"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Posts
3,481
Reaction score
564

SAM_4817.JPG

Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa


 
kwani hii picha imetolewa na chadema?? Au ni waandishi wa habari?
 
Hebu uliza Media husika sidhani kama hili ni la CHADEMA.
 
Kweli watu wamewachoka Magamba!! Mwenye uwezo wa kugeuza ukweli Huu Hajazaliwa ndani ya Magamba!! - Buriani
 
Huamini picha? Au huamini kuwa pamoja na kazi mliyofanya watu bado walikwenda kupata ujumbe wa ukombozi?

Ushauri tu, nadhani sasa utajifunza kuwa kuondoa uhai hakurudishi nyuma dhana ya ukombozi. P.W. Botha aliua wengi, lakini wengi zaidi walijitokeza na akashindwa.
 
Nina uhakika mabadiliko yamekuja ni watu kusoma majira na nyakati vinginevyo mtakuja kutuambia hapahapa. Mwenye masikio na asikiye maneno haya ninayoandika hapa leo. Kama kuna mtu anataka kuwa mwanasiasa nampa ushauri wa bure aingie CDM mapema kabla ya milango haijafungwa.
 
Hii ilikuwa Arumeru kwenye kampeni za Ubunge. Chadema acheni kutapeli wananchi
 
Jamani yule mwanamziki wa zamani lemi ongala aliimba,
ukiwamtenda mabaya huishi kulalamika(kalola)
maana yake ndo naiona kwa magamba,wanagombana mpaka na picha duh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom