Chadema wakwepa mtego mwingine pwani

angalau mavi yake ,mavi ya kifungoni segerea na yeye anakaa nayo humo kwenye ndoo. Ndo maana ananuka
 
chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".
Hivi mnalipwaga sh ngapi ku-post upuuzi huu?...Lakini hata hili nalo latosha kuwahadharisha kuwa,kwa wingi wenu,na kwa kuongezeka kwa kasi kubwa mno kwa uhitaji wa vichwa kama nyie kwa huyo bosi wenu anaewalipa,kutafanya bosi wenu afilisike upesi sana,...maana akiwalipa nyie aliowapandikiza JF,akilipia vichwa vyote anavyohitaji avijaze upuuzi tayari kwa matumizi kwenye Dowans,katiba mpya, Arusha crisis,kesi za chaguzi, migomo ya vyuo...on and on..and on....bado hajahonga sukari na bia kwa FFU,bado hajanunua radio stations za vijana (akina KB)...on..and on..and on..Du hazijaisha tuu..?Kwani unadhani haitaji pocket money atakayotumia huko ukimbizini when CHANGE arrives? Fungueni macho,ufalme wenu una dalili zote za kuanguka...maana "Any kingdom divided against itself will be ruined, and a house divided against itself will fall...." si umeona jinsi Msekwa na Makamba wanavyopingana utadhani hawaingii mlango mmoja pale lumumba?...si umeona baraza la mawaziri na kauli zao...Sitta na lake,Ngeleja na lake...Pinda na lake,Nahodha na lake...Time is here! wake up!!
FREEDOM IS COMING TOMORROW!!
 
sasa hivi mmeanza kuwa na adabu. mtoto mbishi ukimpa kibano ndo hua anapataga akili. I think it worked.
so haihitasi strategy ingine kwa muda huu.
 
Hawa ccm nimewachukia rasmi na majirani zangu ambao ni ccm nawachukia:frog::frog:

Maria R namshukuru Mungu sina mzuka wa kujitoa muhanga ila ningepata huo mzuka haki ya Mungu ningesha terrorize wengi TZ! Aishhhh! tunaumia sababu ya wapumbavu wachache wanaoenjoy easy ride! flippin hellll!
 
Ndugu zangu naombeni nikushukuruni kwa kupita kule nilikopita mimi badala ya mwanzilishi wa thread hii. Hii ni kuonyesha kuwa MANENO YANGU NI YA HEKIMA. HERI JUU YA WOTE WATAOZINGATIA UJUMBE WANGU.
AMANI YA MOLA WETU NA IWE JUU YENU. NAFUNGA MJADALA.
 
Kamwambie mjinga mwenzio Kitanda aliyechafua hali ya hewa A-Town akushukuru! Hiyo Hekima yako ni upumbavu wa mwenye akili. Peleka makandambili yako akhera!
 
chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".

una hekima gani we shoga. Kama huna la kuongea kaa kimya we kipaza sauti cha mafisadi. Nyambaf!!
 
Hata Shetani hutumia (kiupotofu) maandiko ya Biblia to favour himself. mfano: "Kama kweli wewe ni mwana wa Mungu jirushe chini (down cliff) kwa kuwa imeendikwa Mungu hataacha mguu wako ujikwae" na kadhalika na kadhalika. Shetani ni roho, na roho haifanyi kazi bila mwili..hivyo kama Mungu atumiavyo watakatifu wake kwa kazi zake ndivyo na shetani pia hutumia watu waovu (agents of satan) kuendeleza uasi wake. So watch out whether you are being used by God or by satan!

mkuu, huyu Kagumyamheto a.k.a Kanyamseto ni deval worshiper. Anauza utu wake kwa kupakatwa na hao waume zake wanaomlea yeye na familia yake. Tunamfahamu vema, bila kuwakenulia mafisadi hana namna nyingine ya kumwezesha kuishi. Anaganga njaa!!
 
Ndugu zangu naombeni nikushukuruni kwa kupita kule nilikopita mimi badala ya mwanzilishi wa thread hii. Hii ni kuonyesha kuwa MANENO YANGU NI YA HEKIMA. HERI JUU YA WOTE WATAOZINGATIA UJUMBE WANGU.
AMANI YA MOLA WETU NA IWE JUU YENU. NAFUNGA MJADALA.

una mamlaka gani ya kufunga mjadala we shoga? Acha wenye akili tujadili, we nenda kapakatwe na EL+RA kama ulivyozoea. Mwanaizaya weeh!!
 
Nashukuru anko Sam.
Kwa mwenye Hekima amani ndio tunda la Moyo. Allah akupe hidaya uitambue haki!

unajua unanikera sana we kitoto cha ibilisi! Huoni hata aibu kujiita mwenye hekima ilhali una akili za kushikiwa.

Au hao waume zako wakishakupakata ndo wanakudanganya una hekima ili kesho uende tena? Huna aibu dume zima kutumiwa kama chombo cha starehe. Hekima yako yote jumlisha na ya akina EL+RA ni upuuzi kwangu.
 
Nashukuru anko Sam.
Kwa mwenye Hekima amani ndio tunda la Moyo. Allah akupe hidaya uitambue haki!

Pia Napenda kuita utulivu sio Amani hatuna AMANI Hapa
Huo utulivu Upo kama matumizi ya pesa lazima usitumie ovyo!;
Unaweza ukawa na jiti1 leo umetumia jero kesho buku mtondogoo buku jero mwisho wake kwisha Kabisa itabakia stori tu kwamba nilikuwa na jiti1
HABARI NDIO HIYO MWANA!
 
chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".
Mode hebu mpigeni ban huyu jamaa. Hili jina lake Punyeto kikwetu ni matusi. Pia pumba anazochangia utafikiri yuko katika zama za ujima, nchi ya kidemokrasia haina watawala na watawaliwa, ina viongozi na wananchi. Unatawaliwa na nani? Kwani kikwete ni mkoloni? Wakwere nao wamekuwa wakoloni ktk nchi hii? We vipi bwana, labda unatwaliwa wewe na wazazi wako na wanao, sisi wengine tunaongozwa tu, ila bahati mbaya serikali inayotuongoza imechakachua kura zetu
 
Ccm ccm oohhh chama cha cha mapinduzi...kiboko yao

Wewe humo imba hivi ccm ccm kiboko changu ccm ccm kiboko changu Maana unapo enda dukani,hospitalini, imba hivyo hivyo na ukifa sanda kiroba wajukuu zako watafukua kaburi lako wachukue fuu lako wakapime maabara wabainishe kama ulikuwa mtu au mithili ya nyani fulani tu! mwanangu anapo kalia jiwe shuleni na mwanao pia! hapo haìhitajiki tena card ccm

JITAMBUE MWANANGU!
 
chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".

Nadhani hujui usemayo, usidhani kila mtu anataka kuingia ikulu tu! kama alivyo fanya kikwete, na ndiyo maana hataki kuona anaachia ngazi hata nchi ikimshinda! kwani lengo lake ni kukaa ikulu na si kuwatumikia wanachi.

Halafu wewe Tanzania ilipata uhuru wake lini na kutoka kwa nani? au unasherekea uhuru wa nchi isiyokuwapo? Please amka ndugu yangu kama kweli una hekima!
 
Back
Top Bottom