teh teh naona unajitahidi kudownlad mapanga mtandaoni uhadae watanzania njoon na kwangu mnikamate mdogo wangu ana kombeo mie ninalo shoka, panga na kisu cha kukatia vitunguu na nyanya nilkuwa sijui kuwa ninamilk vifaa vya kijeshi teh teh unachekesha kweli!!