Nono
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,543
- 664
Haja iliyokuwepo ndio hii CHADEMA 4 - CCM 0 (Kiswahili tunasema 4- 0, yaani NNE-OO)Kulikuwa na haja gani Lema kutumia Chopa, Arusha wakati mnasema ni ngome yenu.
Haja iliyokuwepo ndio hii CHADEMA 4 - CCM 0 (Kiswahili tunasema 4- 0, yaani NNE-OO)Kulikuwa na haja gani Lema kutumia Chopa, Arusha wakati mnasema ni ngome yenu.
..nimesikia tetesi kwamba CHADEMA waliiba na kuuza suti ile Mkulu aliyonunuliwa na Brigedia Jenerali (Mstaafu) Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi. Una taarifa?
Acha uongo mkuu umbea siyo mzuri.inawezekana ikawa km mambo yale ya simba na yanga, hakuna anaetaka kufungwa..........mmoja akifungwa tu lazima KINUKE
wewe ndio una ghadhabu kwa kuzungumza mambo ambayo hayapo, tuliza boli sisi kuwafunga ni kawaida yetu hivyo wewe na wenzio msiweweseke sana
Mshume Kiyate nasikia unawashwa washwa kweli kweli!
Hebu niPM kama kuna uwezekano nikakuzungukia chap nikupatie tiba mbadala mtumwa weee!
Mipumbavu kama wewe niwa kuwawapigilia tu!
Shem! Shem!fail! fail!
Wana JF,
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kimetumia zaidi ya milioni 950 katika uchaguzi wa kata nne Arusha.
Chadema wanasema Arusha ndiyo ngome yao kulikuwa na haja gani kutumia kiasi kikubwa cha pesa/Chopa/Magari ya M4C/Pikipiki za M4C.
Habari za ndani kutoka Chadema zinasema kulikuwepo ulipanaji mkubwa posho kwa viongozi na wafuasi wa Chadema inasemekana zimetumika zaidi ya milioni 500 kwa matumizi ya posho tu.
Hali hii mmetumia kiasi kikubwa cha pesa kwenye ngome yenu je maeneo mengine mtatumia kiasi gani.
Kuna hadithi moja ya vijana wawili, wote walikuwa wanasoma katika shule moja ya sekondari walikuwa marafiki sana, walisirikiana katika masomo na pia majirani waliwatambua kama vijana wenye uwezo shuleni. Vijana walifanya mtihani baada ya matokeo mmoja alifailu na mwenzake akafeli. Yule aliyefeli akaanza kuponda kuwa mwenzake amefaulu kwa sababu amegelezea na akadai kuwa yeye amefeli kwa akili zake mwenyewe. Majirani wakamuuliza kwani ulitegemea kufeli kwa kutumia akili za nani? Hii ndio CCM maana wanalaamika kushindwa 4-0 huku wakijua kumbe walihitaji kuwa na magari kutoka Lumumba, Chopa, bilioni moja na Viongozi wa Makao Makuu ili nao washinde uchaguzi.Kulikuwa na haja gani Lema kuzunguka Arusha nzima na vitongoji vyake kwa Chopa.
Mnajua gharama za Chopa ikiruka mita 1000.
Magari yote kutoka makao makuu yalipelekwa Arusha.
Kulikuwa na haja gani ninyi kupeleka wagombea wa Udiwani kwenye ngome ya chama kingine hali mkijua kuwa mtashindwa....!? Je. Huo si niufisadi mwingine wakutafuta mbinu za kuhalalisha posho zisizo na tija?Kulikuwa na haja gani Lema kutumia Chopa, Arusha wakati mnasema ni ngome yenu.
Watanzania tujitokeze kwa wingi kutoa maoni yetu kwenye mabaraza kwenye katiba mpya serikali waondoe utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa.
Ulitaka atembee kwa miguu, nakukumbusha CHADEMA 4 - CCM 0