CHADEMA wako tayari kumpokea Lowassa

naomba cdm ichukue mtu yeyote kutoka magamba lakini siyo el,chege,rosttam,rizone na baba yake
 
Lowasa siyo fisadi bali ccm yenyewe. Kama umesiliza michango ya wabunge jana utaligundua hilo. Kama angekuw fisadi nchi ingekuwa na maendeleo mskubwa baada ya kuondoka kwake madarakani.

this is very true, thanks.
 
554366_432463526779757_100000483403524_1702674_752662972_n.jpg

Huyu nae anapojifanya haioni V
 
Ngoja ninunue hilo gazeti kwanza maana siamini kuwa ni Mwigamba ninayemfahamu. Huyu akiingia cdm siku hiyohiyo naachana nacho na kadi yao nawarudishia pale ngome
 
Feedback, kwa hili naona umepotoka mkuu wangu!! Kama unasema Lowasa alitajwa na Dr. Slaa kwenye list of shame inakuwaje leo hii umshawishi Dr kumkaribisha Lowasa!? Achana na kivuli cha "ktk siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu," fisadi ni fisadi tu!

Feedback mara hii tu umesahau Lowasa alivoshiriki kuuwa watu hapo Arusha? Umesahau mabomu ya juzi tu hapa NMC wakati Lema amewekwa ndani kwamba lilikuwa shinikizo lake? Umesahau kwamba kamanda Lema kuvuliwa ubunge ni mpango wake wa kuibaka demokrasia? Umesahau kwamba haya madudu ya uwizi serikarini yeye ndie muhasisi wake?

Feedback!! Umesahau kwamba CDM imepata credit kubwa kupitia huyu mwizi, na sasa unatetea akaribishwe CDM ili CCM wapate credit kuiangamiza CDM!!? Who is Lowasa by the way, hadi akikosa yeye CDM haiendelei!!? Kwanini CDM? Si aende UDP na TLP huko?

Naomba wote mnaotetea Lowasa kuja CDM mnijibu:
"NIKWANINI MNADHANI LOWASA AHAMIE CDM NA SIO CCK WALA NCCR-MAGEUZI?"
Kwenye bold, sidhani kama EL ndiye alihusika. STIDE usisahau propaganda za CCM kuwalisha watu mchicha pori. CCM wanaweza kutumia mbinu yeyote kumfanya mtu aliye threat kwao aonekane mbaya. Umesikia juzi Nape na Mukama walivyosema juu ya kuondoka kwa Millya kuwa alikuwa mzigo the same might apply to EL.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Arusha, Samson Mwigamba, amesema kuwa yeye yuko tayari kumpokea hata Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, endapo ataamua kufanya uamuzi wa kubadilika na kujiunga na CHADEMA.

“Lowassa akiamua kuondoka CCM ni lazima atakuwa na sababu za kufanya hivyo, lakini na sisi ni lazima atatueleza juu ya tuhuma mbalimbali za ufisadi zinazoelekezwa kwake, tutamsikiliza, tukimwelewa hatutakuwa na sababu ya kumnyima uanachama,” alisema.

Source: Tanzania Daima

My take: Nimeanza kuamini kuwa inawezekana kabisa Lowassa anaandaliwa mazingira ya kusafishwa.

Hivi Lowassa aende chadema kufanya nini?? ili aje agombee uraisi??? hili lazima itakuwa hapana!

Kutubu dhambi zake zooote ,wizi, ufisadi wake, na kuwa tayari kuzirudisha mali zote alizoiba kifisadi serikalini pia hili lazima haliwezekanai!...

Tusimlaumu Mwigamba, kasema watamwuliza...., na katika kumwuliza tu EL hatakuwa na sifa za kuingia chadema!
 
No tusiwe hivyo Angel kumpokea kuwa mwanachama ni haki yake kikatiba. haimaanishi kuwa atapewa uongozi au kipaumbele chochote la. bali atahojiwa na kupelekwa mtoni kuogeshwa madhambi kwa maana ya kurudisha majasho ya watz then apelekwe kuombewa na maaskofu wote tz. hapo atakuwa mtu wa kawaida na si kiongozi. hatutaki vinginevyo
 
Umeelewa vizuri hiyo statement lakini?


Nimeielewa mkuu usiwe na shaka. Huyu Mwigamba nadhani alinogewa kuongea akasahau kuwa alikuwa anazungumzia juu ya Lowasa yule aliyetoa pesa watu wakapigwa mabomu ili mgombea wake apite(Batilida)!!
 
Hakuna aliye msafi daima, wala mchafu daima. Lowassa anaweza kuja cdm annytime ilimradi tuprove beyond reasonable doubt kuwa jamaa amekiri kiukweli
 
Mimi namkania hata huo ufisadi wenyewe kuwa kama kaufanya kweli basi itakuwa ni kwaajili ya kukisaidia chama chama chake kwenye uchaguzi wa awamu hii ya nne. Vinginevo kams angefisadi yeye binafsi kwa ajili ya mkewe na watoto wake si angepelekwa mahakamani? Mahakama iliyomvua Lema ubunge ina nguvu hata kwake kama ikithibitika kuwa ni mkosaji.
But ukiona kimya ujue ni siri ya mtungi.
 
