CHADEMA wakionana na kikwete Kushiney

CHADEMA wakionana na kikwete Kushiney

Una uhakika na uyasemayo? Unakumbuka rais alipolihutubia bunge kwa mara ya kwanza CDM walitoka nje kwa madai ya kutomtambua ilhali alikuwa ameshatangazwa na kuapishwa kwa mujibu wa katiba? Na jee CDM walishawah kufuta hyo kauli ya kutomtambua rais? Na wanaposema wanaenda kwa rais ni yupi? Huyu huyu wasiyemtambua au kuna mwingine?Think about it

Wameamua kwa nia moja kabisa tena kwa dhati kubwa kulamba matapishi yao wenyewe.

bora tlp kuliko cuf, TLP ni kimada cha CCM ila kaf ni mke halali wa ndoa, kwa maana nyingine TLP siku yoyote anaweza akaachia ngazi ila KAF hiyo ni ndio hamtakaa mchomoke
 
Walipoanza kukaa kimya kuhusu Symbion ndiyo nilipojuwa kuwa magwanda kwishney, haya ya kususasusa bungeni ni maandalizi ya ICU.

Na sasa wameamuwa wenyeeewe kwenda kupokea tiba kwa mganga waliyekuwa wanamuita mchawi.
 
Wewe hujui hata kinachoendelea sasa. Unganisha haya matatu utapata jibu Chadema kumwona Rais +Tamko la Vyombo nya Habari +Maandamano ya Wanaharakati=JK kutokusaini mswada ule na kuurudisha Bungeni kwa majadiliano zaidi au kusaini na kurudishwa bungeni kwa marekebisho zaidi. Kwahiyo Chadema wanakwenda kumwona mtanzania mwenzao ikulu ili kumwelewesha kwamba wabunge wake pamoja na CUF wamemwingiza mkenge. Hebu kumbuka sheria ya matumizi katika uchagizi ilikuwaje ilipitishwa lakini ilirudishwa bungeni kwa marekebisho

Cdm wameinama , wameinuka wanaona haya haooooooooooooooooooooooooo......................(haya na ww imba hivyo)

Nguvu kubwa sana ipo nyuma ya CDM. Wametumia hekima kutoa nafasi kwa mazungumzo kwanza. Na ndivyo siku zote mwenye hekima afanyavyo. Hoja yao ina mashiko. Naamini JK atauona ukweli. AFTER ALL ,HOJA YA NEW CONSTITUTION NI YA CDM FROM THE FIRST PLACE.
 
Tatizo lako unatabirika. Upo kama bamia.
Walipoanza kukaa kimya kuhusu Symbion ndiyo nilipojuwa kuwa magwanda kwishney, haya ya kususasusa bungeni ni maandalizi ya ICU.

Na sasa wameamuwa wenyeeewe kwenda kupokea tiba kwa mganga waliyekuwa wanamuita mchawi.
 
Nguvu kubwa sana ipo nyuma ya CDM. Wametumia hekima kutoa nafasi kwa mazungumzo kwanza. Na ndivyo siku zote mwenye hekima afanyavyo. Hoja yao ina mashiko. Naamini JK atauona ukweli. AFTER ALL ,HOJA YA NEW CONSTITUTION NI YA CDM FROM THE FIRST PLACE.

Ni jinsia gani ww? karibu JF

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeomba kukutana na kikwete kwa nia ya kuzungumzia mabadiliko ya mswada uliopitishwa juu ya uundaji kamati ya kukusanya maoni kwa wanainchi, huku wakiwa wamesahau kuwa walíisha wahi kutoka ndani ya bunge kwa madai eti hawatambui mchakato uliomuweka madarakani, yaani ni sawa na kusema "hawamtambui Rais" Leo mnajipeleka wenyewe bila kuitwa, wameshindwa chadema kutambua kuwa lugha wanayoisikia CCM, Kisiasa katika hili wamèfeli wao ndio walikuwa wanasema kuwa hawawezi kukaa meza moja na CCM Leo mnamuomba Raisi mkutane? mtambue hata CUF hawakuomba kukutana kukutana na CCM hata siku moja ila walitambua Lugha wanayoisikia CCM ni Maandamano yasiyo na kibali, ndio LUgha CCM wanayoisikia, wenyewe utawasikia njooni tuzungumze, kwa Chadema kujipeleka kwa kikwete mmejiuza bei sawa na bure, kwa kufanya hivyo mmetufadhaisha sana.

Hatuoni kosa lolote chadema kukutana na JK ila CHADEMA wawe makini na kinachowapeleka. CHADEMA ni chama kinachoona mbali wanajua nguvu ya umma ipo nyuma yao na kwa kila hali lazima wamwone nae Kikwete ili kujua anamawazo gani kuhusu katiba ili baadae asije laumu chadema kwa nini wameamua kuchukua uamuzi bila mazungumzo. Kikwete ana mtihani mkubwa hasa kwenye majibu atakayo jibu chadema na tunadhani chadema sio chama kinafiki kama CUF. CHADEMA ni wawazi hawawezi kukurupuka kuingia mkenge kama CUF. Jibu lenyewe tunalipata kwa madiwani wa Arusha, kwa hiyo wala tusihofu. Tumwonee huruma Kikwete je yupo na umma au yupo na mafisadi wa CCM.
 
