila ya kuangalia na kuchambua hoja za pande zote zinazohusika. Bado nafasi ipo ya kukata rufaa mahakama kubwa na kwakuwa umeona hitilafu hizi nenda ukamtete)kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi,wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama,ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa ludovick,na magazeti yenyewe.Binafsi nilimsikitikia ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo,(ukiwa kama mwanasheria, hauweze kuhalalisha unyanyasaji, humiliation and disrespect kwa kiegezo cha umri. Katiba inasema kila mwananchi anayo haki ya kuheshimiwa ........ regardless ya umri, jinsia .....) wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini.nikatamani kama ludovick angekuwa na mwanasheria,asingeonewa vile.(Are you going to represent him, you still have a chance to make a huge difference) Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo,walisikiliza maoni ya nyaronyo huyohuyo,aliyepika uongo mahakamani (Kuiongopea mahamaka ni kosa kisheria [Perjury] kumshutumu wakili mwenzako kusema uongo mahakamani ni very serious allegation. Can you prove your point infront of Hakimu?)na ndicho walichoandika leo.Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani,asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.isingekuwa huruma ya hakimu katemana,ludovick jana angerudishwa lupango.ikumbukwe kuwa chadema wameshaiaminisha jamii (kwa watu tuliosoma sheria hatupendi/tumekatazwa kutumia lugha za jumla. Je unaweza thibitisha jamii imeamini maneno ya CDM?) mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa,na sasa wanawasiwasi kuwa ludovick anaweza kuwaharibia.
Isipokuwa chadema wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba ludovick mdomo.hatimaye,napendekeza ludovick apate wakili,(No man has a good enough memory to make a successful liar."Abraham Lincoln. Umejiaibisha kwa kuji impersonate uwakili, lakini umekosa memory) kwani kwa nia hii ya chadema,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.kwa kweli nimemhurumia sana ludovick,ama hakika chadema ni wanafiki.
Mkuu nimejaribu kujibu hoja zako kisheria, sikutaka kuingilia muundo wa ulichoandika (it is horrible kwa mwanasheria kuandia hivi). Kama kweli ni mwanasheria, jitolee kumwakilisha Ludo, ili aseme kila kitu hadharani na Ukweli ujulikane
 
Back
Top Bottom