kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,636
- 2,885
Kulikuwa na haja gani Lema kutumia Chopa, Arusha wakati mnasema ni ngome yenu.
CCm wametumia kiasi gani, tafadhali nifahamishe ili nisiwe bias kyk ujengaji wangu wa hoja mkuu
Kulikuwa na haja gani Lema kutumia Chopa, Arusha wakati mnasema ni ngome yenu.
mi hizi akili ndogo kutaka ku overtake akili kubwa sijui linatoka wapi by the way mlango utafungwa kakojoe ulale ndo uendeleze your idiot shit.
Hiyo hela haifikii hata robo ya poda za Masogange.
Wana JF,
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kimetumia zaidi ya milioni 950 katika uchaguzi wa kata nne Arusha.
Chadema wanasema Arusha ndiyo ngome yao kulikuwa na haja gani kutumia kiasi kikubwa cha pesa/Chopa/Magari ya M4C/Pikipiki za M4C.
Habari za ndani kutoka Chadema zinasema kulikuwepo ulipanaji mkubwa posho kwa viongozi na wafuasi wa Chadema inasemekana zimetumika zaidi ya milioni 500 kwa matumizi ya posho tu.
Hali hii mmetumia kiasi kikubwa cha pesa kwenye ngome yenu je maeneo mengine mtatumia kiasi gani.
Watanzania tujitokeze kwa wingi kutoa maoni yetu kwenye mabaraza kwenye katiba mpya serikali waondoe utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa.
kwa ile operesheni chakaza unafikiri wataonekana mkuu? labda wiki ipite kwanza ndio maumivu yatapungua lau kidogo, 4-0 sio kipigo kidogo kwani kina tofauti gani na kile barca walichopata kule ujerumani?
Wewe ndo kurugenzi y habari ya chadema? Take it from me,ccm wametumia billin 272 ujio wa obama
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ulitaka atembee kwa miguu, nakukumbusha CHADEMA 4 - CCM 0
Vijana wa Chadema matusi ni sehemu ya hoja zao.
Inabidi waonyeshe vyanzo vyao vya mapato, isije kuwa yale madawa yaliokamatwa SA ndio vyanzo vyenyewe.
Huyo ni diwani wa Chadema?