Kikwete angewaweka getini ikulu mpaka mashati yapauke maana hawa cdm hawana akili, MBOWE, SLAA, LISSU, ARFI, SAID MZEE, wote wanafikiri kutumia ******.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeomba kukutana na kikwete kwa nia ya kuzungumzia mabadiliko ya mswada uliopitishwa juu ya uundaji kamati ya kukusanya maoni kwa wanainchi, huku wakiwa wamesahau kuwa walíisha wahi kutoka ndani ya bunge kwa madai eti hawatambui mchakato uliomuweka madarakani, yaani ni sawa na kusema "hawamtambui Rais" Leo mnajipeleka wenyewe bila kuitwa, wameshindwa chadema kutambua kuwa lugha wanayoisikia CCM, Kisiasa katika hili wamèfeli wao ndio walikuwa wanasema kuwa hawawezi kukaa meza moja na CCM Leo mnamuomba Raisi mkutane? mtambue hata CUF hawakuomba kukutana kukutana na CCM hata siku moja ila walitambua Lugha wanayoisikia CCM ni Maandamano yasiyo na kibali, ndio LUgha CCM wanayoisikia, wenyewe utawasikia njooni tuzungumze, kwa Chadema kujipeleka kwa kikwete mmejiuza bei sawa na bure, kwa kufanya hivyo mmetufadhaisha sana.

MAMUZI YA CDM KUOMBA KUKUTAN NA KIKWETE YATAKUWA SAHIHI KAMA CDM WATAKUWA WAMEYACHUKUA KWA NIA YA KUONYESHA UMMA WA WATANZANIA KUWA CDM SIO CHAMA KINACHORESORT KWENYE MAANDAMANO, VURGU NA MENGINE KAMA HAYO. bINAFSI NAAMINI HAWATAPATA LOLOTE LA MANUFAA TOKA KWA KIKWETE NA BADALA YAKE CCM WATAJARIBU KUTUMIA NAFASI HIYO KUCHELEWESHA HATUA ZAIDI ZA CDM. KWA UPANDE WA UMMA CDM ITANUFAIKA SANA KWA KUPATA SYMPATHY.
 
hawa akina faiza fox na id zao zakujisapoti mwenyewe wasituumize kichwa.
yakipigwa maandama utasikia oo chama cha fujo,ikitumika diplomasia oo kwishney.
kwa taarifa yenu chadema kimeonyesha ukomavu wa hali ya juu kabisa kwani ukileta ubabe songombingo lake hutulizi ukija kiwizi unashughulikiwa kijeshi (japo hawana dola mfano mafisadi)
u
kija kihuni utaipata fresh.
ukitumia jinsia kufikiri unadhalilishwa(dc igunga,mic)

na kwa taarifa zenu kikwete hajawahi kuandikiwa ujumbe akajibu faster kama huu hiyo ni ishara kwamba mziki ameutambua si wa kitoto.
chanzo cha matatizo yote ya nchi hii ni katiba sasa nafasi ya kubadili katiba imefika na chadema kama tumaini lililorejea sidhani kama wataifanyia makosa fursa hii,
tume ya taifa imelalamikiwa sana na wapinzani rais amechaguliwa na watu 5000000 leo anataka kuipa mamlaka tume hiyohiyo na watu wake milioni tano kwenye daftari lao la wapigakura ili waamue mustakabali wa watu milioni arobaini na tano hii si haki.
mapro wa ccm naomba muelekeze akili zenu msibani dodoma ya katiba tuachieni,nyie cuf mlishauza roho za wazanzibar wenzenu kwa ajili ta tamaa ya umakamo wa rais,mngepewa nguvu huku bara na mkaahidiwa uwaziri mkuu sijui mngeua wangapi?
 
duuuh" huyu cuf ngangari inawezekana ametoroka mirembe jana, anadhani hiki chama kinachoitwa cuf bado bado ni cha upinzan kwenye siasa za tz, kinatambulika vizur kama ccm-b.
 
As if umma mnao nyinyi peke yenu. Pumba zingine baba!
SIDHANI KAMA KITENDO CHA WABUNGE WA CDM KUTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE WAKTI WA HOTUBA YA RAIS ILIMAANUSHA KUTOMTAMBUA!! INGEMANIISHA HAYO WASINGEWAHI KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE WALA ZILE ZA SERIKALI ZA MITAA. NLICHOELEWA KUHUSU ULE MTOKO NI KUONYESHA HISIA ZAO KWA SERIKALI KUHUSU FRAUD KATIKA UCHAGUZI!! NAFIKIRI CHADEMA WAMEKUWA WAUNGWANA SANA!! MAANA MARA BAADA YA UCHAGUZI Dr. SLAA ANGETANGAZA HAMTAMBUI RAIS PASINGETOSHA!! ccm has to be grateful for that!
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeh! cha muhimu ninyi CUF ni kukaa kimya muangalie jinsi gani mnaweza kuitunza hii ndoa yenu ya mkeka isije kuvunjika, pia ugonvi wa wanaume (CHADEMA na CCM) inakubidi wewe mwanamke (CUF) uwe makini maana hapo nahisi kipigo kinaweza kuwaangukia mtu na mmewe (CUF & CCM) na itakuwa aibu sana ndani ya familia (SERIKALI). AMAUTI
 
Hatuoni kosa lolote chadema kukutana na JK ila CHADEMA wawe makini na kinachowapeleka. CHADEMA ni chama kinachoona mbali wanajua nguvu ya umma ipo nyuma yao na kwa kila hali lazima wamwone nae Kikwete ili kujua anamawazo gani kuhusu katiba ili baadae asije laumu chadema kwa nini wameamua kuchukua uamuzi bila mazungumzo. Kikwete ana mtihani mkubwa hasa kwenye majibu atakayo jibu chadema na tunadhani chadema sio chama kinafiki kama CUF. CHADEMA ni wawazi hawawezi kukurupuka kuingia mkenge kama CUF. Jibu lenyewe tunalipata kwa madiwani wa Arusha, kwa hiyo wala tusihofu. Tumwonee huruma Kikwete je yupo na umma au yupo na mafisadi wa CCM.
asante kwa kunisaidia kujibu.
 
Back
Top Bottom