Nyie acheni kufunika bovu mwanaharamu apite.Lowassa wa nini tena kumwingza cdm!?.Acheni kujimalza wenyewe.Msicheze na akili zetu ninyi,mnataka kukiua chama.Chadema siyo pango la kukimbilia mafisadi,kaeni mtafakari kabla ya kuchukua hatua.Mwigamba kuwa na msimamo acha kutuharibia chadema yetu.
 
lowassa kuamia cdm itakuwa jambo la maana sana maana ni mchapa kazi ,huwa blaa blaa hapendi na ushahidi upo.na chadema sio mtu ni chama ambapo wana simamia sera.
La pili jamaa mambo mengi anapandikiziwa kutokana na tamaa za uongozi ndani ya ccm.wamemjua kuwa ni threat kwao. Kama swala la utajiri lowassa alikuwa nao hata kabla ya uwaziri mkuu,issue ya richmond ni ya jk ila aliamua kutoa lowassa kafara ndio maana akina mwakyembe hakutaka kueleza yote.
cdm mpokee maana lowassa ni kiongozi anayetamani kuona mabadiliko .nasema hivyo kwasababu serekali ya awamu ya nne tangu jaamaa ajihuzuru hakuna kinachoendelea ni kama vile serekali iko likizo

Tunataka mabadiliko tuweke chama chenye sera za mabadiliko na ndani yake wawepo watu wanaopenda mabadiliko pia.

naunga mkono kabisa, japo tunapenda kusikia stori za kifisadi za lowasa, lakini mzigo anaoubebe ni kwa niaba ya rais wetu mpendwa. Nakumbuka alivyojieleza kwny kile kikao cha ccm, hakuna aliepinga,
 
"Kumkaribisha Lowasa CDM ni sawa na kuiangamiza CDM!!"
Hivi wanachama wa kujiunga CDM watakuwa wameisha hadi kumkaribisha Lowasa!!??
Very pathetic!! Poor Mwigamba!!!

Mimi ni mwanachama HAI wa CDM but hua najiuliza KOSA LAKE huyu bwana mkubwa "Specifically" ni nini hasa??
Naomba kujuzwa please!!
 
Kama CHADEMA inataka kuwa sawa na CUF na ijaribu kumkaribisha EL ambaye amejaa tuhuma kila kona ya vyombo vya habari na midomoni mwa watz, CHADEMA itajiua yenyewe na kama mpango ndo hou wa kuanza kubeep tension ya wapenzi wa CDM hapa sio.
 
lowassa kuamia cdm itakuwa jambo la maana sana maana ni mchapa kazi ,huwa blaa blaa hapendi na ushahidi upo.na chadema sio mtu ni chama ambapo wana simamia sera.
La pili jamaa mambo mengi anapandikiziwa kutokana na tamaa za uongozi ndani ya ccm.wamemjua kuwa ni threat kwao. Kama swala la utajiri lowassa alikuwa nao hata kabla ya uwaziri mkuu,issue ya richmond ni ya jk ila aliamua kutoa lowassa kafara ndio maana akina mwakyembe hakutaka kueleza yote.
cdm mpokee maana lowassa ni kiongozi anayetamani kuona mabadiliko .nasema hivyo kwasababu serekali ya awamu ya nne tangu jaamaa ajihuzuru hakuna kinachoendelea ni kama vile serekali iko likizo

Tunataka mabadiliko tuweke chama chenye sera za mabadiliko na ndani yake wawepo watu wanaopenda mabadiliko pia.

Kesheni mkiomba hamumpati ng'o Lowasa ni ccm na ccm ni lowassa 2015!
 
Kwenye bold, sidhani kama EL ndiye alihusika. STIDE usisahau propaganda za CCM kuwalisha watu mchicha pori. CCM wanaweza kutumia mbinu yeyote kumfanya mtu aliye threat kwao aonekane mbaya. Umesikia juzi Nape na Mukama walivyosema juu ya kuondoka kwa Millya kuwa alikuwa mzigo the same might apply to EL.


Feedback mkuu wangu, hapo ulipo bold utapatenganishaje na Lowasa ikiwa aliyeshindwa Arusha ni mtu wake(Batilida)

Ukisema CCM wanaunda propaganda kumchafua mtu, usisahau kwamba hata Lowasa pia ni mmoja wao. Alafu pia Millya ishu yake ni tofauti na Lowasa, Millya hatotughalim kumsafisha, hana madhara ki-propaganda kutoka CCM lakini huyu mwizi Lowasa tukimkubali tu, tumekwisha!! Ataongea nini kwa wananchi ambao wanajua ndie aliewafikisha hapa walipo?

"HAKIKA VIONGOZI WOTE WA CDM WATAZOMEWA NA KUPIGWA MAWE KILA MAHALI KWASABABU YA HUYU MWIZI!!"
 
Back
Top Bottom