CHADEMA wakishinda Kalenga nitarudi nyumbani kwa miguu...

mkuu, mi chadema ikishinda kalenga nitatembea uchi kariakoo, watu wa kalenga sio viazi kama wa arusha.
Mkuu mpaka Hapo ulipo CCM walisha kuvua nguo sema wewe tu hujioni ila nakushauri urudi nyumabani na ujitazame kwenye kioo upya uone kama bado hawajakuvua nguo? Najua hapo unajiona umevaa nguo lakini kama wewe ni GT wa kweli utajua uko uchi
 
Wakati niko chuo jamaa yetu moja alisema mbele za watu tukiwa katika sehemu ya chakula kwamba Joshua Nassari akishinda yeye atakunya mbele yetu. Lakini aliposhinda tukamwendea akasema yeye wala hakuwahi kusema hivo.
 
Wakati niko chuo jamaa yetu moja KADA WA CCM alisema mbele za watu tukiwa katika sehemu ya chakula kwamba Joshua Nassari akishinda yeye atakunya mbele yetu. Lakini aliposhinda tukamwendea akasema yeye wala hakuwahi kusema hivo.
 
Pingamizi la mgombea wa CDM dhidi ya mgombea wa CCM limeshinda. CCM haina mgombea. Teh teh !!kwi kwi kwi!ii
 
Arusha na kalenga huwezi fananisha mbingu na ardhi arusha ni watu waliojitambua toka zamani alaf marufuku kula mbwa arusha
 
ndugu zanguni,

kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti chadema watashinda huko

napenda tu kutoa tamko;

kama chadema wakishinda basi nitatembea kwa miguu mpaka kwetu kalenga kurudisha jimbo!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa arusha, hatuchagui vigunzi...

Jitambue!

mmezoea kuahidi halafu yakiwafika sura zinawapauka utadhani mmeogea maji ya chumvi, kumbukeni mliahidi nini cdm ikishinda arumeru? Udiwani arusha na pia mkaapa lema harudi bungeni.... Yakowapi????? Shame on you!! Buku saba haiponeshi njaa jamanii.
 
mkiuu umemuiga Lukosi, ww hatukujui, ebu basi weka jina halisi usiwe kama gsana....tunataka ikiwa ivo ili tusije kumuona kichaa yeyote kariakoo tukajua kweli...itapendeza kama ukiwa verified then mimi ntaomba kusimamia zoezi lako la kutembea uchi na zoezi la Lukosi la kutembea kwa mguu...ila ntaomba kuchonga bakora ili wakati wa zoezi masharti na kanuni vizingatiwe,sio unakutana na mkwe unafunika sehemu hatarishi.....

Huyo bwana ni mhaya wa Bujugo mbele ya Katelero ninamfahamu sana.
 
Ukishakula Rambirambi ni lazima uandike kitu kinachoonyesha wazi umelaaniwa.
 
unaposema utatembea mpaka nyumbani kwani sio kazi ya miguu kwani ukiwa shule ya msingi kwenda nyumbani unapaa

Kwani kabla ya ushindi ulikuwa unapaa

Naodai watatembea ooo watatembea uchi sio wala rambirambi kweli?
 
Rudisha pesa za rambi rambi kama kweli unataka unajisi ukutoke wewe na familia yako na li ccm lako. Vinginevyo una pumba tu
 
Ndugu zanguni,

Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko

Napenda tu kutoa tamko;

KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...

JITAMBUE!
masikini lukos tayari ameshaanza kuchanganyikiwa,kwani harusiwi kumpa huyo mama hizo hela kwa sasa?mpe utakuta hajajengea kaburi wakati rambi rambi unazo wewe,unatakiwa useme cdm ikishinda uguswe backwad
 
ndugu zanguni,

kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti chadema watashinda huko

napenda tu kutoa tamko;

kama chadema wakishinda basi nitatembea kwa miguu mpaka kwetu kalenga kurudisha jimbo!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa arusha, hatuchagui vigunzi...

Jitambue!

utatembea kwa miguu kutoka wapi ?
 
Back
Top Bottom