Chadema wakwepa mtego mwingine pwani

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,234
883
Ben Komba/Pwani-Tanzania/Monday, January 10, 2011/22:11:41

Chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Pwani kimevunja mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike katika kiwanja cha Maili moja mjini Kibaha kutokana na ilichodai kujionyesha wazi kwa Polisi kutaka kuvuruga mkutano huo, baada ya kugundua mpango wa kuingiza Polisi zaidi kutoka maeneo ya jirani.

Akiongea na mwandishi wa habari hizi Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Pwani, BW. BUMIJA SENKONDO amesema taarifa za uchunguzi uliofanywa na vijana wao uligundua mpango mzima wa Polisi kuanzisha vurugu kwa makusudi ili waweze kuwadhalilisha na kuwashambulia wanachama na viongozi wa chama hicho kama walivyofanya Arusha , hali ambayo anasema inachochochewa na Katibu wa CCM, BW. YUSSUPH MAKAMBA kwa sababu ambazo mpaka sasa hazipo bayana kwa kukataa kuzungumza na CHADEMA kama alivyonukuliwa na vyombo vya habari.

BW. BUMIJA amebainisha uzoefu kwa chama chao ni kulindwa na maaskari watano, sasa iweje leo wapatiwe askari zaidi ya mia mbili kwa ajili ya ulinzi, na wengine wao wakionekana katika makao makuu ya Jeshi la Polisi mkoani Pwani wakiwa wanajiandaa kukabiliana mkutano wao usiku wa kuamkia siku ya mkutano wao , kitu ambacho kiliwastua na kuamua kusimamisha kufanyika kwa mkutano huo wa hadhara ambao ungehudhuriwa na wagombea nafasi mbalimbali za uwakilishi kupitia tiketi ya chama hicho kutoka Tanzania nzima ambao walishindwa.

Mbali na tukio la kuhairishwa mkutano wa hadhara ambao ulikuwa ufanyike katika kiwanja cha Maili Moja kutokana na hofu ya viongozi wa chama hicho na kutokana na walivyojifunza kutokana na tukio la Arusha, ambapo watu watatu walikufa na wengine kadhaa kujeruhiwa, viongozi kadhaa wa kitengo cha vijana wa CHADEMA wamekamatwa usiku wa kuamkia Jumatatu saa nane usiku kwa kilichodaiwa kuvunja vijiwe vya CCM.

Waliokamatwa ni mwenyekiti wa vijana Jimbo la uchaguzi Kibaha mjini. BW. ISAAC na BW. MATIMBWA

Akiongea katika wakati tofauti mkuu wa wilaya ya Kibaha, HAJAT HALIMA KIHEMBA amewaasa wapinzani kuacha kufanya maandamano kama inavyoamriwa na jeshi la Polisi ili kuepusha vurugu zisizo na lazima, amesema wao kama serikali wasilaumiwe kuwa ni wabaya.

Amesema wana usalama wana utaalamu wa kutosha katika tasnia hiyo, hivyo wanapogundua hali inayoweza kuhatarisha usalama wa raia na mali zao, hivyo amewasisitiza wananchi kuzingatia maelekezo yanayotolewa na Jeshi la Polisi na hasa wakizingatia malengo na utaalamu wao katika masuala ya ulinzi na usalama, ameviambia vyama vya siasa kuwa wanarusiwa kufanya vikao lakini sio maandamano.

END.
 
chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".
 
We nani kakuomba utupe ushauri? Kawashauri ndugu zako wa CCM. Wameshindwa kutawala.
 
Akili yako na mavi yako vinakaa pamoja. Sio kosa lako.
 
umesema ukweli kabisa
 
tumeshaumwa na nyoka jani likitugusa tu .....................................?
 
. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".

umetumwa wewe, hapo penye red. kama na wewe ni mmoja wa wenye hekima, basi ni wenye hekima wale wachawi wa misri kipindi cha nabii Musa (AS) au wachawi wpigaramli waliotaka kumuua Mtume.

nani kakwanbia vita vinaletwa na kudai haki, hizo ndio propoganda mlizofundishwa na ccm kudanganya wananchi ili mtawale milele? hakika mmenoa, hata mkiingiza udini bado tunataka mabadiliko waislam kwa wakristo nyie vibaraka muda wenu huooo umeisha, tafuta ajira nyingine mana CHANGES ARE COMING.
 
Mbona kwa afrika kuingia ikulu ni lazima utumie nguvu maana hivyo vyama tawala huwa hawakubali kushindwa na hata wakishindwa huwa wanang'ang'aniaga Ikulu, mifano ipo mingi, kwa hiyo hakuna haja yakusubiri ni ngumi mpaka kieleweke. kama mandela aliweza sembuse chadema?. people they need a real changes, not blaa blaa
 
chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".

Ni busara kunyamaza kimya kuliko kuonesha Ujinga wako!
 
Wee ndugu mbona tunatembea wakati tulishakufa zamani? kilichobaki ni kuzikwa tu...bora kufa kuliko kuonewa huku ukijua kuwa haki yangu inagandamizwa na fulani kwa manuffaaa yake binafsi,
 
Na mbegu nyingine zikaangukia kwenye mawe na upepo ukaja ukazipeperusha. lakini zingine ziliangukia kondeni zikamea na kuzaa matunda

Hata Shetani hutumia (kiupotofu) maandiko ya Biblia to favour himself. mfano: "Kama kweli wewe ni mwana wa Mungu jirushe chini (down cliff) kwa kuwa imeendikwa Mungu hataacha mguu wako ujikwae" na kadhalika na kadhalika. Shetani ni roho, na roho haifanyi kazi bila mwili..hivyo kama Mungu atumiavyo watakatifu wake kwa kazi zake ndivyo na shetani pia hutumia watu waovu (agents of satan) kuendeleza uasi wake. So watch out whether you are being used by God or by satan!
 
Hawa ccm nimewachukia rasmi na majirani zangu ambao ni ccm nawachukia:frog::frog:
 
Back
Top Bottom