CHADEMA wakishinda Kalenga nitarudi nyumbani kwa miguu...

lukosi yupo sahihi kabisa coz wananchi wakule bado sana kyjitambua bado wapo kwenye timing za ccm za pombe za kienyeji na misosi.

nimewahi ishi kule hakika jamaa niwavivu balaaa hasa wanaume.

yaani ukikaa dukani au buchani ni vituko kama niunga basi wananunua kibaba na nyama ni mwendo wa robo .
wazee wafibagia.

ccm lazima ishinde coz kichwani mwao kunamagugu kibao.

sasa kama mjanja wao ni huyu lukosi je waliopo kalenga unategemea nini?
 
Ndugu zanguni,

Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko

Napenda tu kutoa tamko;

KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...

JITAMBUE!
Hivi huko UK unafanya nini ? mbona hapa TZ kuna fursa kibao? sikuhizi financial inclusion ndo habari ya mujini, achana na kazi za kusafisha vyoo na kuwatawaza vikongwe vya kizungu jamaa angu... njoo home utafanikiwa tena kwa muda mfupi ...
 
Ndugu zanguni,

Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko

Napenda tu kutoa tamko;

KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...

JITAMBUE!

Kwani atakayekushangaa ni nani? Ndio ukichaa wako unavyokuongoza. Tukisema wewe ni kichaa unakataa na kudai unatumia dawa unaendelea vizuri. Sasa leo ndio umetudhihirishia kuwa bado unahitaji zaidi dawa. Kubugia unga na kuuza Co mchezo hayo ndio madhara yake
 
Mnajua toka akimbie na zile rambirambi imekuwa kama kapata laana vile hajielewi anakurupuka katika maamuzi hajielewi hapendwi na pesa ilishaisha bila kujua alifanyia nini aisee
 
kalenga wameelimika sana siku hiz sio kama zaman na maccm wanapatia kula kwa wasio na elim sasa watazipata wap!! maccm sasa agenda zenu ni namna ya kuiba kula na kupiga kama mlivyo agizwa
cdm tunasinda kalenga
 
watu wa kalenga ni wastaarabu sana, hawawezi kuchagua chama cha fujo na vurugu chadema, siasa za fujo na vurugu zinapendwa arusha na moshi tu
 
Ndugu zanguni,

Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko

Napenda tu kutoa tamko;

KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...

JITAMBUE!

Chris Lukosi

Hivi na wewe una kwenu?
 
Ungeahidi kurejesha rambirambi ningekuelewa.
 
Ndugu zanguni,

Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko

Napenda tu kutoa tamko;

KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...

JITAMBUE!
Kabla hujarudi peleka mchango wa rambirambi ya marehemu Mwangosi uliokabidhiwa,sio kuleta maneno mengi la sivyo laana ya kula rambirambi itakuandama.
 
Ndugu zanguni,

Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko

Napenda tu kutoa tamko;

KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...

JITAMBUE!

Mwenzako alisema atatoa ushahidi hata mbinguni sembuse wewe!....Mtaapa sana lkn cdm ni moto mwingine. Halafu vyama vingine kazi yake nini? Mbona sisikii vikisimamisha wagombea ktk chaguzi mbalimbali?...JUST CURIOUS!
 
cris mimi kwetu ni makete ila kwa kauli hii nakuunga mkono kalenga bado ni ya ccm,watu watakuja watabisha na kutukana matusi ila sisi wenyeji wa mkoa wa iringa ndo tunaijua siri,fanyeni propaganda sehemu nyingne ila kwa kalenga CCM ndo BABA YAO NA MAMA YAO PIA,ukibisha na kutukana majibu utayapata baada ya uchaguzi
 
ah ah ah mkuu ujue utani mwingine mtatuua mbavu, nimecheka mpaka nataka kulia...jamaa katoa ahadi ww unasema laana itakuwa ime- mature???ah ah ah
Nawakumbusha tu.

Mambo yote ni kesho na mimi ndio kwaaanzaa ninaagiza debe la ulanzi....
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom