Hivi mnalipwaga sh ngapi ku-post upuuzi huu?...Lakini hata hili nalo latosha kuwahadharisha kuwa,kwa wingi wenu,na kwa kuongezeka kwa kasi kubwa mno kwa uhitaji wa vichwa kama nyie kwa huyo bosi wenu anaewalipa,kutafanya bosi wenu afilisike upesi sana,...maana akiwalipa nyie aliowapandikiza JF,akilipia vichwa vyote anavyohitaji avijaze upuuzi tayari kwa matumizi kwenye Dowans,katiba mpya, Arusha crisis,kesi za chaguzi, migomo ya vyuo...on and on..and on....bado hajahonga sukari na bia kwa FFU,bado hajanunua radio stations za vijana (akina KB)...on..and on..and on..Du hazijaisha tuu..?Kwani unadhani haitaji pocket money atakayotumia huko ukimbizini when CHANGE arrives? Fungueni macho,ufalme wenu una dalili zote za kuanguka...maana "Any kingdom divided against itself will be ruined, and a house divided against itself will fall...." si umeona jinsi Msekwa na Makamba wanavyopingana utadhani hawaingii mlango mmoja pale lumumba?...si umeona baraza la mawaziri na kauli zao...Sitta na lake,Ngeleja na lake...Pinda na lake,Nahodha na lake...Time is here! wake up!!
FREEDOM IS COMING TOMORROW!!