Chadema walipaswa kulia na kulalamika wakati wa kuwapokea Lowassa na Sumaye, siyo sasa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
38,528
2,000
Kitendo kile tu cha kuwapokea mawaziri wakuu wastaafu kujiunga na Chadema kilitosha kabisa kutoa taswira kwamba chama hicho kinaelekea kufani. Pamoja na ukweli kwamba watu hao " bado" ni watu wa serikali lakini hata ushawishi wao kwa umma ulishakwisha, hivyo uwepo wao Chadema ulikuwa ni wa manufaa ya muda mfupi. Wabunge wengi wa upinzani hasa Chadema walichaguliwa kwa mtindo wa " bendera fuata upepo" hivyo unahitajika upepo mdogo sana kuwarejesha walikotoka. Chukulia mfano, Lowassa, Mollel, Mwambe hawa walikuja Chadema baada ya kukatwa kule CCM na kilichowaleta ni maslahi ya kiuongozi na si chama hivyo wao kurudi CCM ni swala dogo sana. Nimalize kwa kusema chadema mmechelewa mno na hamna la kufanya tena, kinachotokea sasa ni kulipa deni mlilokopa huko CCM, ndio maana Dr Slaa aliwauliza huyu jamaa siyo " liability" kweli?!!....Hamkumuelewa. Ahsante!!
 
Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,856

CHADEMA ILIJIUA KWA KUWAPOKEA MAKAPI NA MAFISADI WALIOFUKUZWA CCM. KAMWE HAITAFUFUKA TENA
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,539
2,000
Kitendo kile tu cha kuwapokea mawaziri wakuu wastaafu kujiunga na Chadema kilitosha kabisa kutoa taswira kwamba chama hicho kinaelekea kufani. Pamoja na ukweli kwamba watu hao " bado" ni watu wa serikali lakini hata ushawishi wao kwa umma ulishakwisha, hivyo uwepo wao Chadema ulikuwa ni wa manufaa ya muda mfupi. Wabunge wengi wa upinzani hasa Chadema walichaguliwa kwa mtindo wa " bendera fuata upepo" hivyo unahitajika upepo mdogo sana kuwarejesha walikotoka. Chukulia mfano, Lowassa, Mollel, Mwambe hawa walikuja Chadema baada ya kukatwa kule CCM na kilichowaleta ni maslahi ya kiuongozi na si chama hivyo wao kurudi CCM ni swala dogo sana. Nimalize kwa kusema chadema mmechelewa mno na hamna la kufanya tena, kinachotokea sasa ni kulipa deni mlilokopa huko CCM, ndio maana Dr Slaa aliwauliza huyu jamaa siyo " liability" kweli?!!....Hamkumuelewa. Ahsante!!
Lowassa na Sumaye walikuwa wabunge au mawaziri?
Heri hata ungezungumzia kuhusu Nyalandu angalau inge make sense.
Ni usahaulifu wa binadamu lakini hakuna jambo jipya zaidi sana ni kuwa mbinu na mikakati inabadilika.
 
defence

JF-Expert Member
Aug 13, 2008
572
500

Yaani katika watu mnaohangaika kuandika na kujaribu kusema kila neno kwa sasa ni vijana wa buku saba tu ila mngelifanikiwa nadhani dau mngelishaongezewa, lakini ukimya wa wenzenu unawasumbua sana, ila msikate tamaa zidisheni utunzi wenu
 
gambanjeli

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
394
250
Kitendo kile tu cha kuwapokea mawaziri wakuu wastaafu kujiunga na Chadema kilitosha kabisa kutoa taswira kwamba chama hicho kinaelekea kufani. Pamoja na ukweli kwamba watu hao " bado" ni watu wa serikali lakini hata ushawishi wao kwa umma ulishakwisha, hivyo uwepo wao Chadema ulikuwa ni wa manufaa ya muda mfupi. Wabunge wengi wa upinzani hasa Chadema walichaguliwa kwa mtindo wa " bendera fuata upepo" hivyo unahitajika upepo mdogo sana kuwarejesha walikotoka. Chukulia mfano, Lowassa, Mollel, Mwambe hawa walikuja Chadema baada ya kukatwa kule CCM na kilichowaleta ni maslahi ya kiuongozi na si chama hivyo wao kurudi CCM ni swala dogo sana. Nimalize kwa kusema chadema mmechelewa mno na hamna la kufanya tena, kinachotokea sasa ni kulipa deni mlilokopa huko CCM, ndio maana Dr Slaa aliwauliza huyu jamaa siyo " liability" kweli?!!....Hamkumuelewa. Ahsante!!
Wakati Lowasa, Sumaye, Lembeli, Msindai, Mgeja, Masha na wengine wanahamia CHADEMA ilikuwa Nderemo na vifijo na CCM haikulalamika kuwa wanahamia wake wamehongwa. Hata alipohama Nyalandu CCM iliheshimu uamuzi wake. Lakini kiongozi yoyote anayehama kutoka CHADEMA na CUF vyama hivi vimekuwa vikilalamika viongozi hao wamehongwa.
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
38,329
2,000
Kule CUF-Lipumba na ACT nako kuna Lowasa na Sumaye? hoja ya kijinga kabisa.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,401
2,000
Wakati Lowasa, Sumaye, Lembeli, Msindai, Mgeja, Masha na wengine wanahamia CHADEMA ilikuwa Nderemo na vifijo na CCM haikulalamika kuwa wanahamia wake wamehongwa. Hata alipohama Nyalandu CCM iliheshimu uamuzi wake. Lakini kiongozi yoyote anayehama kutoka CHADEMA na CUF vyama hivi vimekuwa vikilalamika viongozi hao wamehongwa.

Mkuu hao wote uliowataja walihama msimu wa usajili. Hapa sitetei kwamba cdm ilipata usajili sahihi bali wakati ule tulikuwa tunaenda kwenye uchaguzi, hivyo majimbo yote yalikuw wazi hata kama kusingekuwa na hiyo hama hama, wangalau Esther Bulaya kwa cdm ndio walipatia sio hao wengine. Kilio cha sasa ni kununuliwa kwa wawakilishi wa upinzani, kwanza wana dhamani ya wananchi, na pia taifa litaingia hasara kurudia uchaguzi bila sababu za msingi. Kibaya zaidi tunaona hicho chama wanachohamia wanaendesha kampeni za kikatili na kulazimisha kushinda kwa kukiuka sheria za uchaguzi.

Kwa suala la Nyalandu sijui tukusikilize ww ama ccm kama chama, maana inasemekana Nyalandu alifukuzwa, kama alifukuzwa basi alikuwa anaweza kwenda popote. Vinginevyo pinga chama chako kilichosema ili tukuonyesh unaleta ushibiki wa kienyeji.
 
Nov 16, 2017
97
125
Kitendo kile tu cha kuwapokea mawaziri wakuu wastaafu kujiunga na Chadema kilitosha kabisa kutoa taswira kwamba chama hicho kinaelekea kufani. Pamoja na ukweli kwamba watu hao " bado" ni watu wa serikali lakini hata ushawishi wao kwa umma ulishakwisha, hivyo uwepo wao Chadema ulikuwa ni wa manufaa ya muda mfupi. Wabunge wengi wa upinzani hasa Chadema walichaguliwa kwa mtindo wa " bendera fuata upepo" hivyo unahitajika upepo mdogo sana kuwarejesha walikotoka. Chukulia mfano, Lowassa, Mollel, Mwambe hawa walikuja Chadema baada ya kukatwa kule CCM na kilichowaleta ni maslahi ya kiuongozi na si chama hivyo wao kurudi CCM ni swala dogo sana. Nimalize kwa kusema chadema mmechelewa mno na hamna la kufanya tena, kinachotokea sasa ni kulipa deni mlilokopa huko CCM, ndio maana Dr Slaa aliwauliza huyu jamaa siyo " liability" kweli?!!....Hamkumuelewa. Ahsante!!
Sure
 
Nov 16, 2017
97
125
Lowassa na Sumaye walikuwa wabunge au mawaziri?
Heri hata ungezungumzia kuhusu Nyalandu angalau inge make sense.
Ni usahaulifu wa binadamu lakini hakuna jambo jipya zaidi sana ni kuwa mbinu na mikakati inabadilika.
Huwezi kuwa waziri bila kuwa mbunge
 
Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
606
1,000
Usiogope maana hata ukifa upinzani huu leo hii basi upinzani huo utakwenda kuzaliwa ndani ccm. Kwhyo ni suala la muda tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom