CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

CHADEMA wamfunga mdomo LUDOVICK

Duh...lisilowezekana Duniani,Tanzania linawezekana....
Hatimaye tumepata wakili.....!
 
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.

Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.

Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.

Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.

Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.

Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.

Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.

Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

Ujinga nao ni kipaji, we si umesema ni WAKILI!? afu unatamani Ludo apate wakili..!
 
Kama nimekusoma vizuri umesema ww ni wakili kwa nini usijitoe kumsaidia? Msaidie ili ukalipwe ujira wako pale L.

Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.

Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.

Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.

Hawa ndugu zetu wanasheria huwa wanajiita Learned Brothers....Nafikiri wewe kama kweli ni wakili basi ni kinyume chake.

Hata mimi naamini post hii si ya wakili ni muhuni mmoja tu.
 
umetumwa .boc wako wewe anatibiwa mwananyamala?je wewe unatibiwa wapi?acha kupotosha umaaa.....akili ndogo.
 
TRUJILLO;
Join Date : 22nd July 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Ndugu "wakili" So umejiunga JF kwa ajili ya kuweka hii post?

Huyo ni kibaraka au kapeti la CCM,kama alivyo Lukosi.
 
[FONT=comic
sans ms]kama wewe ni wakili na unamuhurumia mtuhumiwa huyu kwa nini
usijitolee uwe wakili wake??[/FONT]

Umemkamata patamu huyu wakili njaa. Yaani kwenye uzi wake anashauri Ludovick atafutiwe wakili ili asionewe maana anamuonea huruma. Mimi nashangaa kwa nini asijitolee tu!
 
Umejitahidi kujidhalilisha. LOOK AT YOU

Join Date : 22nd July 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

S.T.U.P.I.D

Kama sio Mimibaba nadhani ningekua naendelea kusoma hii thread ila sasa inatosha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mawakili hujitambulisha kama learned people. Sasa huyu wakili ni wa namna gani huyu? Mimi naona anadhalilisha hii taaluma. Au ni wale wa vyeti?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Ni wakili wa viti maalum.
 
Mwanasheria gani anae tumia m.a.t.a.k.o kufikiri!! "By Dr. Ma------ quote me right". Napendekeza grade za kuingia kwenye kada hii ziongezwe c hawa wachumia tumbo/ pungufu wa kufikiri. Cjui kukoswa kesi au nn?? Njoo uoshe magari huku.

Bwana Yesu asifiwe
 
Na wewe mkaanga sumu ni bora ungenyamaza tu make unajitekenya na kucheka mwenyewe yani wewe ni kituko hasa.

Acha kubwabwaja kama mlevi wa gongo hapa,hebu tuambie huyo ni wakili au sio wakili?halafu utueleze na chuo alichosoma,hata kama ni ch Nchemba tueleze.
 
TRUJILLO;
Join Date : 22nd July 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Ndugu "wakili" So umejiunga JF kwa ajili ya kuweka hii post?

Ludovick mwenyewe huyo
 
Back
Top Bottom