CHADEMA wametumia zaidi ya Milioni 950 Arusha

CHADEMA wametumia zaidi ya Milioni 950 Arusha

Wababodi najiuliza..Km CCM inaiba ktk mwaka mmoja hela nyingi kuliko gharama ya uchaguzi ambao pia unchangiwa na wafadhili,kwanini tuogope kuwatoa hawa waovu?

Kilio cha CCM kuhusu gharama kubwa ni kwa vile gharama wasemazo ni zile zao za kuhonga na kununua shahada ,rushwa na per diem za viongozi wao ktk mikakati ya wizi na mauji ktk chaguzi.

Kwanini basi watanzania tuhofie gharama kwa vile CCM wanahitai hela nyingi ili walazimishe uchaguzi.?Tendwa aache ujinga afute chama tawala cha majambazi.Tume itangazae majimbo na kata zenye shida kuwa zipi wazi..Mbatia umehongwa ubunge na kuambia na wewe utampoteza kashilila,CUF nanyi Hahad Rashid ni muasi, tayari ana chama chek kinyume na Sheria CCM bado wanawalazimisha mumweke just becausi hawana hela ya kutumia kulinyakua hilo jimbo.
 
Wana JF,
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kimetumia zaidi ya milioni 950 katika uchaguzi wa kata nne Arusha.

Chadema wanasema Arusha ndiyo ngome yao kulikuwa na haja gani kutumia kiasi kikubwa cha pesa/Chopa/Magari ya M4C/Pikipiki za M4C.

Habari za ndani kutoka Chadema zinasema kulikuwepo ulipanaji mkubwa posho kwa viongozi na wafuasi wa Chadema inasemekana zimetumika zaidi ya milioni 500 kwa matumizi ya posho tu.

Hali hii mmetumia kiasi kikubwa cha pesa kwenye ngome yenu je maeneo mengine mtatumia kiasi gani.

Kikao cha CCM kinaendelea ARUSHA kutathmini ANGUKO LA CCM. Kipigo CHA PAKA MWIZI kimeleta mivutano. muda huu kikao kinafanyika.
 
Ukishaupotosha umma kwa kusemea mambo ambayo pengine kwa level au nafasi yako ni vigumu kupata ushahidi wake hata yule aliyeko kwenye nafasi ya kusemea jambo hilo akisema tunabaki na mikanganyiko.Tabia kama hizo mara nyingi huwa ni za watu wenye elimu za kimagumashi wasiokuwa na utaifa na wanaoongozwa na hisia za kishabiki muda wote.Tanzania ilikuwepo kabla ya cdm na ccm hivyo msituvuruge kabisa
 
Punguza ghadhab, chanzo cha hizo fedha kitajulikana tu.

wewe ndio una ghadhabu kwa kuzungumza mambo ambayo hayapo, tuliza boli sisi kuwafunga ni kawaida yetu hivyo wewe na wenzio msiweweseke sana
 
Inabidi waonyeshe vyanzo vyao vya mapato, isije kuwa yale madawa yaliokamatwa SA ndio vyanzo vyenyewe.
..nimesikia tetesi kwamba CHADEMA waliiba na kuuza suti ile Mkulu aliyonunuliwa na Brigedia Jenerali (Mstaafu) Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi. Una taarifa?
 
Buku saba ipo kazini
Wana JF,
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kimetumia zaidi ya milioni 950 katika uchaguzi wa kata nne Arusha.

Chadema wanasema Arusha ndiyo ngome yao kulikuwa na haja gani kutumia kiasi kikubwa cha pesa/Chopa/Magari ya M4C/Pikipiki za M4C.

Habari za ndani kutoka Chadema zinasema kulikuwepo ulipanaji mkubwa posho kwa viongozi na wafuasi wa Chadema inasemekana zimetumika zaidi ya milioni 500 kwa matumizi ya posho tu.

Hali hii mmetumia kiasi kikubwa cha pesa kwenye ngome yenu je maeneo mengine mtatumia kiasi gani.
 
Kikao cha CCM kinaendelea ARUSHA kutathmini ANGUKO LA CCM. Kipigo CHA PAKA MWIZI kimeleta mivutano. muda huu kikao kinafanyika.

inawezekana ikawa km mambo yale ya simba na yanga, hakuna anaetaka kufungwa..........mmoja akifungwa tu lazima KINUKE
 
..nimesikia tetesi kwamba CHADEMA waliiba na kuuza suti ile Mkulu aliyonunuliwa na Brigedia Jenerali (Mstaafu) Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi. Una taarifa?

Ile suti jamaa alipewa na yeye akatoa nini vileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Km inatosha kuliwaza tutashukuru pia....kwani utakuwa umekubali kushindwa anayway...Chadema wanatumia hela waliyo nayo.CCM kwa kukwapua kumekuwa tupu this time.
 
Kwahiyo hiyo ndiyo sababu iliyofanya ccm ikapigwa kipigo cha paka jizi?
 
Back
Top Bottom