choo kama kawaiada yako huwa huna point ni kutoaujinga tu,kalenga mtatulia wenyewe na tayari nimeingia hapa subiri muone.Vijana wengi wa CHADEMA hawaijui Kalenga Vizuri.

Ndugu zanguni,
Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea
Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko
Napenda tu kutoa tamko;
KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!
Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...
JITAMBUE!
choo kama kawaiada yako huwa huna point ni kutoaujinga tu,kalenga mtatulia wenyewe na tayari nimeingia hapa subiri muone.
Inawezekana labda alitembea usiku wa ma manane!mkuu mbona nasikia jamaa alitimiza iyo ahadi?au alituzingua?ujue akiwa hana nguo na miwani huwezi kumtambua !
Rudisha pesa za rambi rambi kama kweli unataka unajisi ukutoke wewe na familia yako na li ccm lako. Vinginevyo una pumba tu
Hivi Mkiambiwa Rambirambi alizitoboa Kamanda wenu MSIGWA hamuelewi au mnafanya makusudi tu?Kama huna NAULI omba msaada tukusaidie, maana usitegemee kama utapewa fedha za rambirambi tena.
View attachment 140326
utatembea kwa miguu kutoka wapi ?
Ndugu zanguni,
Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea
Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko
Napenda tu kutoa tamko;
KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!
Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...
JITAMBUE!
ndo vizuri ukirudi ufunguliwe mashtaka ya kula hela za mjane
mkuu, mi chadema ikishinda kalenga nitatembea uchi kariakoo, watu wa kalenga sio viazi kama wa arusha.
Ndugu zanguni,
Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea
Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko
Napenda tu kutoa tamko;
KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!
Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...
JITAMBUE!
mkuu, mi chadema ikishinda kalenga nitatembea uchi kariakoo, watu wa kalenga sio viazi kama wa arusha.
Vijana wengi wa CHADEMA hawaijui Kalenga Vizuri.
ushahidi wa aliyekula kuwa ni kisi mikosi (criss lukosi) tunaoMchungaji MSIGWA ndiye aliyetafuna zile rambirambi!