CHADEMA wakishinda Kalenga nitarudi nyumbani kwa miguu...

Ndugu zanguni,

Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko

Napenda tu kutoa tamko;

KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...

JITAMBUE!

Kama huna NAULI omba msaada tukusaidie, maana usitegemee kama utapewa fedha za rambirambi tena.

View attachment 140326
 
choo kama kawaiada yako huwa huna point ni kutoaujinga tu,kalenga mtatulia wenyewe na tayari nimeingia hapa subiri muone.

Jiheshimu sasa ushakuwa mtu mzima, siye kila umuonaye huku mtandaoni ni Chekbob mwenzio!
 
Rudisha pesa za rambi rambi kama kweli unataka unajisi ukutoke wewe na familia yako na li ccm lako. Vinginevyo una pumba tu

INTERPOL WANAFUATILIA hiyo KITU MKUU , HATUTAKUBALI MBURULA MMOJA ATAFUNE MICHANGO YA WATU KWA AJILI YA MJANE HIVI HIVI TU ! HIYO NI LAANA KUBWA SANA !
 
huyo ni mgonjwa wa akili mjinga tuu tembea hata uchi nchi nzima lazma chadema tutashinda kwa uwezo wa Mungu..
 
Hivi Mkiambiwa Rambirambi alizitoboa Kamanda wenu MSIGWA hamuelewi au mnafanya makusudi tu?

Mavi.jpg
 
Ndugu zanguni,

Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko

Napenda tu kutoa tamko;

KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...

JITAMBUE!

mr lukosi,jiandae,sasa sijui yatakua ni matembezi ya mshikamano? maana kipigo kalenga hamkwepi,mr lukosi,
 
Hebu tweleze bwana kwani mwenzetu kwa sasa huwa unatembelea kiungo gani? Kila lenye mwanzo lina mwisho wake ZILIKUWEPO TAWALA KANDAMIZI ZENYE NGUVU KIUCHUMI KAMA MUBARAK NA GHADAFI LAKINI LEO HAWAPO SEUZE CCM AMBAO MTAJI WAO NI UJINGA NA WOGA!
 
mkuu, mi chadema ikishinda kalenga nitatembea uchi kariakoo, watu wa kalenga sio viazi kama wa arusha.

Dhambi ya Ubaguzi itakutesa huwezi kuwadharau na kuwadhalisha watu wa Arusha kana kwamba wao sio watanzania alaf na ww unajita mwanaCCM, huko umejawa na Ubaguzi kama Shetani kumbe ndio maana mlipoua Arusha hamkujali kwasabab Arusha sio tz..!
 
Ndugu zanguni,

Kama mnavyojua kipenga ndio kimepulizwa huko Kwetu na mpaka sasa ni vyama viwili tu vimetangaza kugombea

Nimekuwa nikiona coments zilizochanganyika na harufu ya viroba hapa kuwa eti Chadema watashinda huko

Napenda tu kutoa tamko;

KAMA CHADEMA WAKISHINDA BASI NITATEMBEA KWA MIGUU MPAKA KWETU KALENGA KURUDISHA JIMBO!

Watu wa wa kalenga sio kama watu wa Arusha, hatuchagui vigunzi...

JITAMBUE!

Hahahahaaaaaaa.....
 
Mkuu Chris, Mbona kutembea kwa miguu ni jambo la kawaida sana. Mimi nafikiri utembee kwa mikono mpaka Kalenga ndio tutajua umefanya cha ajabu. Kama ni kutembea kwa miguu si jambo la ajabu maana kwanza ndio kazi ya miguu kufanya kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom