Chadema walipaswa kulia na kulalamika wakati wa kuwapokea Lowassa na Sumaye, siyo sasa!

tukubali kuwa CHADEMA kama chama kilichotegemewa kiliwasaliti wananchi
 
Hapa kinachotakiwa ni kufungua kesi ya kikatiba kuomba tafasiri ya TUME HURU ya uchaguzi kwani MA DED kuwa wasimamizi WA uchaguzi, hapo ndiyo tutakuwa na tume huru. Haya mengine ni porojo, halafu niwakukumbushe tu, a smallest mind discusses people, but great mind discusses issues
 
Back
Top Bottom